Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwa yeyote mwenye mapenzi ya kweli na nchi hii atakubali kuwa nchi hii inahitaji ukombozi mpya kutoka kwa wakoloni weusi ambao mfumo wao ni wa utawala ni mbaya kuliko hata wakoloni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
“Yule bwana (Lowassa) alimuuliza Kikwete, mnataka kunipa barua kwa kosa lipi? Nimefanya nini? Nini ambacho wewe hukifahamu,” anasema mtoa taarifa wa MwanaHALISI" “Huyu bwana anaua chama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi majuzi tumeshuhudia raisi Obama akiwaarifu maraisi waliomtangulia jinsi alivyofanikiwa kumpata na kumuua Osama bin Laden, tena kampigia simu raisi aliyekuwa wa chama hasimu,Bush. Sasa...
1 Reactions
0 Replies
929 Views
Nilipoangalia taarifa ya habari jana, Mufti alikuwa akiweka jiwe la msingi katika kituo cha elimu Kondoa, nilisikitika kuona mufti Sheikh Simba, akisisitiza elimu kwa Waislam kwa dharau. Sijui...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwalimu nyerere alijivunia utawala bora, Mwinyi alijivunia ruksa, Mkapa alijivunia kuimarisha uchumi, je Kikwete atajivunia nini, tulichambue hili kwa makini wana jf
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Wakuu, Mwisho wa siku saba alizotoa Ridhiwan Kikwete kwa Dr Slaa na Mch. Mtikila ni leo Jumatatu! Je kijana huyu atakuwa keshaanza taratibu zozote za kuwaburuza wakubwa hawa kwa Pilato? Au...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
http://www.blip.tv/file/4994905 Maalim Ally Bassaleh akizungumza na Waislam mara baada ya Sala ya Ijumaa leo ktk msikiti wake wa Idrissa jijini Dar es Salaam
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Katibu wa Mambo ya Nje ya Sekreatariet ya CCM Mh January Makama amesema kuwa "CCM ni 'progressive party', hivyo lazima kirudi katika msingi wake ambao ni kuleta maendeleo ya jamii kwa kuisimamia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati anaamua kuachana na kazi ya kiroho,hakuiacha kwa kashfa mbaya,bali aliamua kufanya shughuli nyingine ya kuisaidia jamii,alipoingia kwenye siasa akagundua mambo hayaendi sawa,yeye kama...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mwishoni mwa mwaka jana tulimwona na kumsoma Mzee Sabodo kwenye vyombo mbalimbali vya habari kuwa ametoa msaada ili kufanikisha uchimbaji wa visima wa maji. Takribani visima 700 na kama sikosee...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MBUNGE wa Vunjo mkoani Kilimanjaro, Augustino Mrema ameonya tabia ya baadhi ya matajiri kuwahonga baadhi ya watendaji wa vijiji na kata ili wasishiriki katika kazi za kujitolea hususan miradi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Uchafu, yaani namaanisha UCHAFU kweli kweli Yaani binadamu kufurahia maisha, kula na kulala katikati ya takataka, uozo, harufu mbaya, maji yenye kinyesi na mikojo na wadudu kama inzi bila...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
  • Closed
Kazi ipo... Ni kutoka gazeti la Majira la leo Oktoba 9, 2007
0 Reactions
112 Replies
15K Views
Written by Stonetown (Kiongozi) // 09/05/2011 // Habari // No comments Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeviagiza vyombo vya usalama Zanzibar kulishuhulikia ipasavyo suala la kuchomwa moto...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Na Mwandishi wetu - Mwanahalisi VIONGOZI wakuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameshindwa kuwaondoa katika chama hicho wale wanaowaita watuhumiwa wakuu wa ufisadi nchini, imefahamika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndg viongozi wa CDM mlioko sasa Mbeya, Nimeona maandamano katika picha hapa JF yalifana saana, sasa nilipenda kujua kama mlipata idadi ya watu waliojiunga na chama ili nasi tulioko mbali tufahamu...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Nimesikia kwenye habari za magazetini asubuhi hii kwamba mbunge wa mbeya mjini ame hamasisha wana nchi wa mbeya kwamba akija kiongozi ambaye hawamtaki,... au kiongozi yeyote,hata kama "ni raisi"...
5 Reactions
140 Replies
11K Views
More Power to Chadema - Wahindi Ni Wezi na watoa Rushwa A railway engine belonging to the Tanzania Railways. Photo/FILE By MIKE MANDE Monday, May 9 2011 at 00:00 Tanzanian...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati huohuo Joseph Senga kutoka Chunya anaripoti kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbrod Slaa, amewataka maaskofu kutohubiri amani na badala yake wahubiri kwanza kupatikana kwa haki...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
How to resign: Hand in your notice without burning bridges You relish the moment you will tell your boss that you are leaving to work for more money at a competitor. But before you rush to...
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Back
Top Bottom