Ndugu zangu wana JF nilikuwa msomaji wa gazeti la Rai na Mtanzania, ukafika wakati nikayakimbia pale yaliporipoti uwongo. kimsingi magazeti haya yaliwahi kupingana na ukweli yakiwatetea na...
First, at the centre of the ruling coalition is the ruling party, CCM, the bureaucracy and the army. However the structure of the ruling coalition is being modified as lower level factions are...
Wana JF ebu naomba tujitathmini kidogo,
Tuangalie Muda ulio pita tangu tupate Uhuru, Tujilinganishe na Mataifa mengine ambayo yamepata uhuru baada yetu sisi, Nini tunawashinda au Nini...
kila siku chadema chadema sisi vijana hatutaki malumbano ya kisiasa tunataka vitendo tu malumbano baada sasa hata kazi aliyopewa na ccm kuwavua magamba wenzie imeishia wapi? Nakufuatia ahadi hewa...
By In2EastAfrica - Wed Jun 01, 11:45 pm
Finance and Economic Affairs shadow deputy minister Christina Mughwai briefs the media on the Opposition's alternative budget outlook in Dar es...
Hivi inakuwaje CHAKushindwa (CHADEMA) watumishi wenu na watendaji wenu hamwalipi mishahara yao ? taarifa za uhakika huu ni mwezi wa 3 , sasa mnawazungusha na kuwalipa partial partial badala ya...
By In2EastAfrica - Wed Jun 01, 2:17 pm
Retired President Benjamin William Mkapa
The Kisutu Resident Magistrates Court yesterday rejected retired President Benjamin Mkapas sworn affidavit in...
UTAWALA wa Rais Jakaya Kikwete umekumbwa na misukosuko mingi, lakini zimekuwepo fursa kadhaa ambazo kama angezitumia vema zingeleta unafuu katika utawala wake.
Wakati wa sakata la mkataba wa...
Kama mwenye dowans ,meremeta.kagoda,tangold,ricmond,hawajulikani nadhani hata kujivua gamba ni haina maana.kama kaiba ,mfano epa unamwambia rudisha pesa mapema hutashitakiwa na inakuwa...
Katika hali inayodhihilisha watanzania kukerwa na malipo ya kampuni ya Dowans,mahakama kuu ya Tanzania imepokea na kusajili kesi ya kikatiba kupinga malipo hayo.
Kesi hiyo ya kikatiba...
Serikali inapanga kuigawa TANESCO katika makampuni matatu.
1. Kampuni ya uzalishaji.
2. Kampuni ya usafirishaji.
3. Kampuni ya usambazaji.
Nisaidieni hapo kwenye makampuni mawili ya...
Zito Kabwe amemtoa nje Waziri Chami aliyeongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Mauzo nje (EPZ), Dk. Adelhelm Meru, na watendaji wa mamlaka hiyo kwa madai ya ufisadi wa sh bilioni 41...
Wednesday, 01 June 2011 12:45 newsroom
NA MWANDISHI WETU
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeelezea kusikitishwa kwakwe na tuhuma zinazotolewa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Tundu Lissu...
KUJIVUA GAMBA KATIKA FALSAFA YA KIAFRIKA
KUJIVUA GAMBA: MTAZAMO KIFALSAFA YA KIAFRIKA?
Na Jason Ishengoma
Malumbano yanayoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kati ya vikundi...
Wednesday, 01 June 2011 21:13
Joseph Lyimo, Babati
HALI bado ni tete kwenye Bonde la Kiru, Wilaya ya Babati, mkoani Manyara baada ya Meneja wa Shamba la Kampuni ya Kiru Rift Valley, Sifael...
Wakuu zangu toka mauaji yaliyotokea huko Mara yamekuwa na mjadala mkali sana hapa ktk vyombo vya habari na jana tu nimeona ktk TV (CityTv) likizungumziwa..Na leo ktk pitapita yangu nimekutana na...
WAFANYABIASHARA ndogondogo zaidi ya 300 eneo la Manyema, Manispaa ya Moshi, wamefunga barabara ya Manyema inayotokea Mbuyuni kueleka Mtaa wa Viwanda kwa muda wa saa nne, baada ya uongozi wa...
Hapa naomba tuwe wakweli. Kwa maneno yao wenyewe viongozi wa juu wa CCM wameshuhudia kuwa chama kimepoteza mvuto kwa watanzania na hasa kwa vijana. Wakati huohuo CHADEMA ni chama kilichojipatia...
Mambo ndo yamewiva,sinema ndo imekaribia kuanza kaa tayari.
Mtikila amgeuzia kibao Ridhiwan
na Janet Josiah
MWENYEKITI wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila, amemtaka mtoto wa Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.