Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashililah, amejitosa ulingoni kujibu mapigo ya wakosoaji wa utendaji wa Spika wa Bunge, Anne Makinda, wanaodai kwamba kazi hiyo imemuelemea. Kujitokeza kwa Dk...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mei mosi ni siku ambayo wafanyakazi wote nchini wanaungana na wenzao wengine duniani kuazimisha siku yao ya Kimataifa na mimi nikiwa mmoja wa wanaothamini mchngo wao katika jamii napenda kuchukua...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kinachowashangaza watanzania na wenye kuitakia mema nchi hii ( sio CDM ) ni pale ambapo CDM kususia sherehe zote za kitaifa japokuwa hupewa mualiko rasmi. Hivi hizi sherehe zote za kitaifa hazina...
0 Reactions
95 Replies
6K Views
LEO Watanzania tunaadhimisha miaka 47 ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar. Mwaka 1964 waasisi wa Muungano huo, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Abeid Amani Karume, walikaa pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Wakati wa Kenya wanamuondosha kwa furaha Rais mstaafu Daniel arap Moi na kudhani ndio kikwazo cha maisha yao. vumbi la machafuko liliikumba baada mpinzani wake ambae ni rais wa sasa Kuvuruga amani...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
CHAMA cha UPDP kimefanya mabadiliko ya uongozi kwa kumwondoa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Abdallah Ally. Mwenyekiti wa chama hicho, Fahmi Dovutwa, alisema mabadiliko hayo yalifanyika...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Waafrika habarini za saizi tena kwa mara nyingine tena twamshukuru mungu mwenyezi mjaza neema ndogondogo na kubwa nene na nyembamba fupi na ndefu kwa uhai wake kukupa nafasi tena kuwepo jamvini...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ameyasema haya akihojiwa kipndi cha dk 45 ITV
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katibu wa bunge bwana Kashillillah aliita waandishi wa habari kuelezea minyukano iliyojitokeza katika mkutano wa 3 wa bunge hili la 10, aliuleza umma kwamba kilichosababisha ni ugeni wa wabunge na...
3 Reactions
91 Replies
7K Views
NI saa 12 asubuhi, mlango wa chumba changu unagongwa: “Kaka Zitto, kaka Zitto,” ndivyo mama yangu Bi Shida huita wanawe wote wa kiume. Naamka, mama ananiambia: “Shelembi ametutoka.” Ni kama...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Maneno haya yametamkwa na ndugu Shitambala......... ...Anaongeza: “Hicho chama nilikuwa naendesha kama kampuni binafsi. Kwani nilikuwa natoa fedha yangu mfukoni, na hawawezi kunikwamisha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hakika Chama kimepoteza watu muhimu ambao waliweza kuleta changamoto ndani na nje ya Chama.Binafsi nikiwa si MwanaCDM lakini nilivutiwa sana na viongozi hawa.Hawa ilikuwa ni tunu ya Taifa kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"......kama baadhi ya watu wanavyohoji chimbuko la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kati ya Julius Nyerere na Abeid Karume ndivyo leo watu wanavyotaka kujua ni makubaliano gani yaliyofikiwa kati...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hili swala la kijivua gamba naona kama ni mchezo wa kitoto, hii inatokana na ukweli kuwa ccm ina idadi ya viongozi wengi ambao wamekuwa kero na kikwazo kwa maendeleo ya chama hata nchi kwa ujumla...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Utetezi wa kwanza: Tanzania kama wazo M. M. Mwanakijiji Mola nakuabudia Sifa nakurudishia U peke nakuinamia Jinalo natukuzia Kalamu naishikia Wazo naliandikia Linahusu Tanzania Mama...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika harakati za kujikwamua na maisha aliyekuwa mbunge wa Nkenge Nazir Mustafa Karamagi(CCM) na Salim Mohammed Salim wameamua kuanzisha kampuni ya mawasilino kuwa mshindani wa...
1 Reactions
61 Replies
9K Views
Awila Silla, Singida NAIBU Waziri wa Ujenzi, Dk Harrison Mwakiembe, amewataka wakandarasi wanaotengeneza barabara za lami, kuacha mara moja, tabia ya kugeuza kodi za Watanzania kuwa ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Exuper Kachenje MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Januari Makamba amesema kamati yake italihoji Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco), kuhusu upotevu wa mabilioni ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kila mtu sasa anashangilia kuwa CCM inajisafisha kwa kuwatema watuhumiwa wote wa ufisadi, miezi michache iliyopita tuliambiwa kuwa CCM ni chama kinachofuata utawala wa sheria kwamba kisingewaacha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wandugu, Jamani wadau mliopo huko Shinyanga Mjini mtuhabarishe na ikiwezekana hata ku-post picha za mazishi ya Kamanda Shelembi aliyepokwa ushindi wa Ubunge wa Jombo la Shinyanga Mjini. Kuna...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom