Wana JF kuna jambo nimeligundua kwa mkuu wa kaya ni tofauti na awamu ya kwanza ya uongozi wake.
Toka achaguliwe ziara zake ni dodoma na bagamoyo, mkoa wa Iringa kakanyaga juzi kwenye mazishi ya...
Umaskini wa kutupwa wa Tanzania (pamoja na nchi kujaa raslimali tele) umetokana kwa kiasi kikubwa na mfumo mbovu wa uongozi ambao umejaa ubinafsi, ulafi wa madaraka, ufisadi (corruption)...
Monday, 23 May 2011 21:54
Ramadhan Semtawa
WABUNGE wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma, wamehoji sababu za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kuingia mkataba waliouita wa ovyo...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na uratibu) Wiliam Lukuvi anasema Serikali aiweza kuona raia wake wanapata matatizo, lazima wafanya haraka kuwasaidia wananchi
Katibu mkuu wa chama cha magamba Wilson Mukama jana alionja joto ya jiwe baada ya kuzomewa na wananchi wilayani Musoma mkoani Mara.
Mukama alipata dhahama hiyo baada ya kuisema vibaya chadema...
Monday, 23 May 2011 18:53 newsroom
NA STEPHEN BALIGEYA
KUNA watu wanalipwa ujira kidogo na kuambiwa kuhamasisha wengine nao waandamane lakini hawaulizi kwa nini wanaandamana, badala yake...
" Leo majira ya saa tano asubuhi katika kata ya Terat Jimbo la Arusha Mjini , Kulikuwa na tukio la upandaji miti lilifanyika katika shule ya msingi Nadosoito na kuhudhuliwa na Wabunge wa EAST...
Mwaka 2006/7 kulikuwa na halmashauri 100 ambazo zilipata hati safi za ukaguzi, idadi hii imeanguka hadi halmashauri 65 tu zilizopata hati safi mwaka 2009/2010, ikionesha kushuka kwa ubora wa...
Asema walimshawishi ajiunge na CCJ
na Salehe Mohamed
UPEPO wa kisiasa ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) unazidi kuchafuka baada ya Katibu Msaidizi wa chama hicho wilaya ya Moshi, Daniel...
Habari hii ni ya mwanzo katika the East African. Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Tanzania, Bernard Membe, iwapo kampuni ya BAE itatekeleza mpango wake wa kulipa fedha za fidia...
Uchaguzi wa 1995 Bulj alimngoa baba kimbao alietawala zaidi ya miak 20 kisiwa cha Mafia na kukiweka ktk hali maskini ya kutupwa. Tulidhani tumejikomboa kumpa Bulj. Kumbe amezidisha matatizo...
Wakuu, Habari za Ijumaa.
Ni mataumaini yangu kuwa mnaendelea salama na shughuli zenu za kila siku.
Napenda kutumia jukwaa hili kuwataarifu kuwa kesho tarehe 21 Mei 2011 kutakuwa na Kongamano la...
Huyu bwana kila kukicha alikuwa anatembea pale bandarini na kuwaambia Menejimenti kuwa anaondoka baada ya Jk kuacha kumtembelea amakuwa hajali na meli na wizi umerudi kama kawaida
tazama wenzie...
Katika hali isiyo ya kawaida (Kwa taarifa ya habari ya TBC 1), mbunge aliyeshindwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, Mathayo Manyinyi, amemtuhumu mbunge wa Musoma mjini kwa tiketi ya CHADEMA...
Balozi Ibrahim Kaduma, ambaye alikuwa waziri katika serikali ya awamu ya kwanza ya mwalimu J.K Nyerere ametilia shaka utekelezaji wa mkakati wa kujivua gamba kwa madai kuwa CCM na mwenyekiti wake...
NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
WAUMINI wa dini ya Kiislamu mkoani hapa, wametahadharishwa kuhusu mwenendo wa Chadema, kuwa kinahamasisha kuibuka vurugu nchini na kuwa chama hicho ni hatari, kwani...
Hii mikoa ni ngome yetu, CDM hawakubaliki kabisa na uzuri ni kuwa hata wao wanalifahamu hili na ndiyo maana huwa hawaendi kwenye ngome hizi, hata ufunguzi wa matawi katika vyuo vilivyo maeneo hayo...
Wapendwa wana-JF
Ukweli ninajiuliza maswali mengi ata sipati mtu wa kunipa majawabu.
Leo hii:
1. CDM wameishateka mikoa ya Kanda ya Ziwa kwa maana ya Mara, Mwanza, Shinyanga na Kagera
2. CDM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.