Ni kwamba mgombea urais kwa tiketi ya UPDP, ametangaza kuwa kura zake zote (waliopanga kumpigia) ziende kwa mgombea wa ccm, JK.
Sababu kukosewa jina lake kwenye fomu za uteuzi.
Tutarajie mengi...
Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa ametolea ufafanuzi hati ya kukamatwa kwao yeye na viongozi waandamizi wa Chadema iliyotolewa na hakimu wa mahakama ya Arusha,amesema kuwa waliomba ruhusa...
RAI YA JENERALI
Maandiko 12 ukutani, nasi twacheza nachi
Jenerali Ulimwengu
Mei 25, 2011
KATIKA makala yangu iliyopita nilisema kwamba tunatakiwa kuacha kupiga chenga masuala...
i do not believe if Tanzania have such mental thinking. The Global of bussines is looking Tanzania as people of same thinking. Chadema now is a problem to the country. They are not a political...
Tarime ninavyoifahamu kwa mavurugu,nashangaa kwa nini Nguvu ya umma haikutumika kama ilivyotokea Arusha, pindi Tundu Lissu alivyokamatwa na kutiwa lupango.Kilicho mpeleka Tundu Lissu Tarime ni...
By In2EastAfrica - Thu May 26, 8:47 pm
Richmond agent, Mr Naeem Gire, is charged with five counts of forgery and uttering forged documents to the Tanesco Tender Board in regard to the...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), John Cheyo amekataa kusikiliza maelezo yoyote ya utetezi na kuwatimua viongozi wa Mkoa wa Lindi, baada ya kubaini ufisadi wa...
1.Awe na uwezo wa kiakili (redeemed intelectual capacity)
2.Anamudu majukumu yake kiufasaha
3.Anaweza kuomba radhi akifanya makosa ya kiutendaji
4.Anaweza kuachia ngazi kwa hiari akishindwa...
WanaJf,
Kwanza nawasalimu.
Naomba maoni yenu katika kusudi langu la kutaka kuwa rais wa Tz mwaka 2030 kama Mungu akinipa uhai.
Ninachotarajia kufanya nitakapopata uraisi ni pamoja na:
1...
Ndugu zanguni,katika mafundisho yangu ya dini nimefundishwa kuwa Uongozi wowote ule unatoka kwa Mungu,..Na sio kwa SHETANI hata kama umeingia kwa RUshwa...Lakini mwenyezi Mungu anaacha ata ule...
PIUS KATUNZI: Kikwete's victory leaves foul taste in the mouth
Sunday, 07 November 2010
President Jakaya Mrisho Kikwete has survived the repudiation of his countrymen, but, in a way, he...
Baada ya kutofika mahakamani bila Taarifa, mahakama yaamuru Viongozi wa chadema, Mh Mbowe, Dr Slaa, Lema, Ndesa, Selasini kukamatwa.
Nimefanya mawasiliano na hawa viongozi wabunge wamesema...
WHAT A FOOLISH QUESTION TO ASK-Don't you see how our people are suffering? Indeed they have been suffering for many years and everyone knows [see also-Taarifa kwa vyombo vya habari toka Ikulu...
Amekaririwa na ITV kwenye taarifa ya saa tano na robo usiku huu
Jina lake kamili ni Thomas Ngawaiya, aliwahi kuwa mbunge wa Moshi vijijini kwa tiketi ya TLP, baada ya kukorofishana na Mrema...
Wana JF
Kuna swala moja limekuwa likinikanganya sana katika ufuatiliaji wangu wa habari za Kampuni ya Richmond Development na Dowans.Swala lenyewe ni Kuwa Richmond Development ni kampuni ya...
Ni kweli imetokea ingawa ni kama utani, juzi vyombo mbalimbali vya habari vilitangaza kwa mbwembwe kwamba chama cha UPDP kitafanya mkutano wake wa hadhara jana katika viwanja vya Bakhresa Manzese...
Akitoa taarifa kwa vyomba ivya habari ili ifike kwa wananchi na hali ikiwa ilele ya kutumia vyanzo vya umeme TANESCO waendelea na mgao toka saa kumi na moja jioni mpaka sasa hakuna je ni kuishi...
Badala ya kujivua gamba kumbe mwenyekiti alikuwa anaandaa mbinu ya kutafuta mrithi wake ambaye anatakuwa wa type yake.
Pamoja na kubadili safu ya uongozi mjini Dodoma, CCM pia ilitangaza kwamba...
Licha ya kupewa ushauri wa maana hapa jf, nape kaendeleza post zake zisizojitosheleza, baada ya majuzi kupost "chuo kik8 cha dodoma", leo kaandika "mchango wa vitambulisho vya taifa/utaifa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.