Wana jamvi habari ndiyo hiyo tuwaunge mkono kwa kuitembelea na kutoa maoni yetu:
"Waheshimiwa viongozi na wapenzi wa CHADEMA,
Napenda kuwajulisha kuwa UONGOZI wa CHADEMA Mkoa wa ARUSHA...
Tatizo ni nini hata haya mauji kila kukicha yanatokea mapya, ni kweli siasa zinahusika mana imekuwa kama mchezo au vyombo vya usalama haviwajibiki ipasavyo nina shaka katika hili la usalama wa...
Kama mnavyoelewa kesho ndo kumbukumbu ya kuzama kwa MV.Bukoba naamini bado tuna maswali mengi ya kujiuliza ambayo hayajapatiwa majibu.bado tunawapa pole wale wote waliofariki,kupotelewa na ndugu...
'Eat more rushwa,more miradi'Mapacha watatu say
'More magamba,more majumba,but sisi ni walalahoipay'
This is the slogan that suits us:JK ni gamba gumu zaidi!
WanaJF mnasemaje?
Source Raia Mwema.
NOVEMBA 26, 2010, saa saba usiku, wakati idadi kubwa ya Watanzania wakiwa usingizini, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kulikuwa na...
Imebainika kuwa kushindwa kwa Chama cha Mapinduzi katika kuongoza Taifa hili kunatokana na uzee uliokizunguka chama hicho kila kona. Viongozi wake wote wakuu ni wazee wa zaidi ya miaka 60...
Nimeshangazwa na kauli za Mawaziri wa mambo ya ndani kuhusina na mauaji yaliyofanywa
na dola dhidi ya watanzania waliokuwa wakipigania rasirimali za Taifa zinazoibiwa na wazungu
wanaolindwa na...
Ikiwa ni takribani saa 48 tu baada ya Chadema kuibua tuhuma za kuwepo kwa sukari ya magendo iliyofichwa katika maghala 7 ya mbolea katika mji mdogo wa Makambako polisi kwa kushirikiana na TRA na...
Nimesikia kwenye vyombo vya habari majibu rahisi aliyoyatoa Mh. Kagasheki kuhusu vurugu na mauaji ya raia huko Nyamongo tarime kuwa wananchi wameandamana kwa kushawishiwa. Mimi nadiriki kusema...
Habari WanaJF
Ni masikitiko yangu kuwa wazima, lakini napenda kutoa dukuduku zangu juu ya chama changu ccm
kwa kuendeleza utemi nakutosamini wanachama wake, wengi wa wanachama wamekikimbia...
http://www.everbuy.com/m-webad-a-r-lid-248.htm
Saa hapa, wote Gadgets ni chini ya $ 1 na meli ya bure! Ajabu, lakini bei I am interested sana katika hilo, hivyo nafuu, inawezekana?
Kuna taarifa kuwa Mnajimu na mtabiri Sheikh Yahya amefariki dunia. Tunawaombea heri na uvumilivu wafiwa na kumuombea kwa Mungu marehemu alazwe mahali pema peponi!
Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera na uratibu wa Bunge, Wiliam lukuvi, amekana kumiliki vitalu katika msitu wa sao hill kama ilivyodaiwa na katibu mkuu wa CHADEMA Dk wilbrod Slaa katika...
Mh. Zitto, napenda kukupongeza sana kwa mchango wako mkubwa kwa Taifa letu. Juhudi yako tunaiona, na ni imani yetu kuwa utaidumisha. Mh. Zitto, Mungu amekujalia kuingia katika duru la siasa hali...
Baraza la Madiwani la Manispaa ya Sumbawanga, limepitisha bajeti ya sherehe za kuuaga mwaka uliopita na kuukaribisha mwaka 2011. Hata hivyo, madiwani wa chama cha upinzani Chadema, wameahidi...
Habari toka mtandao wa Wikileak zinaonyesha kuwa mzee wa kazi Dominique Straus Kahn aliwahi kumzingua mdada katika mambo ya kiunoni. Habari kamili zipo hapa. Babu anaonekana ana ubavu sana, at 62...
Tofauti na nchi nyingine za Afrika na duniani, Tanganyika,Zanzibar ama Tanzania uhuru kutoka kutoka utawala wa mkoloni haukupiganiwa na wengi (mass movement).
Watanganyika wachache ambao ni...
Katika mfululizo wake wa maanadamano na mikutano Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimefanikiwa kuishinikiza serikali kulipa mishahara ya watumishi wake mapema.
Akiwa katika mji wa...
Rais Jakaya Kikwete akipokea zawadi kutoka kwa Msaidizi Mtendaji Mkuu wa Uongozi Institute, Linda Manu baada ya kuzindua bodi ya chuo hicho jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa bodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.