Wakuu, hawa jamaa nilikuwa nawasikia na kuwaona tu kwenye media. Nawashuhudia hapa Sumbawanga, maandamano yamefunga barabara the entire 3km to katikati ya mji. Siyo siri, mimi napata picha mpya...
Na Nova Kambota,
Pengine hakuna ubishi kuwa katika historia ya CCM kuanzia kuasisiwa
kwake haijapata kuyumba kama sasa tena waziwazi kiasi kwamba wadadisi
washaanza kuhoji kuwa CCM inaenda...
Taarifa kwa Umma, Jumanne 10 Mei 2011
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi ifungwe!
Kwa miaka kadhaa sasa, serikali imeshindwa kufuatilia matokeo na mapendekezo ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa serikali...
Ingekuwa vipi siasa ingekuwa sawa na footbal? Siasa ya bongo ingekuwa na wapenzi kweli? Kama watu walivyolisusa soka la bongo, nadhani hata siasa letu lingesuswa hivyo hivyo! Siasa za bongo ni...
huwa najiuliza sana sipati majibu ..mh.bro. Ben alikuwa jasiri nakutaka sarafu zote na noti zote ziwe za waasisi waliotangulia na kutaka jina la mtukufu rais lisitumike..
je ?nawauliza ndugu...
Siku kadhaa zilizopita kumekuwepo na madai kwamba JF ni ya CHADEMA na inatumika kuishambulia serikali iliyoko madarakani na wana chadema wenyewe lakini kuna maswali najiuliza hivi kama kweli JF ni...
MAKAMU wa Rais wa Zanzibar, Seif Shariff Hamad, amejibu malalamiko mbalimbali ya wananchi dhidi yake, viongozi na Serikali ya Umoja wa Kitaifa kuhusu kupanda kwa maisha na kutokuwapo kwa serikali...
Wakati akihojiwa katika kipindi cha dakika 45 ITV waziri Membe aliulizwa swali kama mapinduzi yanayoendelea katika nchi za kiarabu yanaweza kutokea TZ jibu lake ni kwamba haiwezekani sababu tuna...
Wandugu,
Hakuna habari zinazonikera kama zinazoandikwa kwenye gazeti la UHURU. Sijui kama kuna waandishi wa habari katika nchi hii ambao ni watumwa kama wa gazeti hili. Mimi naona angalau hata...
Jamani hakuna wizara ninayoichukia kama ni nishati, mambo yake hayaeleweki, kwa kumbumbuku nilizonazo hatuna umeme wa uhakika tangu octoba 2011 hivi ni uzembe wa wizara au tanesco. niko njia panda...
Edwin Mjwahuzi, Mpanda na Boniface Meena Sumbawanga
KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willibroad Slaa amechafua hali ya hewa katika Jimbo la Katavi lililopo Mkoa mpya wa Katavi ambalo Mbunge wake ni...
ALIPOKUWA akifungua Semina Elekezi kwa viongozi na watendaji wakuu wa serikali yake mjini Dodoma juzi, Rais Jakaya Kikwete alizungumzia jambo ambalo limekuwa likiikwaza serikali hiyo kwa muda...
Baada ya hayati Mwalimu Nyerere Tanzania ilikosa Rais kwa muda wa miaka 10 mpaka 1995 ambapo tulipata Rais, Ben Mkapa. Phase II ilijaa uenyeji na kusigina katiba. Sasa Phase IV ina-reflcet Phase...
10 May 2011
editorial - allafrica news
President Jakaya Kikwete's telling off of Cabinet ministers and other senior government officials over their increasing tendency to engage in public...
Tukio la serikali ya Rwanda kutuma helicopter ya jeshi na ambulances kuja Tanzania (Shinyanga) kuwakoa Raia wake waliopata ajali juzi, linanifanya nijiulize, tukio kama hili lingewakumba...
Chademas Budget proposes tax cuts Tuesday, 10 May 2011 23:04 d
By Edward Qorro,
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) has floated budget proposals...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.