President Barack Obama decided not to release photos of Osama bin Laden's corpse, citing national security risks and saying the United States should not brandish "trophies" of its victory...
Mwenyekiti wa CCM Jakaya Kikwete anasema anataka chama kirudi mikononi mwa wanyonge hivyo ili kufikia azma hiyo akaendesha ile operation butu inayokwenda kwa jina la "operation vua gamba"
Kuna...
Ni muungano gani hasa twautaka Watanzania?
Yahya Charahani
KELELE dhidi ya Muungano zinazidi kiasi kwamba, sasa wapo baadhi wameanza kuhoji nini hasa sababu ya muungano huu? Wazanzibari...
Katika hali ambayo tunashindwa kuelewa ni kuwa Hawa viongozi wa Zanzibar , wakisimama majukwaani mfano katika sherehe za muungano na mambo mengine mnaonekana kusema kuwa muungano mwaupenda, ni...
CDM wanaanza ziara ya operesheni sangara nyanda za juu kusuni wosia wangu kwao ni huu hapa
Nendeni bila woga, nendeni kuwahubiria ukombozi wa taifa lao, nendeni kawaambineni TZ bila CCM amani...
MJINI TUMEINGIZWA KWA PILAU, POMBE NA KANGA
Wanakula na kusaza
Huku njaa watulaza
Siku nyingi mi nawaza
Lini twakoma ukilaza
Mjini tumeingizwa kwa pilau, pombe na kanga
Kura zetu...
Samattas tough words Wednesday, 04 May 2011 23:08
By Edward Qorro
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Retired Chief Justice Barnabas Samatta has challenged the media in Tanzania to stand...
Tanzania Daima
KATIBU Mkuu Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Luteni Yusuf Makamba na Katibu Mkuu Mstaafu wa chama hicho, Philip Mangula, wamezawadiwa mashangingi mapya, aina ya V8...
Hivi karibuni tumeshuhudia chaguzi zilojaa utata ivory coast ,Nigeria,Uganda,hapa nyumbani Tanzania na Kenya mwaka 2007:-Kumekuwepo tuhuma za kuchakua matokeo.
Tuhuma ambazo zimesabashi...
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali juu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuwa Tanzania na kugundua kuwa japo muungano ni mzuri na wa kudumishwa kwa nguvu zote una mapungufu.
Mapungufu...
... Akizungumzia vurugu hizo, Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu Hassan, alisema waliofanya vurugu hizo ni wahuni.
Alisema kikundi hicho cha wahuni kilikwenda katika...
Raisi Jakaya Kikwete ametajwa kuwa mmoja wa mashahidi muhimu sana wa professa Costa Mahalu na ameitwa mahakami kwa ajili ya kutoa Ushahidi.
Source mwanahalisi ya leo 4/05/2011
Kadri siku zinavykwenda naona dalili zote za CCM kuanguka. Hakuna atakayeweza kuiokoa chama hiki kongwe. Naona anguko hilo litatokea ndani ya miaka kumi na tano (15). Watakaokingusha CCM ni wana...
Mbunge wa Segerea (CCM), jijini Dar es Salaam Dk. Makongoro Mahanga, amesema bado CCM haijajivua gamba na ameitahadharisha kuwa isipojisafisha na tope la rushwa na ufisadi kama ilivyoagizwa na...
Uchaguzi umeisha toka nov 2010,raisi yupo na cabinet yake kashaiteua, na wabunge wapo tayari.
Je kwa nini mpaka leo hajateua wakuu wa mikoa?? au ndo mpaka akapige ramli mlingotini??
WanaJF mambo yanavyoenda hapa TZ hawa watu wawili ndo wanasababisha maafa kila sehemu Arusha wapo, Dowans wapo, EPA wamekula Kagoda etc
Kama hawa watu na wengine hawatowajibishwa KIKWETE...
Atatoa ufafanuzi wa mambo kadhaa kama itakavyoonekana kwenye 1st post kwenye hii topic. Nitawa-update juu ya kinachoendelea kwenye kikao hicho.
============
UPDATES:
Kikao ndo kinaanza...
Tangu Mkama aseme CCM hawakutoa azimio la siku 90 na kwamba hakuna fisadi hata mmoja atakayepewa barua sijasikia tena Nape akiongea.
Lakini namwona huyu Mzee Mkama naye mnafiki mbona alikuwa...
Wana jf baada ya ujenzi wa vyoo shule Suye kujengwa kwa 80,000,000/- kuna tetesi kwamba kuna daraja balo leshindwa kufunguliwa kutokana na mgogoro wa ujenzi wake kutumia sh. 300,000,000/- Hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.