Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hivi chichiem mbona hawafanyi maandamano hata kidogo,au wao wanaona inji iko sawasawa.Wapi maji,barabara,huduma za afya,elimu,umeme,ujangili ndani ya chichiem,maisha magumu n.k.Mambo ni mengi ya...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Ningeomba waandishi wa habari wakaifuatilie jinsi uongozi wa CCM unavyoitafuna aridhi ya Wanamonduli....! Maeneo yanayotafunwa na uongozi huo ni pamoja na Lorkisale; katika kata ya Lorkisale...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
uliitoa mwaka jana pale ulipochagulia kwa mara ya 2 kuwa mgombea urais kuwa ikibidi 2012 mkutano mfanyie humo pale makao makuu mpaachie ccm mkoa mh mbona kimya?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Juzi nchini Uingereza ulifanyika uchaguzi wa kuchagua councillors na wawakilishi wengine. Uchaguzi ule kwangu mie unaweza kuwa ni mfano wa ndoa kati ya CUF na CCM kule Zenji ingawa kwa huko...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Jana katika pitapita zangu niliwakuta Mabere nyaucho Marando na Dr Lamwai katika mzingira ambayo yalinitia wasiwasi kama yana neema kwa CDM tafadhali mwenye kujua anijuze kulikoni katika kona ile...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Na Anneth Kagenda MBUNGE wa Jimbo la Kinondoni, Bw. Idd Azzan amelalamika kuwa kuna watu ndani ya chama hicho mkoa wa Dar es Salaam wamemtishia kumnyanganya kadi yake uanachama, jambo ambalo...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Siyo siri, nani aweza kimbia akifukuzwa na simba asiye na meno? au ni nani aweza kusikia, kuamini na kutekeleza vitisho vinavyotolewa na wana siasa wasiojali au kuheshimu sheria walizotunga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Du, kweli sasa naanza kuamini Rostam Aziz ndiye rais wa Tanzania. Yaani miaka yote hii hii kagoda inazungumziwa ndiyo leo DPP anaikumbuka??? Kwa nini asianze na ushahidi kutoka tume ya Mwema na...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
:happy:" AISE WANA JF TOPIC NI TAMU KWELI KWELI --- NAMPENDA SANA HUYO MZEE SIMBAYE ---- SANA KWENYE PROGRAM ZAKE. IT IS TRUE KWAMBA EMPLOYEES ARE BEING FRUSTRATED BY EMPLOYERS KWANZA ---- WHEN...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Thursday, May 5, 2011, Makala na Uchambuzi, Rai Na Siyovelwa Hussein HIVI karibuni nilizungumzia suala la kuutazama upya uhuru wa nchi za Afrika. Miongoni mwa mambo niliyoyasema ni lile la...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
IMF sounds alarm over Tanzania economy Wednesday, 04 May 2011 22:58 By Al-amani Mutarubukwa The Citizen Reporter Dar es Salaam. The International Monetary Fund (IMF) is concerned about...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hii ni sehemu ya bango ambalo lilitolewa na FBI kuhusu "kutafutwa" kwa Osama Bin Laden. (Msisitizo wa rangi nyekundu wakwangu)...
1 Reactions
111 Replies
16K Views
Ndugu wana JF, Nimekuwa nikifuatilia tafsiri ya kujivua magamba kwa CCM ndani ya jamvi letu, naona wengi wetu tunaangalia kwa mtazamo wa hasi sana. Mwenyekiti wa CCM taifa, Mh JK alitangaza...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
kituo cha Television cha ITV kimerudisha kipindi maalum cha "malumbano ya hoja" kipindi naweza kusema kipya tofauti na kile cha zamani 1990s, kuna tofauti kubwa . anyway.... Hoja ya leo ni...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Na Martha Fataely, Moshi SERIKALI imeombwa kwenda mbali zaidi katika vita dhidi ya ufisadi kwa kuhakikisha inawadhiti, kuwafilisi na kuwafikisha mahakamani watuhumiwa wote wanaotajwa kwani ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kana Watanzania wengi hasa wa diaspora wana uzoefu wa kazi nyingi lakini kuna Tatizo kubwa la hongo. Kama ni Mtanzania ni lazima wakuombe pesa kabla ya kazi na Plan zako ukitoa mapema zinauzwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Kikwete ameweka rekodi kama Rais wa kwanza kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la kwaya pale alipoalikwa kwenye tamasha la pasaka lililoandaliwa na Msama Promotions. Sijui kama haya yalikuwa maoni...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kilichojiri kikao cha kamati kuu ya CHADEMA siku ya Jumamosi tarehe 30.04.2011 Ø Zitto apinga mpango wa ununuzi wa magari ya Chama ya mitumba kutoka India yenye thamani ya Tshs 480 milioni...
0 Reactions
236 Replies
16K Views
Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, amesema Azimio la Arusha halijafutwa kama watu wengi wanavyodhani. Mwinyi alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi wa Benki ya Biashara ya...
0 Reactions
261 Replies
26K Views
Umekua ni utaratibu kwa viongozi mbalimbali wa kuteuliwa na kuchaguliwa kuapishwa kwa kushika vitabu vya dini/madhebu yao na kuapa kwamba watailinda katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom