Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kama kweli unaipenda nchi yako basi utatoa maoni yako ya chanya na si hasi sababu za ccm kufika ukoomo wa kuongoza nchi ni:- a) mosi ccm kama chama kiweruhusu na kuwakumbatia viongozi ambao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
hapa na copy kauli ya nape kwenye wall page- face book "WalIodai barua za watuhumiwa wa afisadi zisingetoka...... Aibu kwao sasa.... Ooh hawawezi kutoa....haya sasa" source: Face book...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
NAPE niamfananisha na mtetea ambaye anajaribu kushindana na jogoo(Dr.) kupaza sauti.Kwa mtazamo wangu mtetea hawezi kushinda hata akipanda juu ya paa la nyumba ya mfugaji wake. Uwezo na ufahamu wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wamama Wakinyoosha Mikono juu ili wapate Japo Chochote
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Barrick kuanzisha mgodi mpya Mwakitolyo Send to a friend Wednesday, 11 May 2011 20:13 Zulfa Mfinanga, Shinyanga KAMPUNI ya African Barrick Gold Mine, ina mpango wa kuanzisha mgodi mwingine wa...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Nasikitikia wakazi wa Ukonga hasa wanaopitia barabara inayoanzia Mombasa kuelekea moshi bar hadi kwa Mkolemba maana barabara ni mbovu sijawahi ona pamoja na kuwa serikari imekuwa ikivuna kodi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wanamaendeleo nawasalim, jamani 2015 sio mbli hata kidogo.hvi kuna mikakati gani ya kuhakikisha chadema tunachukua nchi. nazungumzia kichama. achaa na mabadiliko ya katiba tunayopigania, na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wabunge Chadema wageuka mbogo Send to a friend Wednesday, 11 May 2011 21:27 Boniface Meena, Kwela WABUNGE wawili wa Chadema jana walikuwa mbogo baada ya kufanya ziara katika Kijiji cha Lusaka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dr slaa ameibua ufisadi ktk shule za msingi akihutubia katika mkutano wake mkoani Ruvuma jana alidai kuwa michango ya madawati inachangishwa kila mwaka kwa wanafunzi je ni lini madawati...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sijuti kugombea kiti cha urais Tanzania, Bali namshukuru Mungu kuniwezesha kufanya hivyo. Mungu ni HAKI tupu na ndani yake hakuna hata chembe ya udhalimu. Hatuwezi kudai...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Bado na jiuliza hivi huyu mwanasiasa Nape Nnauye ni mahiri kuliko wakongwe aliowakuta ccm??Hivi nikisa gani leo atakuja nacho chakumlipua Dr (Phd) W.Slaa??Dr Slaa nikashifa zipi anazo zitakazo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nikitambo sana tangu kuandika hapa kwenye JF, the reason behind is the forum became sold out.However, leo nimeamua kuandika kwa nini Kinondoni wamchague Mpoki Mwambulukutu. Kwanza compare na...
0 Reactions
155 Replies
18K Views
Wakuu wanaJF, Salaamz, Najua tumeshasema sana kuhusiana na utendaji kazi mbaya wa rais wetu, lakini kwa mambo anayoendelea kufanya (pamoja na kusemwa sana) naanza kuhisi ana matatizo makubwa zaidi...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
Zanzibar wameanza maandalizi ya kutoa mchango, na watafutwe wanasheria wakubwa wawatetee Wazanzibari waliowachomea maduka na nyumba zao na mabanda ya kulala Watanganyika. Kwani hili...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
na Asha Bani MHADHIRI mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustine, Profesa Mwesiga Baregu, na wanaharakati wengine wamemjia juu Rais Jakaya Kikwete wakimtaka kujiuzulu kutokana na kushindwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sita mahakamani kwa kuharibu mali Posted on May 11, 2011 by zanzibaryetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein serikali yake inakabiliwa na changamoto...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hapa jamvini na hata mitaani kuna watu wameonyesha kukerwa na hatua ya Kikwete kuandaa semina elekezi hivi karibuni pale Dodoma ilihali ni juzi tuu ametoka kutembelea kila wizara kwa masuala haya...
7 Reactions
61 Replies
6K Views
VYAMA vya siasa nchini vimeshauriwa viwaachie uhuru wanafunzi wa vyuo vikuu wachague vyama wanavyovitaka kwa utashi wao na si kwa kulazimishwa. Kauli hiyo ilitolewa jana na aliyekuwa mgombea...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
katika maandamano ya CHADEMA mbeya dogo anaomba JK amkabidhi nchi kama imemshinda!je dogo ataweza akipewa???
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Dk Slaa achafua hewa kwa Pinda Tuesday, 10 May 2011 21:36 Edwin Mjwahuzi, Mpanda na Boniface Meena Sumbawanga Mwananchi KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willibroad Slaa amechafua hali ya hewa...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom