Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
:smow: Kwa kweli napenda kuchukua nafasi hii kuwajulisha wanachama wote wa mtandao wa jamii forums yafuatayo katika maisha yetu ya kila siku na mambo yanavoenda pamoja na jamii inayotuzunguka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni CUF mpaka kufa sasa Posted on May 24, 2011 by zanzibaryetu Mmoja wa wanachama wapya wa Chama Cha Wananchi (CUF) akionesha kadi yake baada ya kujiunga rasmi na chama hicho muda...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimefurahishwa na kitu kimoja kwamba walau sasa demokrasia inakomaa Tanzania.Wananchi wamefumbuka na wanaelewa mbivu na mbichi.Wakati wa kudanganya watu umepita kwani vijana wanazidi kupata elimu...
6 Reactions
75 Replies
6K Views
@ Facebook:by William Malecela on Monday, May 23, 2011 at 4:11am - Mjadala wa suala la Ukabila na udini ni mjadala ambao umeshapittwa na wakati. Sioni sababu kwanini baadhi ya viongozi wa CCM...
19 Reactions
213 Replies
15K Views
Baada ya mkoa kutangaza uchukuji wa form za kugombea uenyekiti wa mkoa,watu zaid ya 10,wamejitokeza kugombea kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Shitambala,aliyewafuata ndege wenye tabia kama zake...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni Chama Kilichofanikiwa kwa kiasi kikubwa kujipambanua kama Chama kinachopigania Maslahi ya Uma, na Kwa Bahati nzuri Kimeeleweka hivyo machoni mwa uma...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Vijana wasomi kuacha taaluma zao na kufuata mkumbo wa siasa ni kupanuka kwa democrasia ama ni ulimbukeni wa kuiga??
0 Reactions
8 Replies
2K Views
CCM Mmeishiwa? Kuna kila dalili kwamba kile chama chetu kikongwe kinapitia wakati mgumu kuliko muda wowote katika uhai wake. CCM na wanaCCM wamejikuta wanashangaa jinsi walivyopoteza mvuto kwa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Najua wengi wenu mtahisi au mtaniona kama mropokaji lkn kamwe damu ya kitanzania na kamwe haitakuwa ya tanganyika wala ya kizanzibari. kwangu hupatwa na mfadhaiko nikimsikia mtu anajitambulisha yy...
3 Reactions
96 Replies
7K Views
Nimepitia article ya Mzee Pius Msekwa akitoa maoni yake juu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010. anadai kwamba yeye ni Political scientist, naquote "The results of the 2010 general elections clearly...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wanajamii ivi zile siku saba alizopewa dr slaa na riz1 za kuomba radhi, zimeishia wapi?
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Shout-Africa Proud African News & Entertainment Hub Published on: Saturday, May 21st, 2011 By Kizito Makoye in Dar es Salaam – Tanzania’s anti-corruption bureau has at last released the...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
ndugu wana JF bila kujali itikadi zetu na hisia, ningeomba tujadili kwa undani nini hasa kilitokea kwenye mauji yaliohusisha Barricks na wananchi wa Nyamongo. Upande wa serikali unasema wale...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Na Grace Michael MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) umeitaka serikali kuhakikisha inapunguza utegemezi wa bajeti kutoka kwa wafadhili kwa kuboresha ukusanyaji wa mapato ya ndani na kupunguza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maandalizi ya Kikao cha Bunge la Bajeti linaendelea na ni wakati sasa wa kujiridhisha jinsi gani bajeti iliyopita imekuwa na impact kwa watanzania. Maswali ya kujiuliza kuhusu bajeti ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Sitta na Mwakyembe wamejitwalia umaarufu kwa muda mrefu kama makamanda wa kupinga ufisadi ndani ya chama cha majoka. Lakini ufisadi ktk ccm ni namna tu ya kawaida ya kutenda kazi...ni mfumo ambao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF Habari za kuaminika nilizozipata sasa hivi tundu lisu na wenzake wameachiwa kwa dhamani kutoka mahama ya tarime.na ameambiwa asionekane nyamongo from today. source redio one breaking news...
1 Reactions
154 Replies
15K Views
Thursday, May 26, 2011, 8:27 Habari kuu, Rai *Wasomi, wabunge waitaka kubadili mwelekeo wa bajeti *Yatakiwa iachane na tabia ya kunakili za miaka iliyopita *Wengi walilia bajeti itakayonusuru...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mkuu wa India kuanza ziara Tanzania Alhamisi (FikraPevu) Waziri Mkuu wa India Bw. Manmohan Singh anatarajiwa kuwasili nchini siku ya Alhamisi wiki hii kuanza ziara rasmi ya kiserikali...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Serikali yetu haileweki haki ya Mungu, Zombe leo hii naye anadiriki kusema hakutendewa haki wakati anakamatwa na kupelekwa mahakamani hatimaye gerezani, wakati akiwa mkuu wa polisi hakuyaona haya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom