Rafiki Bernard Saanane
Nimejawa na masikitiko makubwa sana baada ya kupata habari za kuenguliwa kwako
kwenye kinyang'anyiro cha Uenyekiti wa BAVICHA kwa sababu za kukiuka maadili ya uchaguzi...
Nianze kwa kusema namuheshimu Askofu Kulola kama mtumishi kamili wa MUNGU. Kama utumishi Tanzania, ameufanya na hakuna swali katika hilo.
Lakini lazima niseme kuwa u-CCM wake unatia kinyaa sasa...
Dk Slaa alisema kuna ushahidi kwamba mmoja wa mgombea aliyeondolewa, alitoa rushwa kwa wapiga kura kutoka mikoani kwa kuwatumia fedha kwa njia ya M-pesa. Alisema chama hicho kimejipanga kuepuka...
Sitta, Mwakyembe watoswe
Na Saed Kubenea - Imechapwa 25 May 2011
Ni kwa usaliti mkuu ndani ya CCMLowassa, Rostam, Chenge nao wafukuzwe
TUHUMA za kukisaliti chama zinazowakabili spika...
From Fikra Pevu - Political Paranoia? Tanzania's Ruling Party threatens online social media | Fikra Pevu | Kisima cha busara!
The above (LINK) is the statement issued earlier today by JamiiForums...
Wana JF naxchukua fursa hii kuwakumbusha uongozi wa uadilifu wa Dr. Lyatonga Mrema katika kamati ya serikali za mitaa kwa namna anavyotekeleza majukumu yakeb tofauti na watangulizi wake katika...
Wakati Serikali ikijua kuwa mwaka huu ilijipanga kusherehekea miaka 50 ya uhuru kwa kishindo, maandalizi hayo hayakuwekwa kwenye bajeti inayoishia mwezi juni 2011. Cha kusikitisha, wakati Bunge...
Ule mtindo wa polisi wa kuwakamata wabunge na kuwapiga raia umeendelea huko wilayani Urambo mkoani Tabora. Polisi wanadaiwa kuwapiga risasi raia 3, mmoja kajeruhiwa mgongoni, mwingine mkononi na...
Amani au mfuko wa cement 5000? Amani au treni ya umeme hadi mwanza? Amani au mshahara wa kima cha chini laki 4 kwa mwezi? Amani au dar kutokuwa na foleni? Amani au uwepo wa ajira za kumwaga? Amani...
BAADHI ya madereva wa mawaziri na naibu wao wamewashutumu mabosi wao kwa kuwatumia zaidi kama wafanyakazi wa nyumbani, jambo ambalo ni kinyume cha taratibu.
Madereva hao pia wamelalamikia magari...
CCM wamefanikiwa kuua upinzani Zanzibar na CUF kwa ujumla. Baada ya uchaguzi 2015 CUF itakuwa historia tu, na Maalim Seif atastaafu kama 1st Vice President kwa heshima zote na marupurupu ya CCM...
RAIS Jakaya Kikwete kesho ataanza ziara ya siku tatu mkoani Mwanza hii ikiwa ni ziara yake ya kwanza baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba mwaka 2010 na chama chake kupoteza...
Polisi wadaiwa kuchoma 'majeneza' ya Chadema
SAKATA la mauaji ya wananchi wanne katika mgodi wa Nyamongo uliopo Tarime, mkoani Mara umechukua sura mpya baada ya ndugu wawili wa marehemu...
Mambo yanazidi kuwa magumu kwa bwana mbowe kila mda unaposogea ndani ya chadema
1.anajilaumu mwaka jana kumpa nafasi dr slaa mwaka jana kugombea urais kwani ameiua ndoto yake kwani hata 2015...
Ule moto wa kuwababua mafisadi uliokolezwa Dodoma katika vikao vya kamati kuu ya Chama Cha Mpinduzi na hatimaye kubarikiwa na Halmashauri kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho, sasa umelipuka mkoani...
Najiuliza CHADEMA waliomba maandamano ya amani Arusha yakavurugwa na Polisi. Hii ni baada ya uchaguzi wa Meya kuchakachuliwa chanzo Chitanda. Sasa kuna ugomvi Arusha, UVCCM wanataka kumfungia...
Katibu wa halmashauri kuu ya taifa itikadi na uenezi wa CCM Nape ameitaka serikali iwachukulie hatua wanao kwepa kulipa kodi ikiwamo CCM wenyewe.
Alitoa kauli hiyo baada TRA kueleza kwamba...
UPDATED 26/05/2011
kumbe njia hakikufunguliwa umma ulidanganywa
Mipango Miji yambana Spika afungue barabara
Spika wa Bunge, Anne Makinda
Joseph Zablon
MWENYEKITI wa Kamati ya Mipango Miji na...
Leo kaika mkutano wa CDM katika eneo la sokoni Majengo mjini Moshi Lema na Lisu waliishambulia serikali kwa vitendo vyake vya kuua raia wasio na hatia.
Watu walikuwa wengi ile mbaya, walikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.