nilikuwa nasikiza mapitio ya magazeti kwenye moja ya stesheni za redio na nikastuka kusikia gazeti moja la kila siku likiripoti kuwa mtu wetu wa bagamoyo ameagiza waliotekeleza mauaji ya mwakeenja...
Daktari (PhD) wa ukweli amemjibu Mukama kuwa wananchi wanauezo kikatiba wa kumuondoa JK madarakani kabla ya 2015. Ibara ya 146 ya Sheria ya Serikali za Mitaa ya mwaka 1982, inasema wananchi ndio...
Mwanasheri wa Chadema Mabere marando,amesema wameshafanya uchunguzi wao kama walivyotumwa na chama dhidi ya mauaji ya watu 5 pale Nyamongo Tarime.
Na maiti za watu hao wamezihifadhi ktk hali...
Huyu nnape ni dc ila takribani wiki 2 sasa yupo kwenye siasa je huo u-dc kampa nani?maana muda wote huo sijasikia anatangazwa kuzindua mradi wowote wilayani masasi.na je itakuwaje mwanasiasa kama...
Tumewaona vijana wanajeshi kule Misri wakishikana mikono na wananchi. Ni ukweli, wengi wa wanajeshi hao wamekuwa recruited ( kuingizwa jeshini) wakitokea kwenye familia za kimasikini.
Kwa...
Kama kunakitu chenye kuuma katika nchi hii ni jinsi ambavyo suala la wizi wa fedha za umma linavyoshughulikiwa na uongozi wa nchi hii ya tz. Haingii akilini eti leo rais anasimama anasema wazi eti...
Shalom wana jamvi kamwe dunia itabaki na vijana tutaandika historia leo hii serikali imestisha ajila yangu kissa kwangu nina bendera ya ukombozi ya cdm na kua naandesha migomo toka nikiwa udsm...
UCHAGUZI 2010: USHINDI WA JAKAYA KIKWETE, SHUBIRI KWA CCM
Mwaka 2005 wakati Jakaya Mrisho Kikwete akiwania kuwa Rais wa Nne wa Tanzania, aliendesha kampeni za ndani ya CCM kwa hila, mbinu na njia...
kwa wale wanaopita pita mjini dodoma leo ni masimulizi ya jinsi FEDHA na UBABE wa siasa umeshindwa kufanya kazi katika jamii ya wasomi......
pamoja na matumizi makubwa ya rasilimali...
Watanzania wezangu,
Tanzania yetu inatakribani ya watu milioni 45 na vyama vya siasa kadha wa kadha kama vile CCM, CDM, CUF, kwa uchache. Wananchi walio wengi wanahitaji viongozi bora kwa ajili...
Mbunge wa Mufundi Kaskazini, Mahamud Mgimwa? amesema hataweza kuvumilia kuona wagonjwa katika jimbo hilo wakibebwa kwa kutumia machela na kwa hiyo ameamua kutumia Sh. 90 milioni, alizokopeshwa na...
TAMKO LA WAZIRI KIVULI (MSEMAJI WA KAMBI RASMI YA UPINZANI) WIZARA YA NISHATI NA MADINI JUU YA MASUALA, MATUKIO NA MWELEKEO WA SERIKALI KUHUSU UMEME KATIKA KIPINDI CHA MWEZI MEI
Utangulizi...
Barrick yashangazwa na mauaji
Kampuni ya African Barrick North Mara imesema inapata tabu kila yanapojitokeza matukio ya ukiukwaji haki za binadamu na mauaji, huku akionyesha kuwalaumu polisi...
Wanajamvi napitia gazeti la Dira hapa sasa hivi kuna mchambuzi kanifurahisha sana aisee yeye anamtaka Nape Nauye afikiri kabla hajajibu hoja lakini huyu mchambuzi kanifurahisha zaidi anapohoji...
MAHOJIANO YA JANUARY MAKAMBA NA JARIDA LA UMOJA
1. Umekuwa msaidizi wa karibu wa Rais Jakaya Kikwete tangu akiwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi na Ushirikiano wa Kimataifa hadi hivi sasa, ni...
kiuandaj lilikua limeandaliwa vzur ila sdhan km yaletuliotazamia kupata tumeyapata,waheshmiwa walioalikwa hakuonyesha dalil za kutak kutueleza tumejikwaa wap na tufanye nn kujinasua na tatzo...
BAADHI ya wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge wametoa tuhuma nzito kwa baadhi ya viongozi wao wa juu kutokana na kile wanachokiita ni kubaguliwa kwa kuitwa ni watu wa kundi la Spika mstaafu Samuel...
Kwakweli pamoja na mapungufu yote ambayo binadam wanayo na mfumo wowote unayo, CCM ni chama cha demokrasia ya kweli, kwa kukubali kukosolewa na kujirekebisha, mazingira yananionyesha CHADEMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.