Hata hivyo Spika Makinda alielezea jinsi anavyokerwa na baadhi ya wasomi ambao huwapotosha wananchi kuhusu Muswada wa kuundwa kwa tume itakayoratibu mchakato wa wananchi kutoa maoni kuhusu Katiba...
Katika kipindi cha mahojiano mnamo tarehe 24/03/2011,Dr Hans Kitine mbali na mambo mengine alidiriki kuangazia ndani ya serikali hii kwa sasa na kusema moja kati vitu vinavyochangia ukosefu wa...
Kuna taarifa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, ameita mkutano wa wahariri wa vyombo vya habari muda huu kwenye Hotel ya Peacock jijini Dar es Salaam.
Hebu wahariri tupeni yaliyojiri mkiwa...
Rais Jakaya Kikwete amekemea watu wanaotaka kuhodhi mjadala wa mchakato wa kupata katiba mpya na amewafananisha na madikteta. Amesema watu hao wanajiona kuwa wao ndio wenye mawazo mazuri kuliko...
Jamani, siku hizi kama wewe ni mfanyakazi au hata mwananchi wa kawaida kila unapojaribu kuhoji kitu hasa serikali au kwenye mashirika ya umma unaambiwa wewe ni Chadema.
Hivi hawa watu waliopo...
MADIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji wamegomea kikao cha Baraza la Madiwani kwa kile walichoeleza kuwa ni kupinga kupewa makabrasha ya mkutano siku...
wakuu sikuwa na muda wa kumsikiliza jk kwenye hotuba yake kama kuna mtu anayo nihabarishe tafadhali mambo kama
1.mishahara kwa wafanyakazi
2.Hali ngumu ya maisha
3.Uchumi wa nchi nk
Nishaona na kusikia nyoka kajivua gamba
Lakini hili la majoka ya aina moja kujivua gamba kwa wakati mmoja na sehemu moja sijaona wala kusikia.
Kinachonisumbua zaidi ni tafsili yake nini na...
Habari iliyoandikwa na gazeti linalomilikiwa na Ridhwani Jamboleo la Jumatatu limeelezea kuwa Dr wa Ukweli anamsingia RZ1 kuwa bilionea wakati yeye ni milionea. MY TAKE: Kwa umeri na kazi...
Ninaandika maoni haya kwa msaada mkubwa sana wa makala ya "CCM, Kikwete na Mafisadi" iliyoandikwa kwenye gazeti la Raia Mwema namba 183, la aprili 27. Mwandishi wake amechambua mambo vizuri na...
MKOA WA TABORA: Ngome mpya ya CHADEMA
Joseph Senga
MKOA wa Tabora ni moja ya mikoa ambayo ina historia kubwa katika kupigania uhuru wa Tanzania ambao pia umetoa vipaji vya nyanja...
Binafsi siku ya mei day sikumwelewa rais alimaanisha kitu gani alipojumuika na wafanyakazi wenye njaa kuimba solidarity forever!!! pia sikuwaelewa wafanyakazi walipoimba solidarity forever na mtu...
Hata bila kutumia miwani wala kufikiria, nashuhudia ahadi za CHADEMA zikianzishiwa michakato na mijadala ya kutekelezwa na serikali ya CCM, ilihali kati ya ahadi za CCM zipatazo takribani 86 sioni...
Kutokana na wimbo unaoimbwa na Sekretarieti mpya ya CCM,'CCM sasa ni chama kipya', chama hicho kimetakiwa kuomba usajili kwa Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini,John Tendwa ili kisajiliwe.Wimbo huo...
Yule gaidi mkuu duniani, Osama bin Laden, aliyehusika na ulipuaji wa bomu ubalozi wa Marekani Dar es Salaam mwaka 1999 na Sept. 11, 2001, kule Marekani ameuliwa na wanajeshi wa Marekani nchini...
Awali ya yote, zilianza tetesi kuwa amepanga kuchukua fomu. Nilishtuka na kuwaza sana maana nilitambua vizuri utendaji kazi wake tangu akiwa kwenye ngazi ya chama. Kabla fikra hizo hazijanitoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.