Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
UTETEZI uliotolewa mahakamani kwa njia ya maandishi na Rais mstaafu Benjamin Mkapa katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu...
0 Reactions
76 Replies
7K Views
Nilikuwa katika pilika za hapa na pale, nikakutana na vijana wanaongelea juu ya uozo uliomo ndani ya Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu, akawa anawaeleza wenzake kuwa kuna waraka umetolewa na...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Akiwa katika ziara yake ya kichama na 'kujitambulisha' kwa wana-CCM wa Mkoa wa Mara,Katibu Mkuu wa CCM,Wilson Mkama ameahidi kuwafukuza wafanyabiashara wote walio ndani ya chama hicho.Kwa jinsi...
0 Reactions
119 Replies
10K Views
Harakati za ukombozi wa kweli wa Tanzania yetu unazidi kushika kasi katika kubomoa ngome mbalimbali za CCM na sasa ni zamu ya chuo kikuu mzumbe. Dr. Slaa pamoja na wenzake watakuwepo hapa chuoni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Diwani Vs Spika wa Bunge nani atashinda? DIWANI wa Kata ya Kijitonyama, Ulole Juma Athuman, amemtaka Spika wa Bunge, Anne Makinda kuifungua barabara inayounganisha eneo la Sinza na Kijitonyama...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
"Waziri amesema moja kati ya mambo yaliyosababisha mabadiliko ya Katiba, ni mabadiliko ya Katiba ya Zanzibar. Mabadiliko yale yameifanya Zanzibar kuwa nchi kamili. Na sisi tudai Serikali ya...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
nimeanzisha topic asubuhi hii "haya ya tarime yanaashiria nini" wamecoment watu kadhaa imedisapear! nini hiki jamani?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Madereva daladala wamegoma kutoa huduma mjini Morogoro kwa kile walichokitaja kuwa kero kubwa kwao kulipishwa ushuru wa Tsh.300/=kwa kila safari wanayofanya waingiapo kwenye Stand ya Manispaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
na Edward Kinabo MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema chama chake kitahakikisha kinalitumia Bunge lijalo la bajeti kuishinikiza serikali kupunguza...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Jk katika utawala wake kaweka rekodi ya kufanya madudu mengi sana,siwezi kuyaorodhesha hapa kwani watu washayazungumza sana! Ila huyu jamaa kajitahidi sana kukuza demokrasia na kupunguza kuogopana...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nilikwishawaambia "mawe ni mepesi mkononi, ila ni mazito usoni" sasa leo hii imeanza tarime, mfano ni huu kuanzia sasa, na utaendelea kuwatokea viongozi (watawala)wote. Mimi ni miongoni mwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna tangazo kwenye magazeti ya leo linalohusu kaya takribani 1000 za wananchi wanaoishi kwenye viwanja vya Wazo Hill, kwa maneno mengine wamevamia eneo hili. Maswali yangu machache kwa serikali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Am just curious............... 1. Wanajipanga?? 2. Wanapangana? 3.Wanashangaa? Coz kuna habari ya sintofahamu, makamu wa kwanza wa rais Zenj, ambaye ni katibu mkuu inasemekana anaskip vikao vya...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Imepita kama siku tatu hizi,pale ambapo nilimsikia katibu wa CCM bwana Wilson Mukama kwenye taarifa ya habari ya TBC1 saa mbili usiku akibeza viongozi wa CHADEMA wakitembelea kaburi la Baba wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Baada ya Nape kuwagusa mafisadi, sasa Nape anashambuliwa kama mpira wa kona, kutoka kila pande. Kwenye magazeti hadi mitandaoni. Ni kweli mafisadi hawagusiki, gusa uone.
0 Reactions
104 Replies
8K Views
baada ya kukiri kwa CDM kwamba wamenunua malori ya mbowe kwa kulipa deni kidogokidogo bila riba inawezekana ikaonekana kama mbowe ameisaidia chadema,lakini mimi naona kuna mgongano wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wasaidizi wana nafuu kuliko rais? Ansbert Ngurumo BAADHI yetu hatujaelewa ari, nguvu na kasi ya Rais Jakaya Kikwete. Nina hakika naye ameiimba, lakini hajaielewa barabara. Kaulimbiu hii...
39 Reactions
184 Replies
19K Views
DEOGRATIUS KISANDU MGOMBEA UENYEKITI BARAZA LA VIJANA CHADEMA, Mimi Deogratius kisandu ninawania nafasi ya mwenyekiti wa Baraza la vijana Chadema Taifa katika uchaguzi utakaofanyika mei 28...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nape angalia sana ndugu umegeuzwa mshumaha ( candles)unamurikia wengine wewe mwenywe unanyongonyea.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
leo kwenye taarifa ya habari ya tbc1 kwa mara ya kwanza wameonyesha taarifa ya maandamano na mkutano wa CDM huko Njombe. wameamua hivyo baada ya wadau mbalimbali wa habari na maendeleo...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Back
Top Bottom