Ulipowadia wakati wa halaiki iliyowashirikisha wanafunzi 500, mvua kubwa ilianza kunyesha na kuvuruga kabisa sherehe hizo.Kwa mujibu wa ratiba ya sherehe hizo, kipindi kilichokuwa kikifuatia ni...
Mkinga Mkinga
26 April 2011
The newly appointed Chama Cha Mapinduzi (CCM) secretary general, Mr Wilson Mukama, has scoffed at critics of the ongoing campaign to weed out corrupt elements in...
Katika kuadhimisha miaka 47 ya Muungano wa JMT, Kiongozi mmoja na immediate past President, Dr. Amani Karume hakuonekana.
Jee alikuwa wapi (maana hatujasikia kusairi) na inaashiria nini...
Na Maggid Mjengwa,
INAZUNGUMZWA sana mitaani , dhana hii ya CCM kujivua gamba. Najiuliza, je, huku ni Kuzaliwa kwa Chama kipya au kuzaliwa upya kwa chama kikongwe? Unaweza kukiona...
UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) uliundwa kwa lengo la kuwaunganisha na kuwaandaa vijana wa Tanzania ili kulinda na kutetea mapinduzi ya Afrika.
UVCCM ilikuwa jumuiya miongoni mwa...
Je Watanzania sisi ni taifa la wapendao kufanya kazi kwa bidii au ni taifa la walalamishi?
Jamii forum inajiita kuwa ni jumuiko la wanaofikiri {GREAT THINKERS}. Kwa bahati mbaya Great...
Wadau,
Chadema ina bahati ya kuwa na vijana madhubuti wenye uwezo mkubwa na ushawishi mkubwa katika jamii.Miongoni mwao ni wale waliokuwa wagombea ubunge sehemu mbalimbali nchini.Ninatoa wito kwa...
Jamani nisaidieni kujua. Hawa wanasiasa wetu mara nyingi wanahubiri wasiyoyaamini
wenyewe na hawajali wanaowarepresent. Hivi kweli hawa watu wana dini na wanamwogo mungu?pa
Salaam wanajamvi,
Habari za uhakika zinasema kuwa Rais Kikwete amemteua Prof. Idrissa Bilali Mshoro kuwa Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Shirika la Utafiti na maendeleo ya viwanda (TIRDO)...
Hekima na busara ni kitu muhimu kwa binadamu,kinapokosekana kwa binadamu ufanya vitu vya ajabu,hasa inapotokea kwa binadamu huyo kupoteza hekima na busara na kubaki na kauli.Hili limetokea kwa CCM...
..busara ambayo ina mantiki na labda wenye hisia za kichama zaidi wataona ina makengeza ya ajabu ni hii...chama tawala isishiriki kwa namna yoyote ile katika kuandaa na kutekeleza mchakato wa...
source; Tanzania Daima
na Mwandishi wetu
Barua za makada watatu wanaotuhumiwa kwa ufisadi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Rostam Azizi, Edward Lowassa, na Andrew Chenge, za kuwataka...
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo, amevitaka vyama vya siasa na serikali kwa ujumla kuacha mara moja kuwazuia watu wanaodaiwa kuwa mafisadi kwenda kupata...
As am watching TBC (one of the rare moments that I do) am reflecting on Mwl. Julius Nyerere. With his failures as a human being he remains a true son of Tanzania. He is a hero in many aspects...
Kuna mikakati ya muda mrefu na ya muda mfupi kwa vyama vya siasa kuwin washabiki na wanachama wengi kipindi fulani!
Hapa kuna long term strategies na short term strategies ikitiegemeana na haswa...
Sisi hatuna makubwa. Kwa kuwa ni watutunao tawaliwa(kikoloni) na Tanganyika kwa kisingizio cha muungano, tunachotaka ni "independence", "Freedom" and "Democracy".
Sina haja kuchambuwa kila...
Danson Kaijage
NI lazima Wilaya ya Kilombero iwe na heshima ya kimaendeleo, haiwezekani wilaya yenye vyanzo vya kuzalisha umeme na yenye kulima mpunga kwa wingi, wananchi wake wawe nyuma...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kitaendelea na ratiba yake ya kufanya maandamano ya amani katika mikoa minne kuanzia wiki ijayo.
Chama hicho kimesema kuwa ziara hiyo ya...
Tamko la Jumuiya za Kiislamu Zanzibar juu ya sherehe za Muungano
Sherehe za Muungano Zanzibar, wananchi wasusia
Posted on April 26, 2011 by zanzibarpost
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.