Katika Kikao cha Bunge lililopita nilishangazwa kumsikia Mbunge Henry Shekifu akiwasifia bila aibu polisi kwa kuua na kujeruhi katika maandamano huko Arusha, kwa kusema waliovijaribu vyombo vya...
haya ni machale yangu binafsi yanayonicheza kuwa huyu mama anajipanga,..ndio home sweet home lakini
hivi vitrip vyake lately sio bure halafu ****** body language yake pembeni ni kama...
Hodi hapa barazani, salaam!
Hoja ya haja,
Kwakua wakati wa uteuzi wa spika walitumia kigezo cha jinsia ili kuwaengua baadhi ya watu (Samuel Sitta mathalani) kutoka kwenye kinyanganyiro cha...
Imeandikwa na Frank Leonard, Iringa; Tarehe: 29th April 2011
KIKAO cha Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Iringa jana kiligeuzwa kwa muda kuwa uwanja wa kurushiana maneno baada ya Mbunge wa...
Kesho tunatarajia hukumu ya kwanza ya kesi za EPA katika Mahakama ya Kisutu. Hukumu hiyo itakayosomwa na mahakimu watatu ambao ni Saul Kinemela, Focus Bambikya and Elvin Mugata itakuwa dhidi ya...
Habari zenu wakuu JF
Siku moja nilikuwa nasoma makala moja kwenye Internet iliyoandikwa FOOLISHNESS OF AFRICAN SLAVES. naomba niwashirikishe kwenye kisa hicho ili hapa GREAT THINKERS muweze...
Ziko sifa kadhaa ndogondogo za kumfanya mtu aweze kuchaguliwa na wananchi kuwa Rais wao. Lakini kubwa sana zenye ushawishi kwa watu kuweza kumchagua mtu ni hizi hapa;
1. Historia ya utumishi...
Nashangaa, kwani ni Jeshi la Polisi walitumia risasi za moto??
Kuna Risasi za mpira, hata Uganda zipo.
Jeshi la Polisi lishitakiwe..
Jeshi la polisi Tanzania hawajui kuhusu rubber bullets
Askofu Godfrey Mdimi Mhogolo wa Dayosis of Central Tanganyika Mkoani Dodoma,amemjia juu Katibu Mkuu wa Chadema na chama chake kuwa wana wachezea Watanzania kwa kujijengea umaarufu rahisi(cheap...
Katika kile kinachoonekana kuwa sasa wanatangaza vita, gazeti la Mtanzania linalomilikiwa na Rostam Aziz na kusimamiwa na Hussein Bashe limemchimba JK kwa kuandika leo kwamba Kikwete naye fisadi...
Hv sijui tunaelekea wapi Tanzania,DSM haina RC kwa muda sasa hii sio kusema wenye sifa hawapo bali propaganda zinaendelea,Kuna kitu nyuma ya pazia kina eleza kuwa kuna yule aliyekosa jimbo Arusha...
Raisi hawazi kuweka maendeleo kwa kuchagua wakuu wa mkoa ambao wanahama kila siku na wengi wao hawajui mazingara ya mkoa wanaoongoza. Kikubwa na kibaya zaidi ni kwamba kama mkuu wa mkoa akifanya...
Nikiwa nimefunzwa na kufuzu shule ya msingi na kukubuhu hasa katika maswala ya nahau na methali, napenda kuwakumbusha baadhi. Kwanza wahenga walisema "ukitembea na mwizi na wewe utakuwa mwizi"...
Parliament of Tanzania
Nashauri Wana JF Tutembelee website hiyo tutoe maoni najua wengi tumeusoma vizuri ( link: http://www.parliament.go.tz/bunge/constution.php)
Event: Tafakuri ya kina ya Azimio la Arusha na nafasi yake kwenye mjadala wa Katiba
Date: 30/04/2011
Place: Nkrumah Hall a.k.a Nkrumah all
Main Speaker: Prof Shivji
Time: From 9: 30 AM to 2 PM...
Thursday, 28 April 2011 21:04 Elizabeth Suleyman
UMOJA wa vyama vya Upinzani Mkoa wa Dodoma, umemwandikia barua Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu( Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi...
Na Rehema Mohamed
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewataka walalamikaji katika kesi ya kupinga uchaguzi iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, Bw. James Mbatia na wenzake...
Nawasalim wana JF
Naomba tuweke kando ushabiki wa vyama tusaidiane kwenye hili la CUF:
Mwenyekiti LIPUMBA kwa sasa achana na mbio za uraisi andaa sura mpya kwa uhai wa chama.
LIPUMBA msomi...
MKUTANO mkuu wa kuwachagua viongozi wa ngazi za juu wa Baraza la Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) unatarajia kufanyika mwishoni mwa Aprili, mwaka huu.
BAVICHA haina uongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.