Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Harakati za nape sizielewi hata kidogo,kulingana na anayosema kuhusu ufisadi ana maana gani. Hakika wananchi wamechoshwa na ufisadi je anataka wananchi wafikirie/wafanye nini 1.Wananchi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu: Nimetua Songea (Nyumbi bombi) Chama cha CCM kinazidi kujichanganya leo hii kinafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwaja vya majengo, ambapo CHADEMA wanafanyia hapo mkutano wao baada...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
alipokuwa anawasema mawaziri wake ndipo nilipomuona kikwete msanii,jamaa alikuwa anaongea yeye mda wote,aliponiacha hoi ni pale alipogeuka injinia na kuanza kuelekeza jinsi reli mpya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nisaidieni mwenzenu pengine ubongo wangu umefika mwisho wake wa kufikiria. Unapokwenda Tegeta kutokea Mwenge baada ya kanisa la Efata au la Mwingira, kuna kituo cha shirika la uchumi la JKT ambao...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Hii ndo serikali ya ccm,...eti ukichagua upinzani haupati huduma? kwa hili naomba chadema mkomae na serikali mpaka kieleweke,hata kama ni kuwashawishi wananchi hawa waandamane ili shule...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
kwangu mimi Nnape ni moja ya wanasiasa na viongozi wazuri katika nchi hii. Rekodi yake ina mazuri ya kujifunza,kifupi ni mtu ambaye anakereketwa na haki. Na tukumbuke watu wote revorutionary...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
*Rai inatueleza jinsi ya kumuona Mbunge ni feki au safi anayependa nchi yake kwa moyo zaidi - miaka ya nyuma makala zao zilikuwa za kubeba mafisadi - this is a big U-TURN Thursday, May 12, 2011...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nasikitikia wakazi wa Ukonga hasa wanaopitia barabara inayoanzia Mombasa kuelekea moshi bar hadi kwa Mkolemba maana barabara ni mbovu sijawahi ona pamoja na kuwa serikari imekuwa ikivuna kodi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Eti JK yuko njiani kuelekea kampala
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Hivi inawezekana kwa Chadema kuwapiga marufuku TBC wasijihusishe kabisa na maandamano na mikutano ya chama hicho kwa ajili ya kutangaza kwenye TV yao na radio? Nadhani imefika wakati Chadema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kila nikipekua vitabu vyangu vya sheria nashindwa kujua kipengele kilichomtanguliza Mramba mahakani na kuwaacha wezi walioliibia taifa mchana kabisa, achilia mbali kesi yake kuwa ni kutoa msamaha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Uchaguzi wa mwaka jana ulizaa matunda na kubadilisha sura ya Mwanza baada kujivua magamba. Ila viongozi waliopata zile nafasi sijaona kama wanazitumia vizuri kwangu mimi kama mtanzania wa kawaida...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari yako msomaji, Nimesikitika sana, na nitaendelea kusikitika sana baada ya kuona threads humu zikizungumzia ufisadi wa kuudhi mioyo ya watu. Baadhi ya watu wamecomment eti wamechoka kusikia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati wa Mdororo wa Uchumi ulioikumba Marekani na nchi za Magharibi kati ya mwaka 1929-1933,kuna shujaa aliibuka.Franklin Delano Roosevelt ambaye wakati huo alikuwa anagombea urais wa Marekani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkulo: Serikali haijafilisika na Mwandishi wetu, Dodoma Source: Hapa WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo, amesema serikali haijafilisika na haijawahi kukopa fedha kwa ajili ya kulipa...
4 Reactions
97 Replies
7K Views
Samwel Sita, Ana Killango ,Harison Mwakyembe na wengine kadhaa mliokuwa mnajiita mitume kumi na wawili hamna lolote wala hapakuwa na ufisadi wowote mliokuwa mnajifanya wapiganaji wa ufisadi...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Imekua kwa kazi kwa wabunge kama ilivyo kwa wnegi wengi kutaja mishahara yetu. hIlo tunaweza kuliewa. Sasa kuna hii mifuko ya jimbo amabayo inasimamiwa na wabunge. Je ni wabunge wangapi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nape Nauye katibu wa itikadi na uenezi wa halmashauri kuu ya CCM,anaonekana anataka kukifariji chama chake na hata mafisadi waliomo katka chama chake kwa kuanza kukurupuka kutoa hoja zisizo na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
DK SLAA ASEMA "Pinda, kwa siku moja akiwa kule bungeni hupata posho ya Sh200,000 ambayo inazidi mshahara wa mwezi mmoja wa mwalimu, hata polisi anayelinda usalama wenu, Dk Slaa aliyekuwa mgombea...
3 Reactions
99 Replies
8K Views
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe alisema atamthibitishia bungeni, Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo kuwa Serikali imefilisika.Zitto alisema jana mjini Sumbawanga kuwa wataweka hadharani...
1 Reactions
70 Replies
6K Views
Back
Top Bottom