Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
CCM imeibuka na Msemo mpya 'Kijivua Gamba!' Kila mwanchama wa CCM anaimba huo wimbo hadi Rais ambaye ndie M/kiti wa CCM pia anaimba huo wimbo, chorus inasema 'tumewapa siku 90 Mafisadi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Awali ya yote naomba niseme kwamba siweki hili bandiko kwa lengo la kuwatetea mafisadi, bali ninajaribu kufikiria nje ya sanduku kwa mapana na marefu ili kuona hila ya CCM katika kughilibu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Speech hii alihitoa tarehe 16 October 1970,Nchini Marekani katika Jiji la New York. Ikitolewa leo kwenye umma wa watanzania wote wakapewa tafsiri yake hakika watanzania walikua na bahati ya kuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kile kiini macho anachokihubiri JK cha kujivua Gamba akiwataja mapacha watatu wakati yeye akijiweka pembeni, natamani nikione mapema kwani kujivua kwao kutaleta mpasuko mkubwa ambao haujawahi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Amtaja tena katika ufisadi Avuruga mkakati wa “gamba” TUHUMA za ufisadi ambazo Dk. Willibrod Slaa amemshushia Rais Jakaya Kikwete, zimezima mbwembwe na majigambo ya “mapambano dhidi ya...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Ni nchi zipi duniani zimefanikiwa kutokomeza ufisadi? Kwa Tanzania mtu akiiba au kujipatia utajiri wa haraka, ndio anaitwa fisadi, je hawa ambao hawatekelezi majukumu yao ipasavyo tunawaweka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
By BILHAM KIMATI, 21st April 2011 @ 13:03, THE Legal and Human Rights Centre (LHRC) has singled out use of 'abusive language' and poor attendance as some of the glaring shortcomings that tainted...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WikiLeaks cables: Tanzania official investigating BAE 'fears for his life' Prosecutor Edward Hoseah voiced safety fears over inquiry into 'dirty deal' involving sale of radar system to government...
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Iringa Mjini, saa kumi na mbili na nusu jioni. Ni Jumapili. Ni Sikukuu ya Pasaka. Ona bucha hiyo ya nyama, ' Executive Butcher'. Mwone mama huyo mwenye haraka. Mwingine angedhani, kuwa siku...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Hii ni hatari! Wanachuo hawa wanatoa wapi pesa za kuchukulia fomu? Wanatumia mikopo ya board(maana ndiyo chanzo chao kikuu cha mapato), wanalipiwa na wazazi? (inakuwaje kwa walala hoi?)...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoani Kilimanjaro umetishia kumfikisha mahakamani Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilayani Moshi, Paul Makonda kwa madai ya kutumia jina la jumuiya hiyo kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
..kwa kweli inachanganya mwenyekiti wa chama kinachofuata itikadi ya UJAMAA na KuJITEGEMEA anapotoa kauli kama hizi. ..hivi inawezekana tukawa na chama tawala cha kijamaa lakini serikali yake...
1 Reactions
220 Replies
16K Views
Habari ya mtanzania aliyemwagiwa petroli mbagala na kufariki baadaye, ilikuwepo kwenye mtandao huu, je imepotea au imepotezwa? Inahusu wale wadekezwaji
0 Reactions
0 Replies
954 Views
Ni sikukuu ya pasaka. Kila Askofu aliyepata nafasi ya kuzungumza, alizungumzia siasa: katiba mpya, amani na mustakabali wa taifa. Kwanini tafakari za siku muhimu kama hii zisilenge kuwajenga...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kila mmoja akwepa ni lini zitaandikwa Wengine wawa mbogo, kuulizwa hayo Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama Wingu la ufisadi bado linazidi kuwaumiza vichwa viongozi wa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
SIASA zisizozingatia thamani ya utaifa zimetajwa kusababisha baadhi ya wanasiasa kutolewa kafara na wananchi kushawishika kuamini kwamba wanasiasa hao ndiyo wabaya wakati watu wanaofanya mambo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ahmed Khalfan Ghailani - The Guantanamo Files Mnaweza kupakua hilo file kwenye hiyo link hapo juu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pamoja na mapungufu yake mengineyo, lakini Malecela nadhani alikuwa more articulate katika mambo yake mengi kuliko Kikwete ambaye anaropoka mambo bila ya kuwa na uhakika nayo. Je kama tungemchagua...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Magazeti ya Rostam sasa yanafanya kazi ya kukosoa serikali na ccm. Ni vita ya mitandao ya CCM. Magazeti hayo hajawahi kuandika mazuri kuhusu mageuzi ya uongozi ndani ya chama cha mapinduzi. CCM...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Ndugu Wana chama wa Chadema,kwa hoja hii ni mhimu viongozi wakuu wa Chadema na Wajumbe wa kamati Kuu wayafanyie kazi. Sote tuna tambua kua Uchaguzi wa Mwaka 2010 ulikua na changamoto nyingi hasa...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Back
Top Bottom