Hatimaye Zitto Zuberi Kabwe amenena.Amesema kuna mbinu nyingi zinafanywa na maadui wa chadema kumgombanisha na mwenyekiti wake Freeman Mbowe.Katika hilo ametupia lawama baadhi ya vyombo vya habari...
Watu wengi hawakumbuki kuwa miaka ya 60 Nyerere aliunda Tume ya Chifu Mang'enya ambayo iliundwa kuangalia mojawapo ya matatizo makubwa ya kitaifa. Kuundwa kwa tume ile kulionesha kuwa Nyerere...
Mwandishi Wetu
Mei 18, 2011
Serikali yakiri baadhi ya wawekezaji ni matapeli
KIKOSI kazi maalumu kinatarajiwa kuundwa, hivi karibuni, kikiongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi ili kufuatilia...
Written by administrator // 20/05/2011 // Habari // 8 Comments
Waheshimiwa Wazanzibari
Asalam Aleikum,
Kwa heshima nakuleteeni hapa kauli ya Jahazi Asilia kuhusu Shirikisho la Afrika Mashariki...
imekuwa ni kawaida kwa viongozi wa serikali kuiraumu chadema kwa kila jambo linalojitokeza nchini eti wanasiasa wachama furani ndio wa wanaowachochea wananchi kuipinga serikali juu ya mambo...
Wanajanvi moto na hasira za watanzania, juu ya wanachaita dhuluma na wizi wa mchana unaotaka kufanywa na selikari kwa kupitia halmashauri ya manispaa ya Ilala! Unawaka hapa kinyerezi, raia...
Nakumbuka miongo kadhaa imepita tangu kutokee mtafaruku wa viongozi wawili mkoani Ruvuma kati ya Askofu na Mkuu wa mkoa. Askofu kilichomponza ni kumtaka Mkuu wa Mkoa kufuata maadili ya dini yake...
Manispaa ya ilala imetoa tangazo kuhusu ugawaji wa viwanja eneo la Kinyerezi. Katika tangazo hilo unatakiwa ulipe shilingi 20,000.00 kupitia benki ya DCB akaunti 011005000075. Manispaa wameamua...
Nimevumilia sana kutokusema but nimeshindwa sasa
inabidi niseme tu kilicho moyoni kwangu.
Kwa ufupi nashangazwa na busara za CHADEMA na Dk Slaa.
Mimi ni katika wale ambao nimesha give up na...
Nimekuwa nafuatilia kwa ukaribu chaguzi mbalimbali Tangu zile za 2005 na 2010 na kuona mbinu chafu zinazotumiwa na chama Tawala CCM tangu wakati wa kampeni, kwenye tume ya uchaguzi, wakati wa...
Wadau nafikiri tumesikia ya kuwa mitambo ya Dowans imeuzwa kwa kampuni ya kimarekani,sasa swali ninalojiuliza mimi ni kwamba kama Raisi wetu alikana hadharani ya kuwa hawajui wamiliki wa...
BAE Systems has escaped prosecution for bribery. But where does that leave the poor of Africa?
Richard Dowden
So now we know a little more. We always knew that in 2001 the British company BAE...
Leo katika chuo kikuu cha ushirika na biashara moshi(muccobs),kuna kongamano la kujadili tatizo la umaskini katika taifa letu.
Kuna watoa mada mbalimbali,akiwemo samwel sitta,waziri wa ushirikiano...
ni kwa mujibu wa nape.
badala yake wataunda kitengo cha mahusiano ya umma ili kukiwezesha kuwa karibu zaidi na wananji.
kitengo cha propaganda kuunganishwa na idara ya habari ambayo...
Mwenyekiti wa wazee mkoa wa Dar es salaam mzee mwinyimvua amefariki dunia.
Itakumbukwa wazee wa Dar es Salaam wamekuwa wakitumiwa kama daraja la propaganda la CCM muda mrefu tangu enzi za Mwl...
CHADEMA kimeweza kufanya mikutano ya hadhara,kutatua migogoro mbali mbali ya viongozi na wanachama, kutoa kadi mpya 46000 katika mikoa 6 ya nyanda za juu kusini kwa kutembelea majimbo yote 37...
Ni wazo tu, kutokana na hali halisi. kiongozi na dr aliyewapiga ganzi ni dr slaa. 2007 aakataja mafisadi 11, dr hakuangalia sura hadi rais ndani, bungeni moto aliendelea kuwawashia, wakadhania...
Ndugu zangu na haswa mashabiki na wapenzi wa chama cha magamba, hili ni onyo kwenu na mkipuuzia ole wenu siku yaja tena inabisha hodi. Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni imejitokeza tabia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.