Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nimeona Mkuu wa Mkoa wa Singida ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dr. Parseko Kone aliwaambia wananchi wa Kiteto waite Shule ya Sekondari ya Laalakir iliyojengwa kwa msaada wa Wachina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
May 12, 2011 BAADHI ya wakazi na wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mjini Mpanda mkoani Rukwa, waliangua vilio baada ya Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi kutangaza nia ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Bravo Chadema! Let's move on.... Kama kuna kitu ambacho Chadema wamefanikiwa katika kipindi hiki basi ni kutimiza ile hamu ya watanzania tulio wengi kuhusu siasa. Chadema imetumbanulia haswaa...
10 Reactions
32 Replies
3K Views
Ndugu wa JM, https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/tongue.png :tonguez: Kwa kweli hali ya watu waliounguziwa maeneo yao inatisha na hawana msaada wowote.Tokea ijumaa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hamjambo wana jamvi Naomba kuchuka nafasi hii kumuomba dr W.P.Slaa akiweza kabla ya kondoka songea awe ametoa tamko juu ya kushuka kwa bei ya tumbaku inayo muumiza sana mkulima. Kwa kulinganisha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha na Uchumi Mustapha Mkullo alidai kwamba Serikali bado iko fit kifedha, hata hivyo nasikia kuwa mbio za mwenge zimeahirishwa hadi mwezi Oktoba badala ya mwezi Juni, 2011 na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni kijana kama Nape na Zitto hivyo siwasemi kwa ubaya bali ukweli tu. Kwa nchi yetu kuwa na viongozi wazuri ni lazima tuwe na viongozi wenye uzoefu wa maisha ya Watanzania. Hii ni pamoja na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wapendwa wana JF ufuatao ni ujumbe wangu kwa Nape Mnauye kufuatia mashambulizi yake kwa CDM akijaribu kukwepa ahadi zake za kuwapa Mapacha watatu siku 90. Naomba nyongeza na mtazamo wenu katika...
1 Reactions
57 Replies
6K Views
Mimi ushauri wangu ni kwamba wanasiasa wote wawe na mihula miwili tu ya kazi (Miaka 10). Siasa haitakiwi kuwa kazi ya maisha. Pili wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa wagombee na wachaguliwe na...
0 Reactions
0 Replies
845 Views
kuna jambo jipya sasa naliona chadema, inaonekana chama hakina watu wengine wenye uwezo wa kutuliza upepo na propaganda za vyama vingine kwani kila hoja ikija Marando wa kwanza kujibu.Marando...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Katika hali isiyo tarajiwa zoezi la kuwashwa mwenge lililokuwa lifanyike Mkoani Mbeya tarehe 29.05 limeahirshwa na na kuhamishiwa mkoani Mara hapo Oktoba 14. Sababu zilizotajwa ni kuwa zoezi hilo...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Wanajamvi kwa mara nyingine naleta maoni yangu hapa jamvini kuhusu shirika letu la utangazaji TBC. Mengi yamezungumzwa na tutaendelea kuyakemea mpaka kieleweke. Baada ya kuzungumza sana na...
0 Reactions
66 Replies
5K Views
Kauli iliyotolewa na nape mnauye wakati akijibu mapigo ya cdm, amesema kwamba baba januari alikuwa mbumbumbu kama mtoto wake januari ndio mana chama kikayumba. Sasa chama kitaimarika na kitakuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni muda usiozidi miezi miwili pale Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya muungani aliposimama na kutangaza hadharani kuwa uzio wa mabati uliozungushwa katika eneo la jangwani ubomolewe mara moja na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haiingii akilini kiongozi wa nchi na wananchi wa nchi yako wanakuona ukipita kwenye kila taasisi kutoa hicho tunachoambiwa ni semina elekezi huku bado ile semina elekezi iliyopita hakuna hata cha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WanaJF nimepitia katika kumbukumbu zangu nikagundua Wakili alitukuka Bw. Mabere Marando ni mmoja wa wapambanaji dhidi ya UFISADI na matumizi mabaya ya raslimali za nchi, sote twaelewa hivyo tangu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tuko kwenye ukumbi sasa hivi St. Gaspsr Hotel Dodoma. Waziri mkuu anatoa hotuba sasa. Mabalozi wa nchi 12 zinazochangia pesa katika mfuko mkuu wa serikali (GBS) wapo ukumbini. Mawaziri karibu wote...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Makosa haya ni mpaka lini? Kwanza tulianza na mabilioni ya kikwete, fedha zikatolewa bila kuweka mfumo mzuri wa kuwafikia walengwa na utoaji wa taarifa za mafanikio ya fedha hizo. Wajinga (kwani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CCM Ni chama cha muda mrefu, ni chama chenye uzoefu,..ni chama maarufu,Ni chama ambacho kina beba historia ya nchi yetu ya baada ya uhuru hadi sasa…watoto watakua na kusoma habari za CCM tangu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Hongera Rais jakaya kikwete kwa kukubali ndani ya CCM kuna Mafisadi…!!! Hatimaye umetoa siku tisini watuumiwa wote watoke ndani ya CCM… Japo imekichukuamuda mrefu chama cha mapinduzi kufikia...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Back
Top Bottom