Kamanda Godbless Lema ameitisha mkutano leo tarehe 25- 05-2011 utakaofanyika maeneo ya Arusha by night...
====
je habari za Kiinterejensia zitaruhusu mkutano huo....
WanaJF hakika ninayafikiria baadhi ya mambo yanayotendeka humu nchini sasa nikiwakumbuka marehemu mwl J Kambarage Nyerere,E Moringe Sokoine na wengine waliokuwa na mapenzi mema na taifa letu...
Ndugu zangu watanzania, chama cha mapinduzi kimemtumia Rostam aziz kwa muda mrefu katika kupora mali zetu, ili chama hicho kujipatia fedha za kuendeshea shughuli mbalimbali za kichama. Toka enzi...
Nimejisikia vibaya sana, baada ya kukuta Tanzania, na hasa Dar es Salaam tukitangazwa nje ya nchi kama jiji chafu sana na kuwashauri watalii wanaokuja Tanzania. Nikajiuliza hivi kazi ya...
Kweli ukichokwa! Yaani CDM imezoa wanachama wapya zaidi ya 1000 Morogoro leo. Kwisha habari yao 2015 tunapata mbwa mwenye uwezo wa kumsukuma Kalumekenge aende shule.
Source: ITV
By BILHAM KIMATI, 24th May 2011 @ 12:00,
VETERAN politician and long serving legislator Dr Chrisant Mzindakaya has proposed momentous reforms within the CCM administrative structures, that...
May I propose that if the reports that we have been receiving in the past few hours on the forceful removal and displacement of dead bodies from a mortuary in Tarie by the police are indeed true...
mara kwa mara manispaa ya musoma imekuwa inachelewesha mishahara ya watumishi wake, tatizo liko wapi na ni kwanini hawa watumishi wanakuwa hawapewi sababu za kucheleweshwa kwa mishahara yao...
Written by Nassor20 // 25/05/2011 // Habari // No comments
May 9, 2011 by zanzibardaima
Muasisi wa Muungano, Julius Kambarage Nyerere
Hakuna woga katika kulizungumza suala la kuvunja...
Ripoti Ya Mjadala Wa Kuadhimisha Miaka 47 Ya Muungano Wa Tanganyika Na Zanzibar
(Froud Community Centre Uk)
(Umetayarishwa na Jumuiya ya Zanzibar Welfare Association ZAWA)
23 April, 2011...
Tatizo la CCM bado wana siasa zile za enzi ya kudai uhuru!!
Siasa hizi ni za mtindo wa kushambulia mtu si Sera/hoja. Mtindo huu wamerithi kutoka kwa wakoloni. kwa CCM ukiwapinga wanaanza...
Kuuzwa mitambo Dowans balaa
*Yadaiwa ni kitendo cha kudharau mahakama
Na Rabia Bakari
Majira
KUUZWA kwa mitambo ya Dowans kwa kampuni ya Kimarekani ya symbion Power kumezua balaa jipya...
UPDATES:
-Ni marufuku mawaziri kutoelewana
-Mawaziri wakishakubaliana katika baraza la mawaziri ni uamuzi wa wote
-Ukiona ni vigumu kuafiki ni bora kutoka
-Ni lazima kutekeleza uwajibikaji wa...
Natumai humu ndani ni sehemu mojawapo ambayo waleta maendeleo ya nchi hii wanapata fursa ya kupata, kupashana na pia kuchukulia hatua taarifa kamili ambacho ni muhimu kwa maendeo yetu...
Africa about to celebrate 4G
Posted on Monday 23 May 2011 - 11:12
dewane08
Divine Ewane, AfricaNews contributor in Douala, Cameroon
It was President Julius Nyerere of Tanzania who once said...
Tuesday, 24 May 2011 20:08 newsroom
NA MOHAMMED ISSA
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema mkataba kati yake na kampuni ya gesi ya Songas una utata na unaweza kulisababishia hasara...
Kamanda wa Polisi wa kanda maalum ya Tarime na Rorya Bw. Constantine Masawe amesema Tundu Lissu na watuhumiwa wengine watatu ni watu wa Singida hivyo wanawahoji wamefuata nini Tarime.
Nionavyo...
Nilikuwa nimeipuuza sana clouds na kibonde wake. leo nikiwa foleni namsikia kibonde anamwaga point kuhusu kufa mashirika ya umma hasa atc na bima. Wale wanaopenda kutetea magamba, hivi inakuwaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.