Spirit of the Community: Whats a few stolen elections and smashed skulls among friends?
By JENERALI ULIMWENGU
Sometimes I wonder whether all the talk about integration is hogwash, whether...
Naombeni sana maana ya usemi kuumiza kichwa?hivi katika africa kuna kiongozi anaweza umiza kichwa??labda thabo mbeki!!au kuna different type ya kuumiza kichwa????wajameni saidieni
MADIWANI kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Mamlaka ya Mji wa Tarime pamoja na Diwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Bomani, Godfrey Masub wamesusia kikao...
Jf hebu sikilizeni haya matope ya siasa,kama hujawahi sikia basi jilidhishe na kama ulishawahi sikia juwa kuwa siasa ndivyo ilivyo ni kupakana matope ili kila mtu awe na nafasi ya kushika dola...
Kwa kile kinachoonekana kama chuki dhidi ya watanganyika vijana wa kizanzibari wamechoa maduka huko unguja ya wafanyabiashara wenye asili ya bara na kusababisha hasara ya zaidi ya milioni 400...
Ukweli lazima usemwe
Posted on May 10, 2011 by zanzibaryetu
Dk Harith Ghassany ni Mtaalamu wa elimu ya binaadamu na jamii zao (Anthropology) na pia ni mchambuzi wa masuala mbali mbali...
Hali ya nchi imekua tete sana siku hizi. Dr Slaa na Chadema wameifumuafumua CCM na serikali yake, wamebaki wanahaha kutwa kuchwa kumtafuta mchawi ni nani wakati wamejoroga wenyewe! CCM nako...
Leo ni takribani wiki mbili sasa tangu wanafunzi zaidi ya 1,000 wa kitivo cha taaluma ya habari na mawasiliano cha UDOM wafukuzwe chuoni kutokana na sababu za kitoto...
Kitivo hiki ni miongoni...
Hivi sasa, vyombo vya habari takriban vyote vimeshupalia taarifa za kuchomwa moto kwa vibanda vya wafanyabiashara wa kutoka bara, huko Pwani Mchangani, Mkoa wa Kaskazini, Unguja. Jambo hili hivi...
KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willibroad Slaa amechafua hali ya hewa katika Jimbo la Katavi lililopo Mkoa mpya wa Katavi ambalo Mbunge wake ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya kuwaambia wananchi...
Serikali ya TZ ina matumizi mengi ambayo hayana faida yoyote kwa mwananchi wa kawaida. Mfano: Kuna viongozi lukuki wastaafu wa kisiasa na kijeshi wanaoendelea kulipwa mishahara hadi wafe. Marais...
Ndugu zangu, watanzania wenzangu tumechoshwa na hii serikali ya Kinyonyaji inayowakandamiza watanzania kwa ajili ya Wachukuaji au Mabwana wa Kikwete na genge lake la uhalifu wanaoutumia jeshi letu...
Katika mkutano CHADEMA wilayani humo. JOSEPH MBILINYI ambaye ni mbunge wa Mbeya mjini amejitolea kuwa mbunge wa jimbo la kyela hadi watakapolichukua rasmi 2015. Sugu alihoji kinachomchelewesha...
*Nikiangalia Picha za Mikutano ya Chadema, Naona Umati Mkubwa wa watu na sioni T-Shirt za Chadema, Khanga n.k kama picha chini zinavyoonyesha, Umati mdogo wa watu inaonyesha wamepewa asante...
*Fedha anazolipwa mkandarasi zazidi za mradi
*Wananchi wakasirika, wataka kuandamana
Na Victor Bariety, Geita
UCHAMBUZI wa bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Geita mkoani Mwanza uliofanywa...
Awali kabla ya uchaguzi mkuu wa 2010 nilikuwa nikiipenda sana TBC1 lakini tangu wafanye madudu yale katika utangazaji wa matokeo, sina hamu nayo, M. Hassan alipokuwa akitaja jina la mbuge wa cdm...
Makamba alikuwa anaweza kuitetea CCM kwa maneno yoyote aliyotaka yatoke kinywani mwake pale alipopewa nafasi ya kufanya hivyo. Ilifika wakati msambaa huyu alipinda mdomo kwa sababu ya kuzungumza...
Kwa wale walioliona gazeti la mwanahalisi leo kuna kijana mdogo hajavaa hata viatu amebeba bango limeandikwa kama kilivyo kichwa cha habari. kwa mtu wa kawaida utacheka basi. ila mimi naona...
Na Maisory Chacha
APRILI 26 kila mwaka tunasheherekea kumbukumbu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar na mwaka huu ilikuwa miaka 47 ya Muungano. Waasisi wa nchi za Tanganyika na Serikali ya...
January Makamba
The power crisis is a result of failure of planning and leadership at TANESCO and at the Ministry of Energy and Minerals
Je huyu mtu ni mkweli? au anatafuta Umaarufu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.