Hoja yangu inalenga hasa kwa maeneo ya mjini ambako ndo kuna kizungumkuti katika uendeshaji wa halmashauri za miji.
Pendekezo langu ni kwamba tupunguze maeneo ya halmashauri za miji.
Mfano: 1...
Ndugu zangu,
Nimemsikia Kikwete akiwaambia mawaziri kwenye semina elekezi Dodoma kwamba uchaguzi unapoisha unaashiria mwanzo wa uchaguzi unaofuata. Hivi nchi hii itakuja iendelee lini jamani...
Nakuomba ndugu Lula Wa Ndali rudia tena yale maoni yako kuhusu muungano na vituko vya wazanzibar nakumbuka uliweka wazi kabisa tena kwa hoja kuwa tusifike sehemu ya kuchomeana vibanda vyetu...
Nionavo mie tatizo la umeme hapa nchini ni sawa na la chakula. Chukulia mfano huu,
mkulima mdogo ana eneo pana la kulima karibu na mto lakini anatumia jembe la mkono kulima sehemu ndogo tu kila...
Namkubali sana Nyerere kutokana na jinsi alivyokuwa kiongozi shupavu mwenye kuweza kumnyamazisha na kumpotezea yeyote yule,kipindi chake nidhamu ilikuwepo bwana.Watu walikuwa wapigwa ban za...
*Awaagiza watendaji waiokomeshe ili CCM ishinde 2015
*Asisitiza nidhamu ya matumizi ya fedha za walipakodi
*Makamu wa Rais: Ufisadi ulipunguza ushindi wa CCM
Na Pendo Mtibuche, Dodoma
RAIS...
SALAM ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA WATANZANIA,
TAREHE 31 DESEMBA, 2010
Ndugu Wananchi;
Habari za jioni.
Leo tunauaga...
Wana JF
Kwa mwezi mzima nimekuwa nikifuatilia vurugu za uchaguzi za uganda kutokana na kile wanachodai kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki zikiongozwa na Dr Kiza Besige kuongozi mkuu wa upinzani...
Nidhahili nikiwa naona kuzaliwa kwa CCM ni takribani miaka 30 na ushehe hivi tangu kiko Madarakani!!
Ajabu wananchi wake wamekata tamaa!!Je nikwanini wananchi wameendelea kusota kwenye Dimbwi la...
Kwa maoni yangu, kama kuna eneo rais ameonyesha mapungufu makubwa, ni katika kulinganisha gharama iliyotumiwa na faida iliyopatikana (value for money). Kwa mfano, hivi majuzi wakati akifungua...
wana jf hivi lini hospitali yetu ya muhimbili itakuja kuwa bora kwa huduma? Inasikitisha sana kuona watu wanapoteza maisha kwa ajiri tu yakukosa pesa kidogo ya kIpimo au que ya kumuona...
CHADEMA yamuonya Ngawaiya asikurupuke
na Grace Masha, Moshi
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimemtaka Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani...
Baada ya kuchomewa nyumba na biashara zao, wale Watanganyika wenzetu bado wanaendelea kuteseka kwa kuishi maisha mabaya kuliko hata wakimbizi. Kwa sasa wamehifadhiwa katika vyumba viwili vidogo...
Katika gazeti la Mwanahalisi la leo, anaonekana mtoto anayekadiriwa kuwa na miaka 12 akiwa na bango likisema "KIKWETE KAMA NCHI IMEKUSHINDA NIPE MIMI" nionavyo hii ni kejeli iliyopitiliza katika...
* Wakwepa kodi ya mamilioni ya fedha TRA
* Ni ya kuingiza vifaa vya uchaguzi, mishahara
* Mbowe, Ndesamburo kukifilisi kwa madeni
* Slaa abainika kujilipa posho ya nyumba mara mbili...
Wakati hali ya muungano ikiwa tete hebu tuchukulie umeshavunjika alafu mchakato wa kugombea uwakilishi visiwani utakuwaje wale wa kule vs wa jamhuri si patakuwa hapatoshi au watakata tena...
Nimejaribu kujiuliza sikupata majibu, nikaona nilete hapa jamvini. Hivi kuna tatizo gani kwa kiongozi kwenye chama au taasisi fulani kuongoza watu wanaomzidi mshahara?
Mfano, uwe waziri lakini...
Juzi juzi Mheshimiwa Kikwete alifanya Semina Elekezi kwa Mawaziri wake na katika Semina hiyo alidai kwamba kila Wizara ina Msemaji wa wake na ni vizuri wawe wanajibu kila hoja inayotolewa dhidi...
Jamani kwa kweli baba wa taifa alikuwa na malengo na nia nzuri sana kwa watanzania. Ebu tuziangalie imani za chama chetu cha Mapinduzi. Nita nukuu....
Chama kinaamini kwamba:-
Binadamu wote ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.