Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ni siku chache zimepita Katiibu MKuu wa CCM alizomewa nyumbani kwao Musoma . Lakini nimekuwa najiuliza kwa nini azomewe na wakati ni mpya na alikuwa anajitambulisha pia ? Nikagundua kwamba ni CCM...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimefuatilia kwa karibu nikagundua kuwa nchi nzima TANROADS wamekazana kuweka alama za "X" kwenye nyumba ambazo ziko karibu na hifadhi ya barabara. Gharama kubwa sana inatumika kuwapeleka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wednesday, May 25, 2011, 11:32 Local News, Rai BY HAFIDH KIDO THE Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) lawyer, Mabere Marando, said his party was not seeking political cleavage on the...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Mwaka 2009/10, Dhahabu ya Tanzania iliyouzwa nje ni Tani 38 za dhahabu. Katika soko la dunia wakia moja (Troy Ounce) ya dhahabu inanunuliwa kwa Dola 1526. Wakia 1 (Troy Ounce) ni sawa na Gramu...
0 Reactions
0 Replies
9K Views
*Yadaiwa ni kitendo cha kudharau mahakama Na Rabia Bakari KUUZWA kwa mitambo ya Dowans kwa kampuni ya Kimatekani ya symbion Power kumezua balaa jipya baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam...
1 Reactions
1 Replies
931 Views
Leo mchana kutakuwa na mkutano wa hadhara arusha maeneo ya St. Thomas karibu na Ottu. Utahutubiwa na Lema(mb), Nassari, na madiwani wote wa chadema arusha. Mkutano huu umeandaliwa na madiwani...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kama uchaguzi ungefanyika leo Tanzania, asilimia 85% ya watanzania wanasema kuwa hawaitaki serikali iliyopo madarakani. Ufumbuzi huu umetokana na mini survey niliyofanya kwa kutumia data (maoni)...
2 Reactions
66 Replies
5K Views
UfuATAO NI TAARIFA HALISI TULIYOTOKA NAYO BAADA YA UCHUNGUZI WA WETU, KWA KULINDA NA KUHESHIMU UADILIFU WA TAALUMA YETU YA KIAFYA. KIAPO NILICHOAPA HUKO CHUONI (MEDICAL ETHICS) 1. Kile...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii ishu ya Tarime iangaliwe kwa kina..jana taarifa ya habari mwili wa marehemu uko barabarani,..sasa hii ni nini? huu sio ustaarabu zaidi tunazidi ongeza chuki ndani ya jamii...Nafikiri wanaitaka...
0 Reactions
0 Replies
927 Views
M. M. Mwanakijiji (Tanzania Daima) WATAWALA wetu wanahitaji hekima. Yaani, ile tunu na kipaji ambacho Mwenyezi Mungu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtakumbuka kwamba mwanzoni mwa mwezi huu kulikua na malumbano kati ya zitto na mkulo kuhusu malipo ya mishahara! Kiukweli mishahara ilikua inachelewa mpka siku ya 35 miezi mingine,ila naona mwezi...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Ndiyo hivyo jamani, kama shamba lisilo na mwenyewe vile! Wajanja wanakuja na mbegu chache lakini wanazalisha na kuvuna kwa kutumia watumishi walewale na shamba lilelile kisha wanakula, wanashiba...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Serikali ya awamu ya nne yenye vyombo vyote vya ulinzi na usalama na Amri jeshi mkuu imejivua wajibu wa kulinda maisha na mali ya wananchi wake na kuibebesha jukumu hilo CDM. Ni wazi sasa kuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekuwa nikivisit humu kama guest,now nimefikia uamuzi wa kujiregister humu kwa sababu zifuatazo.. Nimekuwa nikikasirishwa na maamuzi ya kuoneana huruma Unyanyaswaji unaofanywa na vyombo vya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikikosoa sana kuwa viongozi wetu wengi hawana ujasiri wa kuutetea Muungano wazo wamebakia kulalamika pembeni; na wale wanaosimama kuutetea wanautetea kwa minajili ya kisheria kuwa "ni...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Salamu wana JF!Kamati Kuu ya Chadema inakaa kesho, pamoja na ajenda zingine muhimu ni kukaa kama kikao cha kwanza cha uchujaji wa majina ya wagombea wa BAVICHA - Taifa.Ushauri wangu kwa KAMATI KUU...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
watanzania wote naomba tuionee huruma nchi yetu,kelele zimekuwa nyingi na inaonekana serikali haiwezi kufanya kazi zake jinsi inavyotakiwa,tunamnyima kikwete ujasiri wa kufanya kazi kwa sababu...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wanajamii wenzangu. Kwa kuwa nchi yetu imeingia mkenge kwa mikataba uchwala ya kufilisi nchi, k.m TANESCO na IPTL, DTL, Dowans Holdings SA na Richmond na kote huko tunadaiwa...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Something to be introduced/defined by 1 do and up to 10 don'ts? Hata kama ni maelezo au mafunzo style hii ni nzuri? :A S-rose:Nawasilisha kwa Great thinkers
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Rais Jakaya Kikwete amezidi kuandika historia katika kipindi chake cha uongozi kwa kuhitimisha kesi ya EPA ambayo kada wa CCM, Rajabu Maranda na \mshirika wake, Farijala wamepewa hukumu ya miaka...
1 Reactions
113 Replies
8K Views
Back
Top Bottom