Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ashakumu siyo matusi waswahili walisema ''kujamba ajambe mkubwa kosa linaelekezwa kwa mtoto''. Huu msemo ndiyo uliotumiwa na kamati ya Mukama na wenzie waliotwishwa mzigo na Mwenyekiti wa Chama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa heshima na taadhima nachukua nafasi hii kukusifa Dokta wa Heshima (UDOM), Kanali, Mheshimiwa Sana Jakaya Mrisho Kikwete kwa mengi uliyoifanyia nchi hii tangu ushike hatamu ya uongozi wa juu...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Baada ya uchaguzi mkuu wa kugombea uraisi uliofanyika tarehe31 oktoba.Serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kupitia taasisi,idara na mashirika mbalimbali ya umma ilitumia shilingi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, Salaam. Taarifa ya habari ya jana ITV saa 2.00 usiku, ilitangazwa kuwa leo kutakuwepo na mjadala juu ya Mapitio ya Azimio la Arusha na Katiba Mpya. Namna ambavyo Azimio hilo...
0 Reactions
173 Replies
11K Views
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amemteuwa Profesa Abdallah Safari kuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho. Mkutano bado unaendelea.
0 Reactions
98 Replies
7K Views
wana JF Vigezo gani hutumika kupata mfanyakazi bora wa kitaifa?
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Vurugu kubwa ziliibuka katika kikao cha Baraza la Madiwani la Manispaa ya Kinondoni, jana baada ya madiwani wa Chadema kuhoji matumizi ya sh. 44 milioni zilizodaiwa kutengwa kwa ajili ya Ilani ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sunday, May 1, 2011, 11:37 Makala na Uchambuzi, Mtanzania WIMBO wa sasa kila kona nasikijia ni kujivua gamba tu, uliyoasisiwa na Chama Cha Mapindizi (CCM) wiki kadhaa zilizopita. CCM yenyewe...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu! JK leo katika sherehe ya wafanyakazi duniani ( mei Moi) mjini morogoro. Rais amekana kauli mbiu ya wafanyakazi inayosema " Serikali isipojali maslahi ya wafanyakazi tunakuwa watumwa ndani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Fedha ndiyo kigezo kikuu ktk uongozi kauli hii alitamka Wasira ndio maana ni vigumu kuwajali wanyonge. Pindi nisikiapo ccm natamani ningekuwa kiziwi ama kipofu ili nisikutane na hili neno CCM...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MADIWANI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jana walisusia Kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita, kilichokuwa mahususi kwa ajili ya kupitisha bajeti ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
Mimi hushangazwa na Watanganyika kukataa kujita Watanganyika hali ya kuwa Tanganyika ina historia yake uhuru wake na Tanzania ni jina lakuchomekwa tu. Jee hamuoni ufahari kulinda na kuenzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu Zangu, TUMEKUWA tukitamka; Ukistaajabia ya Mussa , utayaona ya Filauni! Si wengi wenye kuyajua ya Mussa ni yepi na ya Filauni pia. Kuna simulizi niliyopata kuipokea. Kuwa alipata...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi limeanza kazi kwa kufanya mapinduzi makubwa kwenye bajeti yake ikiwamo kupunguza matumizi kwenye mambo yasiyo ya lazima huku ikiazimia...
8 Reactions
69 Replies
6K Views
2015 utakuwa mwisho wa WABAKA UCHUMI Siha na Tanzani kwa ujumla kwani nia ni kuingiza damu changa kwenye uongozi kuanzia Wenyeviti wa Serikali za Mitaa,Madiwani na Mbunge kwani hali ya Nchi...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Nakupenda Tanzania nchi yangu "YESTERDAY IS NOT OURS TO RECOVER, BUT TOMORROW IS OURS TO WIN OR LOSE." naipenda nchi yangu tanzania ndio maana siogopi kuitetea mbele ya maadui wake wakubwa...
0 Reactions
0 Replies
836 Views
:disapointed:"kuna watu wameibebesha CCM mzgo mkubwa ambao umekigharimu, sasa hivi tunarejesha CHAMA kipya ambacho kigezo cha uongozi au ujumbe wa NEC hakitakuwa fedha tena......"...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF Tangu wachaguliwe kuwa sekretarieti mpya ya ccm,wamekuwa wakipita sehemu mbalimbali nchini na kujieleza kuwa wao ccm ni chama cha wanyonge,na zaidi sana wanasema chama chao kilikuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nimesoma makala ya Isango tz daima uk 5 nikacheka sana. Amekumbusha jinsi Makamba alimlaani nape na kusema amefungiwa mbinguni na duniani. alisamehewa lini? ccm haina tofauti na ze comedy
0 Reactions
3 Replies
990 Views
Mishahara duni,kukatwa kodi kubwa, gharama za maisha kuongezeka, mazingira magumu ya kazi na mafao kiduchu ya uzeeni ni mambo yanayopunguza ari ya kazi!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom