Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wajumbe kwanza ningependa kuwashukuru sana baadhi ya watu wanao jaribu kudadavua waasisi wa chdema na ccm sasa ambacho naweza kusema ni kwamba si jambo la hekima sana tukianza kuzalisha hayo kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Na mwandishi wetu CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kiko katika maandamano ya amani yanyofanyika katika mikoa mbali mbali nchini kwa sasa lengo likiwa ni kuzunguka nchi nzima...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Juzi na Jana South Africa kulikuwa na Special Vote, Police, Madokta na Manesi, Wanajeshi, Wazee na Wagonjwa wakioa kuwa wamelazwa Hospitalini wakichagua madiwani, wakuu wa wilaya (Vitongoji)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa kawaida kila kiongozi huwa ana malengo ya kufikia katika kipindi cha uongozi wake, malengo hayo ndio huzaa mipango, mikakati, majukumu na utendaji a kila siku. Mara nyingi viongozi wetu huwa...
0 Reactions
1 Replies
990 Views
Rais wa Watu, mpenda haki Doctor wa ukweli, yuko ndani ya nyumba Mjini Njombe akitema cheche; kama kawaida watu kibao.
4 Reactions
171 Replies
15K Views
Mbunge wa Kyela (CCM), Dk. Harrison Mwakyembe, amejibu mapigo ya Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Mr. II, kwamba hana ubavu wa kumng'oa katika uchaguzi mkuu...
1 Reactions
75 Replies
7K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimemshutumu Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, kuwa ni miongoni mwa wanasiasa wanaowahadaa wananchi kutojiunga na Chadema kwa sababu ya dini...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Africa Review|Daily Nation|Business Daily|NTV|Daily Monitor|The Citizen|Mwananchi Tanzania police top corruption list Tanzania's President Jakaya Kikwete. An anti-corruption agency report...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
KADA wa Chadema, Fred Mpendazoe amewataja mawaziri wawili wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete, mbunge mmoja wa CCM na makada wengine wawili wa chama hicho tawala kuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa...
0 Reactions
120 Replies
10K Views
Nashangaa kila nikiingia humu mazungumzo ni kuhusu hao watu 3!!me naona tunawapa ccm ahueni sana,wanafanya madudu bali hawana wasiwasi kwani wanajua hatutahoji ,tupo bize na mapacha 3!! Hao...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Join us in raising moraly sensitive Tanzania society under Save the Society (StS) NGO. We are all youth with vision for MORALITY and LEADERSHIP as the only reserved way to take us where we were...
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Wakuu, Je hapa tunaweza kujifunza kitu? Nilikuwa namsikiliza Mzee Butiku kwenye kipindi cha This Week In Perspective juzi, alisema kuwa mtu yeyote mstaafu aliyekuwa Kiongozi Mwandamizi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Monday, 16 May 2011 * Akomba wanachama wake 239 * Chiligati: Mamluki CCM kudhibitiwa Na Ghati Msamba, Bunda Gazeti la Uhuru KIMBUNGA cha Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, kimeitikisa...
0 Reactions
101 Replies
10K Views
Hivi hawa chama tawala eti wanajiandaa na madhimisho ya miaka 50 ya uhuru. Yaani miaka hiyo yote wametufanyia nini hawa ? Au wanjaiandaa kuadhimisha miaka 50 ya ufisadi hapa Tanzania !
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Poleni sana na maisha magumu Watanganyika wenzangu, tufafika tu mdogo mdogo. Mimi sina mengi ila najaribu kuangalia hizi tuhuma mpya za kisiasa ambazo Mpendazoe amezitoa hadharani jana, inaonekana...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Na Faida Muyomba, Geita CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Geita kimewataka viongozi (CCM) kutotumia fedha za wananchi kwa kueneza propaganda wanazodai za uongo majukwaani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania's President Jakaya Kikwete. An anti-corruption agency report indicates that the vice continues to thrive under his watch. Photo/LEONARD MAGOMBA By SYLVESTER ERNEST in Dar es Salaam...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wanaharakati walaani vurugu Zanzibar. Wakiongea na vyombo vya habari, wanaharakati wa kituo cha sheria na haki za buinadamu wamekemea kwa ukali sana uvunjifu wa haki na kuteketezwa mali za...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tuesday, May 17, 2011, 9:38 Biashara, Mtanzania *Serikali ilitanguliza fedha badala ya elimu ya ushirika Na Arodia Peter, Dar es Salaam MWANZONI mwa miaka ya 1960 na 1970, mikoa ya Kagera na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau jana Prof. Maghembe aligeuka kuwa kama JK kwenda kutembelea masoko ili kuona bei za mazao, ziara kama hizi zisizo na tija za kutafuta umaarufu zlishawahi kufanywa na JK ambazo mpaka leo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom