wakuu mwenye taharifa ya maendeleo ya waziri mkuu wetu atujuze ....je amesharudi nchini toka matibabuni na tuambiane hali yake wakuu na habari zingine kwa ujumla
Ukweli siku zote unabakia ukweli, Kikwete nchi imeshamshinda ila anaona aibu kuachia ngazi kuwa ataonekana Kilaza wakati ni kilaza na anazidi kuiharibu nchi yetu. Nchi imekubwa na Matukio juu ya...
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige, amesema wakazi wa vijiji kadhaa vya wilaya ya Mbarali ambavyo vimo ndani ya ramani ya hifadhi ya bonde oevu la Ihefu kuwa wanapaswa kuondoka ili...
Nape nilikutahadharisha mapema, Acha kung'ang'ania kutaka kuvaa koti la Dr. Slaa hukunielewa. Oh Dr.slaa ni fisadi, Dr Slaa akakataa kukuvalisha Koti lake akaamua kukupatia koti jepesi kabisa...
Kumbe CHADEMA ILIPATA MSAADA WA SHYROSE WAKATI WA UCHAGUZI. Ndiyo maana yuko karibu sana na CHADEMA!
" Idd azzan ambae ni mbunge aliesimamishwa miezi 18 kushiriki shughuli za chama baada ya...
CHANZO: RAIA MWEMA (Mei 25 - 31, 2011)
Kikwete na porojo za CCM kujivua gamba
- Ni ‘usanii' wa kusafisha njia kwa anayemtaka 2015
Itakumbukwa kwamba, Februari 5, mwaka huu, kwenye...
TAMKO LA VIJANA WA CCM MKOA WA ARUSHA
Tarehe 25/05/2011
Ndugu zangu waandishi wa habari leo tumeona tuwaite hapa ili tuweze kutoa maoni yetu kuhusiana na mustakabali wa chama chetu...
JE ZANZIBAR SIO NCHI..........?
JE BADO TU MUTASEMA KAMA ZAZNIBAR SIO NCHI NI MKOA WA PWANI..?
KAMA SIO NCHI HIZI PESA ZILITOKEYA WAPI..?
KAMA HUAMINI HUTA AMINI TENA
STAP ZA POST...
- Wasomi wataka maelezo ya serikali
- Wapinga masharti ya baadhi ya vifungu
Waziri wa Katiba na Sheria, Celina Kombani, amepatwa na wakati mgumu kujibu maswali ya wasomi na wanazuoni wa chuo...
Kwa maoni yangu, hali ya muungano inaendelea kuwa mbaya. Wanaosema muungano ni imara ni viongozi tena wa chama fulani. Chuki ya wananchi wa pande hizi mbili inaendelea kukua. Sasa kwa mwenendo huo...
Zanzibar Daima
Mtazamo wa Mzanzibari kwa Nchi yake
« Balozi Seif Iddi na Waziri Nahodha jibuni hoja hizi za Uamsho
Mkakati wa kuirejesha Zanzibar kwenye neema »
Ya Pwani Mchangani ni...
Jamani chama changu cha magamba kiko ICU. Kina hali mbaya sana. Enzi za uhai wangu nilijaribu kukilinda kwa majini na maruhani kutoka kuzimu kwa baba yangu Shetani, lakini bado nilipata wakati...
Nashangaa kuona hizi taasisi mbili za serikali zinafanya siasa badala ya kufanya kazi kwa mujibu wa sheria.
Mfano ni mara kwa mara tumeona TRA na PCCB wamekuwa wakijitokeza kujibu tuhuma ambazo...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Tanga kimewashukia viongozi wake waliohamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusema kuwa ni waroho wa madaraka.
Akizungumza katika mkutano wa...
Mwanzoni mwa Mwaka 2005 kulishamiri kundi moja la watu maarufu hapa TZ liloitwa Wanamtandao. kundi hili lilianza rasmi mwaka 1995 ambalo vision na mission yake ni kuongoza Serikali ya JMT(URT)...
na Edward Kinabo, Mufindi
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amewataja vigogo na watendaji wa serikali wakiwamo mawaziri wawili na wabunge...
Mbunge wa zamani wa jimbo la Musoma mjini kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Vedasto Mathayo ameomba arudishiwe madawati yake yenye thamani ya shilingi milion 18 aliyoyatoa kwa shule mbali mbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.