Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) ameendeleza msimamo wake wa kutokumtambua Meya wa Jiji la Arusha, safari hii akiibua malumbano mbele ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki...
Mzee Mtei amekiri live kuwa CHADEMA ni kweli wamewachochea vijana wao jasiri kudai haki zao.
Nimefurahishwa sana na kauli yake bila kutafuna maneno:dance:. Big up Mzee Mtei!
Source: Channel 10...
Na Nova Kambota,
Tangu kuibuka kwa maandamano ya CHADEMA ya mkoa kwa mkoa kuna mambo kadhaa yaliyojitokeza na yanaendelea kujitokeza ambayo yanadhihirisha kile ambacho wachambuzi hukiita " ombwe...
Ama kweli mwenye nyumba pia aweza kuwa mpangaji ndan ya nyumba yke, haya tumeweza kushuhudia hapa tarime. Hivi serikal iko kwa ajir ya kulinda hawa wanaojiita wawekezaji au wananch wake? Kampun ya...
Inasemekama kuwa ziwa Tanganyika limekuwa kama WILD WILD WEST...kila kampuni ya mafuta unayoijua wewe inakimbilia huko na of course kama kawaida NGELEJA hataki kuwaambia watanzania kuwa yale...
Nimekutana ha hii huko Mwanabidii Dr Lwaitama akimjibu Mjengwa. Soma maoni ya Mjengwa na majibu ya Dr Lwaitama, safi sana nimeipenda.
Ndugu yangu Mjengwa
Mawazo yako yamenigusa sana...
Na Mwandishi Wetu
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Mkoa wa Dar es Salaam, Bi. Shyrose Bhanji jana aligeuka mbogo kwenye kikao cha halmashauri hiyo kutokana na agenda iliyopenyezwa ya baadhi ya...
Wadau,
Jana na leo Power zbreakfast wamerusha segement yao ya kuongelea vitu kimafumbo just before taarifa ya habari ya saa moja asubuhi, naweza nisinukuu yote lakini i got the concept na nina...
Makala ya Emanuel Mbondo,
Ukishagundua umefanya ujinga inakulazimu utumie nguvu nyingi kuutetea ujinga wako wa awali, na ukishatetea ujinga kwa nguvu uta oneka na unafanya ujinga zaidi ya ule...
Matangazo yamebandikwa kila mahali kwenye barabara za mjini yakisomeka kuwa
ni maandamano ya kumtoa fisadi chatanda
pia wanadai kwenye uchaguzi wa MEA arusha aliwatukana viongozi wa Dini...
KAULI YA KATIBU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU
VITENDO VYA JESHI LA POLISI KWA RAIA
NA
KUKAMATWA KWA WABUNGE WA CHADEMA
Katibu wa Wabunge wa Kambi Rasmi ya Upinzani...
Kwa hapa tulipofikia na tunapoeleka uadui unaongezeka kati ya CDM vs CCM
vyama hivi viwili vinakera na vinamatatizo sana
Chama neutral ni CUF /NCCR/UDP viungane tuvipigie kura ili tuache...
Nahofia sana mfumo wa SIASA tuliouanzisha hivi sasa wa kukuza MIGOGORO na MPASUKO ktk jamii na kuitumia kama MITAJI yetu ya siasa ktk majukwaa ili tupate UMAARUFU. Hatuna fikra kama tukijaaliwa...
Rehema Matowo, Moshi
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samwel Sitta, amesema anapitia nyakati ngumu za kisiasa kutokana na uamuzi wake wa kusimamia misingi ya haki, usawa na uadilifu...
Ni jambo la ajabu sana linalotia shaka kwa wanasiasa wetu kujinadi kwa sera zinazoingilia uhuru wa nasfi na kuacha kujinadi tukiwapa madaraka wamejipanga vipi kutatua kero zetu...sekta na asasi...
Katika pitapita yangu kwenye net nimekutana na hii kitu. Kama imeshawahi kusomeka hapa JF naomba mods muifute.
=================
We, the Tanzanian Community now living in Canada, have been...
Yule kada wa CCM, Daniel ole Porokwa yuko katika mkutano na waandishi wa habari hivi sasa. Nimeambiwa amejipanga kupasua jipu kuhusu uanzishwaji wa CCJ.
Amepanga kueleza kila kitu juu ya chama...
Baada ya Wazee wastaafu wa Jumuiya ya Africa Mashariki, kuelezwa kuwa hawana haki ya kulipwa, katika hukumu iliyosomwa leo, wazee hao wamelia na wengine kuzimia na kuanza kupepewa. Wengi wamesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.