Why Don't they (Leaders)stop their trips Overseas? Ingesaidia Wananchi angalau kuongeza kima cha chini
Monday, May 9, 2011, 6:50
Habari kuu, The african
Meeting ends in stalemate
Govt to...
*Vigogo wawili wavuliwa gamba
*Mmoja anyanganywa uanachama
Na Omary Mlekwa, Hai
HALI ya kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, si shwari, baada ya...
Hivi ushawahi kujiuliza bila hoja ya mafisadi chadema leo ingekuwa wapi? Maana wao kila wakipanda majukwaani ni kuropoka tu mafisadi,mafisadi,mafisadi!! Kila siku ni list mpya lakini nashangaa...
TBC taarifa, Bukoba
Amesema ukiritimba wa maafisa wa serikali umezidi hakuna hata mmoja anafanya kazi. Amesema mkubwa wao anarandaranda na watendaji wanazuga tu maofisini
Amesema siyo lazima...
Jamani
Kwa wale wenye Ratiba za Chama Cha Magamba, au za Mwenyekiti wake au za Ikulu kabisa
Ni lini Jakaya ataanza dhihara za mikoani kuwashukuru wananchi kwa kumpigia kura kwa
wingi yeye na...
Yes hii ndio Tanzania tuliyoitaka, changamoto pande zote, mifumko ya bei, ugumu wa maisha, unaochangiwa pia na ungezeko la bei la hata huduma za jamii kama matibabu, maji, umeme ambao hata hivyo...
Wana JF
Juhudi za chadema za kutafuta mazingira ya haki ya kidemokrasia zinatakiwa ziwe beyond internal struggle for change. kwa kuwa taarifa mbalimbali za wasimamizi wa uchaguzi wa mwaka 2010...
Ndugu Zangu,
Bwana Yesu alipotembelea mto Galilaya, aliwakuta wavuvi wakivua samaki, Simoni alikuwa ni miongoni mwa wavuvi hao. Yesu akasema; " Simoni, acha kuvua samaki. E nenda ukawavue...
Why All Diaspora Conferences Chama Cha Mapinduzi is participating??
Why there is no Chadema Overseas Members participating ?
I have attended several and sometimes they put foward only the ruling...
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini kamanda Lema siku ya leo amechangisha zaidi ya sh 21 ml, kwaajili ya ukarabati wa shule za jiji hilo, huku yeye kama yeye akitoa kiasi cha sh ml 1.8.
Akitoa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kiliunda tume ya Iliyoongozwa na Bwana Wilson Mukama katika kutafuta sababu hasa ya CCM kuchukiwa na Wananchi hasa Vijana.
Kwa Mujibu wa Bwana Mukama ni kwamba Tume...
Huyu muheshimiwa (Mbunge wa Rombo) kwa bahati mbaya hajaweka mawasiliano yake kwenye website ya CDM kama wabunge wenzake.
Nakuomba mheshimiwa kama unapita huku JF, unipatie mawasiliano yako kwani...
Ndugu wana jf nimeona niwasilishe swali hili kwenu, ni jambo la kawaida kuona viongozi wetu wa ngazi yakitaifa wanapopita barabarani huwa wanapita na vingola na misafara inayokimbizwa si chini ya...
Wanaharakati JF!
Umeshawahi kujiuliza ni mwanasiasa yupi, mpenda Aman na Maendeleo, Mtanzania ambae anafaa tumpatie tuzo ya ''Mwanasiasa Bora 2010'', kutokana na mchango wake binafsi kwa...
Juzi nchini Uingereza ulifanyika uchaguzi wa kuchagua councillors na wawakilishi wengine. Uchaguzi ule kwangu mie unaweza kuwa ni mfano wa ndoa kati ya CUF na CCM kule Zenji ingawa kwa huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.