Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wana JF kuna jambo hapa laweza kuwa kudhihirisha kwishiwa kwa serikali au muendelezo wa ufisadi nchini na kwa ccm kiujumla. nimetonywa kuwa ile siku ya kemia duniani iliyoadhimishwa pale...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi hii kesi imefikia wapi? Maana upande wa pili ukishindwa kufika mahakamani kwa ahadi zao wanashambuliwa kweli. Hii kesi imefika wapi? Watanganyika bwana.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wabunge, waziri watunishiana misuli * Ni Kabaka, Jenista Mhagama, Mbilinyi (Sugu) * Wavutana katika kutembelea kiwanda * Kiwandani wabunge washuhudia ‘madudu' * Wafanyakazi wanalazimishwa...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Kesi ya Prof. Mahalu – Zengwe jipya jikoni Kuna habari kwamba upo uwezekano mkubwa upande wa mashitaka ukaumbuka kisawasawa kutokana na affidavit ya His Excellency BWM, our ex President...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mimi ningemshauri Raisi Kikwete badala ya kulalamika atubu mabaya kwa Watanzania na atoe ahadi na kufanya jitihada za kubadilika. Kikwete hagombei tena urahisi huu ni wakati wa kufanya kazi bila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mara nyingi tumekuwa tukisikia serikali na tasisi zake, kadhalika hata watu binafsi kuahidi kufanyia kazi mambo mbalimbali.Hii hupelekea ama kusitisha mjadala au kuongeza kiu ya wananchi na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nape tunashukuru sana kwa kuja hapa JF, tunajua una kazi nyingi ila mtindo wako wa kuweka bandiko hapa na kukimbia sio fresh, hapa JF ukiweka bandiko lazima ulitetee, sio lazima ujibizane au ujibu...
2 Reactions
203 Replies
13K Views
Miaka sita, saba kasoro Mimi nauliza swali utakomaa lini? Nchi yetu inazidi kurudi nyuma Ulipomaliza miaka yako mitano ulisema unajifunza, je hadi sasa unajifunza?
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singidan Selestine Yunde akifungua kikao cha baraza la madiwani. Kulia ni Mkurugenzi wa halmashauri hiyo Illuminata Mwenda na kushoto ni Makamu Mwenyekiti...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna tetesi zimezagaa kwamba JK amemteua bwana Abdala Mtonga kuwa internal auditor general. Kama ni kweli nadhani uteuzi wake utakuwa mzuri maana jamaa alikuwa afisa masuhuri wa ofisi ya CAG...
0 Reactions
108 Replies
18K Views
Katika gazeti la Tanzania Daima, kuna habari inamhusu Jenister Mhagama ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya Bunge huduma za jamii. Huyu mama kama mwenyekiti, alikuwa anajaribu kuizuia kamati yake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Idd Azzan aomba radhi CCM MBUNGE wa Kinondoni, mkoani Dar es Salaam, Idd Azzan, ameomba radhi mbele ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam, kwa kitendo cha kukiuka maadili ya...
0 Reactions
80 Replies
7K Views
*NI laana, ni bahati mbaya, ni “Ujinga”, ni umaskini wa fikra, ni kupumbazwa au ni kitu gani hiki kinachosababisha tusherehekee miaka 50 ya Uhuru wetu bila ya kuwa na “vitu” vya uhakika? Hatuna...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika kutapatapa kwa na kwa kufanya mambo ambayo hawajajiandaa na hawajui wafanyeje CCM na JK wamejikuta wanafanya dhambi hizi , na ambazo hazitawaacha salama: 1. Kufuta azimio la Arusha na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamii Jana kupitia vyombo mbalimbali vya habari tumesikia na kuona kuwa miili ya wapiganaji wetu ilitelekezwa baada ya kuibiwa Motuary na polisi usiku wa kuamkia jana. Ni maajabu kwelikweli...
1 Reactions
172 Replies
15K Views
ni kweli wanasiasa ni waongo kwasababu wanapopewa madalaka hawatekelezi wajibu wao lakini kipindi cha uchaguzi ni wakwanza kutoa haadi nitafanya iki,nitawapa lakini wakisha ingia bungeni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kulingana na utaratibu wa sasa wa kupitisha bajeti, waziri wa fedha katika hotuba yake ya bajeti uelezea kwa kinagananga jumla yafedha zilizopangwa kutumiwa na serikali kuendesha shughuli zake...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
H.E. Mr. Benjamin Mkapa, former President of Tanzania Chairperson, Members of the Board of the Thabo Mbeki Foundation, Distinguished Invitees, Ladies and Gentlemen I am most grateful to...
1 Reactions
10 Replies
7K Views
*Ni kutokana na mauaji ya wananchi watano Tarime *Yalaani, yasema huo ni ukiukwaji wa haki za binadamu Na Agnes Mwaijega BARAZA Kuu la Chama cha Wananchi (CUF) limemtaka Waziri wa Mambo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mi mzalendo mtanzania halisi. Nimechoshwa na kelele za marumbano zinazogonga masikio yangu kila kukicha na kila mmoja akimnyoshea kidole mwenzie kuwa ni mkosaji.. Sasa nataka uniambia wewe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom