Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wadau, Wahenga hawakukosea waliposema utatambua matendo na moyo wa mtu kwa kauli zake, na mtoto wa nyoka ni nyoka. Kwa nasaha hizo za wahenga tunangalie kauli mbili tu za Ridhiwani Kikwete. Kauli...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani wadau tusaidiane kwa hili kujivua gamba ni term ambayo tunaitumia kisayansi hasa kwa reptilia katika swala la ukuaji sasa hawa wanaolitumia kisiasa wanamaanisha wanatoka stage moja ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Subject: Re: TAKUKURU WASHINDWA KUWACHUNGUZA MAFISADI SASA WAWAGEUKIA MAASKOFU? Habari za uhakika ni kuwa baada ya kuona maaskofu wengi wakipiga vita dhidi ya ufisadi, mipango imeandaliwa kuanza...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Edward Qorro 3 May 2011 President Jakaya Kikwete yesterday joined other leaders in welcoming the news about the death of Osama bin Laden. The President described the death of bin Laden as "a...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nionavyo mimi sura na picha ya CHADEMA imejikita kwa mambo yafuatayo: 1. Foudership syndrome! "Sisi ni waanzilishi" 2. Ownership syndrome! "Bila ya mimi....., ......., na fulani hakuna CDM"...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Chama cha DP,Mchungaji Christopher Mtikila amesema CHADEMA hakipaswi kuaminiwa na Watanzania kwa kuwa ni chama chenye mafisadi na Wafanyabiashara haramu. Pia amefananisha maneno...
0 Reactions
92 Replies
8K Views
Siku chache zilizopita nilijaribu kubadilishana mawazo na wanajamvi katika tafsiri ya CCM kujivua gamba kwamba ilikuwa inapotoshwa kwa kufananishwa na nyoka badala ya lengo lake. Sasa CDM...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
naomba kila mpenda mabadiliko aelewe chadema wako macho tena yamefunguka yote kabisa na wanajua kabisa ccm wana intelligent ya kizamani ya kuvuruga vyama vingine yule mzee shibuda ilikuwa na...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Salaam wanajamvi, Najua leo jamvi liko bize sana na ishu za utajiri wa mtoto wa mfalme. Pamoja na hayo ningependa pia kuwakumbusha habari hii ambayo pia ni muhimu katika mustakhabari wa taifa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau, Nilipata mshtuko mkubwa niliposoma habari ya mgogoro baina ya kambi ya Zitto na Mbowe leo asubuhi.Habari ile iliandikwa kama vile ni gazeti la uhuru au Jambo leo. Wakati napitia ile...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Mahali alipofikishwa Lowassa ni sawa na mahali walipo arsenal. hawana nafasi ya ubingwa wakicheza hawana na kupoteza. Lowassa hana cha kupoteza. wameshamzika kisiasa na hana nafasi tena ccm...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani eeeeh! Kama tunavyoshuhudia suala la ufisadi ndani ya CCM na serikali yake linashika moto kwa kasi sana huku vigogo wao kadha wa chama hicho wanajitokeza na kuzidi kulimwagia mafuta...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwenye kongamano la Azimio la Arusha pale Mlimani, kiongozi wa vijana na alianza hotuba yake kwa maneno haya: TUMEONEWA KIASI CHA KUTOSHA, TUMENYONYWA KIASI CHA KUTOSHA, TUMENYANYASWA KIASI CHA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF Kamati kuu ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) iliyokutana tarehe 30/4/2011 imeamua kumtoa Shibuda kwenye nafasi ya kukaimu nafasi ya Uenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga. Lakini...
2 Reactions
210 Replies
16K Views
KATIBU wa Mambo ya Nje ya Sekreatarieti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Januari Makamba amesema chama hicho kimejivua gamba ili kujenga imani kwa umma hasa vijana ambao ni wapiga kura.Kwa mujibu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa hali ninayoiona humu ndani ya jf,chadema wakipewa hii nchi watakuja kuondolewa na mabomu ya UN siyo kura!yaani viongozi wa cdm na wapenz wao ni wabinafsi,wasiopenda kuambiwa ukweli!vile vile...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
:welcome:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ni yule aliyezuia chadema-moshi kulipia watoto wa shule ada kwa madai kuwa wazazi watakosa uchungu wa elimu kwa watoto wao. eti na yeye (kinabo) ni mfanyakazi hodari.
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Wana JF Dalili zinaonyesha kuwa upo mkakati mkubwa umesukwa kuivuruga CHADEMA kwa mbinu mbalimbali. Kwa mfano ukiangalia kwa sasa mara baada ya CCM kumtosa EL na RA vyombo vya habari vya ITV na...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, Mch Mtikila amekuja na mpya kuhusu CCM "...........Kuhusu hatima ya CCM na kile alichokiita usanii wa kujivua gamba, Mchungaji Mtikila alisema chama hicho...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom