Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hivi chadema inatumia nguvu kiasi hicho kufanya maandamano na kuwavutia watu wengi, halafu kije kifie njiani kwa sababu za kina bavicha ni aibu ya kilo ngapi hiyo? Tazama makundi yanayozuiwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimeangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku ya Itv,kwenye swali la kipima joto la jana usiku waliuliza je wananchi kumpiga mbunge wao ndo suluhisho la kutatuliwa matatizo yao?huwezi amini matokeo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
WanaJF Najua wengi itakuwa inawauma lakini ndo hivyo mambo yamekuwa Baada chama kubwa kuzaliwa upya na kuwatema mafisadi, wananchi wengi wamefurahia uamuzi huo na sasa waandae maandamano ya...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wafanyakazi wa serikali tulilipwa mishahara yetu ya April,2011 tarehe 7 May,2011. Hii haikuwa kutokea katika miongo ya hivi karibuni. Chama dume (CDM) kikiwa kinaunguruma nyanda za juu kusini, HE...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwakitendo kilichofanyika Mara hiyo ni ishara ya kuichoka CCM hivyo Nape anayokazi kubwa labda uanze kuwapa pesa watanzania kwani ndilo tatizo la msingi!!Hiyo ni endiketa kwa mkoa mzima mjipange...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Thursday, May 19, 2011, 6:05 Habari kuu, Rai *Wafanyabiashara wakiondoka CCM itanusurika? *Atakiwa kuangalia mazingira ya sasa yalivyo duniani *Armando Guebuza, Mwai Kibaki ni wafanyabiashara Na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
* KWANINI WABUNGE WA CCM WALIOSHINDWA KULIPA FEDHA UDHAMINI WALIPUNGUZIWA? NA SIO UPINZANI WA UDP? MAHAKAMA INA DOUBLE STANDARDS? Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, imeitupilia mbali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hakika, CDM mumemkaba koo J.K hadi kashindwa kutangaza Ma-DC na Wakuu wa Mikoa, duu! Muacheni kidogo apumue.......jamani..........Leo wako Iringa, Kesho Mikumi na kesho kutwa Mzumbe..........J2...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakati taifa bado linafuatilia habari za mgodi wa Barrick huko Tarime, habari nyingine ambazo zimepatikana zinadai kuwa viongozi 2 (mwenyekiti na Katibu) wa wafanyakazi kwenye mgodi wa Geita...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naye Nyerere alisema anawasikitikia wananchi wa Njombe, kwani licha ya kulima miti ya nguzo za umeme, wanalazimishwa kuuza kwa Sh. 5,000, huku Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) likiuza nguzo...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Florence Mugarula 19 May 2011 President Jakaya Kikwete yesterday said Africa needs strong and visionary leaders capable of addressing challenges currently facing the continent.Speaking during...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri kivuli kutoka wa mambn ya nje na ushirikiano wa kimataifa Ezekiel Wenje ametoa tamko kwa niaba ya kambi ya upinzani nchini akilaani bugudha anazopata kiongozi wa upinzani nchini uganda Dr...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wednesday, 18 May 2011 11:55 newsroom Na Mwandishi Wetu Gazeti la Uhuru MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza uchunguzi wa ukwepaji kodi unaodaiwa kufanywa na CHADEMA, imebainika. TRA...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Wednesday, 18 May 2011 21:33 Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa Martin Shigela(kulia) akimkabidhi fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Umoja huo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
HESHIMA YENU WAUNGWANA,NAOMBA MNIPOKEE MI KIJANA WENU,:mod:
0 Reactions
2 Replies
885 Views
Ni kweli usiopingika kuwa 2015 ccm hawatakuwa madarakani tena. Nawashauri wafanye juu nchini Dk. Slaa arudi bungeni labda huko wataweze kumzibiti...!! propaganda zao mshahara, amani kutoweka na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Tuesday, 17 May 2011 23:03 Ramadhan Semtawa SIKU moja baada ya kurushiwa kombora la kutaka kukihama CCM na kuanzisha kilichokuwa Chama Cha Jamii (CCJ), Waziri wa Ushirikiano wa Afrika...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Jamani kumbe tanzania kuna kiwanda cha kutengeneza tv! kinamilikiwa na wachina!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kutakua na kongamano linalohusu miaka hamsini ya uhuru wa Tanzania na umasikini.Kongamano hili litafanyika chuon hapo ndani ya nyerere hall jumamosi saa mbili asubuhi. Kongamano hili litahudhuriwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku hizi kumekuwa na maovu mengi wayafanyao viongozi wetu kwa watu wao maskini huku wakifikiri kuwa watakuwa na amani daima au wataishi milele au hawataweza kujulikana kwa ajili ya nguvu ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom