CCM imetoa miezi mitatu kwa makada wake wanaotuhumiwa ufisadi wawe wamejitoa katika nafasi walizonazo katika chama. Sasa kama ni hivyo ina maana waendelee kutanua Serikalini na Bungeni? Ingekuwa...
Mimi nasikitika sana kuona sisi kamataifa moja tamaduni moja lugha moja tunakuwa na mawazo yakutengana kwakutafuta sababu eti muungano uvunjwe iwepo serikali ya zanzibar naserikali ya tanganyika...
Written by mkulima // 29/04/2011 // Habari // No comments
April 28, 2011
Rais Jakaya Kikwete
Zanzibar Daima imepokea barua ifuatayo kupitia njia ya e-mail kutoka kwa anwani iliyojitambilisha kama...
Julius Kambarage Nyerere, kwa moyo wake wote, fikra zake zote, kauli na vitendo vyake alipigania na kutetea Utu wa Taifa la Tanzania.
Utu wa Taifa ni heshima ya Taifa, Ni uzalendo wa taifa, Ni...
Makala iliyoandikwa na Ahmed Rajab katika Raia mwema ya wiki hii, ambapo pamoja na mambo aligusia hatua ambayo ilichukuliwa na Baraza la wawakilishi ya kupitisha sheria inayoondoa suala la mafuta...
Wajumbe wenzangu JF:
Hivi kweli CCM wataweza kumaliza ufisadi hapa nchini? Inakuwaje tuhuma za ufisadi zachunguzwa na kumalizwa na vikao vya CCM badala ya vyombo rasmi vya sheria?
Someni hii...
Jamani mie kila siku nawatafakari Watanzania nashindwa kuelewa sisi ni watu wa aina gani?
Je sisi ni sawa na viumbe binadamu kama wengine au tuna mapungufu ya akili ukilinganisha na wanadamu...
Leo ni siku ya pili ninahudhuria semina ya maadili kazini inayp tolewa na taasisi ya maendeleo ya chuo kikuu cha dar es salaam na kufadhiliwana ofisi ya raisi, lengo hasa la semina hii ni...
MAMIA ya wakazi wa Jiji la Arusha leo wanatarajia kujitokeza kwenda Mahakamani kusikiliza kesi inayowakabili vigogo wa Chadema, wakiongozwa na Mweyekiti wa chama hicho Taifa, Freeman Mbowe na...
Wandugu, nachukuaa fursa hii kuwafagilia CCM kwa hatua inazochukua ambazo zimeendana na utafiti wa kisayansi. Uamuzi uliochukuliwa White House, Dodoma ulikuwa mgumu hatahivyo wa lazima kuendana na...
Napenda kutumia huu mtandao mashuhuri nchini Tanzania wa jamii forums (JF) kufikisha malalamiko yangu kwenu.naamini kabisa hata wamiriki wa mtandao huu (JMCL) watanisaidia kuwafikishieni taarifa...
Toka alipokuwa anafanya halakati za kuingia mjengoni, na hatimaye amefanikiwa kuingia mjengoni,sikutegemea lolote toka kwake hasa ukiangalia historia ya ufanisi wake wa kazi huko aliko pitia...
Jumuiya ya Wanataaluma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) imeandaa Kongamano la Pili la Katiba litakalofanyika katika ukumbi wa Nkrumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam siku ya Jumamosi, tarehe 02...
Wana JF, nimemsikia jioni hii BBC Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Bw. Nape kuhusu kujivua gamba. Ila kwa matamshi anayoyatoa ya kumchafua Ndg. Edward Lowasa siyo ya kiungwana wala kianaume, kwa...
Salaam!
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa jumuia za wanachuo na hasa Chuo Kikuu Dar. Makongamano, mihadhara, vigoda vya kitaaluma na kadhalika kujadili na kuchambua mambo mbalimbali...
Ni huko Gongolamboto.
Slaa alikuwa mmoja ya waombolezaji.
Makongolo na wafuasi wake pia walikuwapo.
Lakini baada ya Makongolo na watu wake kuondoka, huku nyuma (msibani) zikarindima risasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.