Wana JF.
Heshima kwa wote.
Ile Ziara ya Maandamano ya Nyanda za Juu Kusini imewadia.Maandalizi yanaendelea vizuri na kesho ndio msafara unaoondoka kwa Convoy kuelekea Mkoani Mbeya.
Maandamano...
Ndugu zangu wajf, baada ya marumbano na minyukano baina ya MBOWE na ZITTO. Sasa naomba mwongozo wenu wanajf kwa kuuliza maswali yafuatayo:-
(a) Nini chanzo cha mgogoro wao!
(b) Mgogoro wao ni kwa...
Bila ushabiki wowote wa kisiasa, ninawasihi na kuwashauri CHADEMA muwaache watu walime huu ni msimu wa kilimo.
Kama nyote mjuavyo, nchi yetu inategemea kilimo tena cha jembe la mkono. Hiki ni...
Kilikuwa ni kikao cha KUU (Kamati ya Ulinzi na Usalama) kwa ajili ya kusaili vijana wa kujiunga na JKT.
Mara akaingia kijana mmoja OFINI KWA DC, Mkuu wa Wilaya ya Urambo kwa kile kilichoonekana...
Prof. Safari kajiunga RASMI na CHADEMA na hivi sasa yupo Live anajaribu kutoa ufafanuzi wa kwanini kajiunga CHADEMA.
Tutaendelea kujuzana kinachoendelea, fuatilia updates hapa chini...
Katika vita yeyote ile ni kosa la jinai kufanya tendo lolote linalo imarisha mshikamano ndani ya kambi ya adui. Hii inatokana na ukweli kwamba adui wanapoanza kuzozana wao kwa wao wanatoa fursa...
Ushauri wangu ni kuwa chadema myanunue magari hayo tu mpaka yatapopitia kwenye hatua zifuatazo:
1. yathaminiwe na msamini ambaye ni independent.
2. yapitie kwa dealer wa magari hayo ili kujua...
Katika hali ya kawaida na maisha ya kila siku ni vigumu kutenganisha vitu hivi viwili. Haviwezi kutenganishwa kwa sababu aidha kimoja kinasaidia kingine au kimoja kinaharibu kingine.
Hapa kwetu...
Kipindi cha Mkapa mishahara ilitoka tar 24. Serikali ya JK inachelewesha sana. Kwa mfano hadi leo hatujapata mishahara. Nilidhani ni sisi tu lakini leo nilikuwa udsm nikaona tangazo pale utawala...
Nimestushwa na kushangazwa sana na kauri ya katibu mkuu mpya wa CCM bwana Wilson Mukama aliyoitoa akiwa Zanzibar akidai CCM ina itikadi ya ujamaa na kujitegemea na kutangaza ati CHADEMA hawana...
Wednesday, 04 May 2011 08:36
Rachel Balama na Rose Itono, Jijini
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeazimia kuandaa mkakati wa kuangalia ubora wa wanachama wake kuliko kuendelea kuwa na mamluki ndani...
Kuna news nimeiona Michuzi (siku hizi anabania huwezi ku copy text from his blog), ambazo zinaonyesha how bold huyu Dr Shein is.
Anasema kuwa hoteli itajengwa Stone Town na asiyetaka akashtaki...
Pokea hongera zangu mheshimiwa rais kwa kufanya haya yafuatayo kwa ufanisi mkubwa.
1. Umepigana kufa na kupona na kuhakikisha Dr. Slaa hasikii harufu ya ikulu.
2. Hukulala usiku na mchana hadi...
Wakati nchi imejaa matatizo ya msingi kama barabara mbovu,kina mama kila siku wanapoteza maisha wakijifungua kwa huduma mbovu mahospitalini na rushwa, wanafunzi wa vyuo kukosa nyenzo, wameanzish...
Vyama vya upinzani vilianzishwa nchini Tanzania kwa mujibu wa sheria mwaka 1992.
Katibu mkuu wa CCM bw. Wilson Mukama anapotamka kwamba vyama vya upinzani vilianzishwa kwa shinikizo ana maana...
Mbunge wa Kyela (CCM), Dk. Harrison Mwakyembe, amemshukia Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, Yusuf Makamba, kwamba alitumia madaraka yake vibaya kutokana na kufanya uteuzi wa Katibu mpya wa chama hicho...
Na Waandishi Wetu, jijini Habari LEO
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba, ambaye alijiuzulu wadhifa huo hivi karibuni baada ya kukitumikia chama na Serikali kwa...
Taarifa ya habari Channel ten
Ulevi wa serikali kuomba omba umekubuhu sasa Polisi wetu wanatembeza bakuli kuomba mavazi. Imeripotiwa kwamba NGO hiyo toka Korea inayoitwa Ephata imetoa msaada wa...
*Zitto adai Serikali imejitia kitanzi
NA Waandishi Wetu, jijini Habari Leo
MBUNGE wa Jimbo la Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe, ameibuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.