Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Sijui ni kwanini mode anachanganya habari bila ya kufikiri madhara yake .habari za kiingereza anachanganya na kiswahili na bila kujua uzito wa habari zile. kwa mfano maneno ya nahoza kuhusu baric...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu wadau wa JF na watanzania kwa ujumla wake naomba tujadili jambo hili nyeti ambalo mimi mdau mwenzenu nimeligundua na nikaona si vema kulikalia kimya. Wakati bado watu wanalipigia...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Tumegundua uongo, rushwa, kujikweza, ulevi, ubaguzi wa udini na sasa tunauona ubaguzi wenu wa ukabila. Credibility hamna hata mkitumia vyombo na fedha kiasi gani za wananchi, Taifa limeshawageuka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF jana usiku katika kipindi cha DAKIKA 45 kinachorushwa na ITV ambacho mgeni alikuwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi; S. Nahodha alipoulizwa juu ya kiini cha vurugu za Nyamongo alitoa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Ushindi wa kikwete mwaka 2010 haukuwa na dosari ungetegemea kauli kama hii ingetolewa na independent entity with alot of evidence to justify the outcome lakini inatolewa na mke wa Rais na kuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
• Kamati za Zitto, Serukamba zachachamaa na Betty Kangonga KAMATI za Bunge za Miundombinu na ile ya Mashirika ya Umma (POAC) kwa nyakati tofauti jana ziliwatimua katika vikao mawaziri wawili...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cases: EPA, Richmond, Dowans, Mine Contracts, Tax Violations, Election Violations Cases: Fake Contracts, Money loundering, Tax Violations, Dowans, Election Violations Cases: Violating...
7 Reactions
14 Replies
5K Views
Wadau maswali yanazidi kuniumiza kwanini polisi wana kasi kubwa sana za kukamata wabunge wa upinzani na kuwadhalilisha kana kwamba sio viongozi wa kitaifa?kwanini hawapewi heshima zao hebu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu watanzania wanaofuatilia utoaji wa haki kwa raia watakubuka jinsi ndugu zetu wa Mbalali waliotaka kumshtaki mbunge wao Kwa ubadhiirifu wa hela zao walidhokwama kwa sababu serikali haikutaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Alex Bitekeye and Florence Mugarula 30 May 2011 Dar es Salaam - The parliamentary Energy and Minerals Committee yesterday directed the Tanzania Mines, Energy, Construction and Allied Workers...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Na Saed Kubenea - Imechapwa 25 May 2011 Ni kwa ‘usaliti mkuu' ndani ya CCMLowassa, Rostam, Chenge nao wafukuzwe TUHUMA za kukisaliti chama zinazowakabili spika wa zamani wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi kamati kuu ya CCM ina matatizo gani? Sera na katiba wanazo (yote madesa la Mwalimu Nyerere). Wanashindwaje kuweka watu wanaojua kujenga hoja badala yake wanaweka 'vuvuzela' kama Nape anazuka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
*Yagomea bajeti Wizara ya Miundombinu *Yadai imeshindwa kufufua TRL, ATCL Na Dunstan Bahai KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imetishia kutoipitisha bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa madai...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
siku ya leo ndani ya wilaya ya kinondoni kulikuwa na kikao cha kamati ya ushauri cha wilaya yaani DCC, katika kikao hicho ambacho wajumbe wake nipamoja na vyama vya siasa waliyopo ndani ya wilaya...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wajumbe wanne wa Baraza Kuu la Chama cha Wananchi (CUF), na maofisa wengine saba wa chama hicho akiwemo Mbunge wa Viti Maalum (Tabora), ambaye pia ni Katibu wa Wabunge wa CUF, Magdalena Sakaya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
WAKILI Mabere Marando anayemtetea Profesa Costa Mahalu aliyekuwa na Balozi wa Tanzania nchini Italia, amesema ataiomba mahakama imlazimishe Rais Jakaya Kikwete kufika mahakamani kumtetea mteja...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu ni jambo la wazi kabisa kwamba tuna tatizo kubwa kabisa kuhusu uchaguzi kwenye jamii yetu. Huu mjadala ni above party politics, nadhani ni muda muafaka tujadili hili suala. Kama...
0 Reactions
137 Replies
12K Views
Chama cha wananchi CUF kimeamua kuandaa maandamano ya nchi nzima ya kupinga mauaji na unyanyasaji wa haki za binadamu unaofanywa na jeshi la polisi hapa nchini, hayo lalielezwa na naibu katibu...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Salva Rweyemamu ukiwa kama mwandishi mkongwe hebu jaribu kuifanyia kazi website ya Mawasiliano Ikulu maana imekuwa aibu kwa watumiaji wa mitandao. Habari zinazopatikana humo ni mwaka 2009 hata...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mpiganaji ndugu John Heche, M/kiti wa BAVICHA atakuwa kwenye kipindi Mlimani TV hapo saa 2.30 mpaka saa 3.30 usiku huu wa leo. Atakuwa akijadili KEKI YA TAIFA. Naomba kuwasilisha wakuu.
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom