Katika hali inaayoonekana kutaka kukiimarisha chama hasa kwa kutumia vijana, Chama Cha Mapinduzi kinajiandaa kutumia mitandao ya kijamii kama vile Facebook, twitter na mingineyo kwa ajili ya...
Katika mjadala unaoendelea wa marekebesho ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna malalamiko na lawama zinazoanzia Zanzibar kwamba mpangilio na utaratibu wa sasa umemshusha hadhi Rais...
Naandika haya nikitafakari maduduku, malalamiko ya wananchi hususani wazanzibari kwa upande mmoja kwamba muungano unanyonya/unakwaza na kufifisha maendeleo ya sehemu hii ya muungano n kwa upande...
wakubwa hivi mnajua muda uliotolewa na CCM kwa mafisadi kwa wamejiandoa chamani ni 10/7/2011 na ikifika 11/7/2011 basi 'mafisadi' watatoswa.Leo ni karibu wiki tatu lakini hawajapewa barua...
Martin Kaswahili
TANGU kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge, na madiwani mwezi Oktoba mwaka jana, nchi yetu imeshuhudia matukio kadhaa ya kipekee ambayo huenda yakawa kiashirio cha...
Kama mimi ningelikuwa mmoja wa wale mapacha 3 wa UFISADI al-maarufu RACHEL ningelichukua uamuzi ambao CCM wasingesahau:
Uamuzi huu ungelikuwa kama ifuatavyo: Kwanza tungelifanya kikao na kuweka...
Friday, 22 April 2011
Fidelis Butahe
MWASISI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edwin Mtei amesema siku za CCM kukaa madarakani zinahesabika kwa kuwa chama hicho kimekosa usimamizi...
Wanajamvi;
Haya masuala hayawezi kamwe kwisha iwapo wahusika wanakenuliwa meno tu na JK na serikali yake. JK yuko tayari kila mara kuwaambia wananchi -- "Kuongezeka kwa gharama za umeme...
Kikwete ndie aliyemmbeba Lowasa na hivyo hivyo, ndivyo hatakavyo mdondosha.
Japo jamaa yake huyo anakusudia adondoke nae,na kwa kuwa yupo aliyemjenga mwenzie, huyo aliyemjenga mwenzie ndie atakae...
WanaJF wenzangu mimi nauliza je JK atatoa hotuba leo? Au atapotezea tena! Nimewasikiliza watangazaji wa TVZ na TBC1 wakidai ni bora leo atoa hotuba ili kukidhi matakwa wa watanzania wengi. La...
hapa hatukuja kutazamana sura kama unampenda kanywe chai ..
Pengine watanzania wengi hawaifahamu kauli hii na hawajawahi kuisikia hata siku moja na hawajui nani aliisema? Kumbukumbu za...
Kuna sababu Kadhaa za kupendekeza CCM Ifutwe kama ifuatavyo:
1. CCM imekubali kuwa imekumbatia mafisadi. CCM imewataja Lowasa, Rostam na Chenge kama vinara.
Hawa ni wachache tu kutoka...
Written by Mrfroasty (Ufundi) | 25/04/2011
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Ikulu Magogoni,
Dar es Salaam
Tanzaania.
Kwako Mheshimiwa Rais,
YAH...
*Kijana UVCCM awarushia tuhuma nzito
*Awapa siku 21 watuhumiwa wangoke
Na Mwandishi Wetu - Mtanzania
MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es...
Siku za mapumziko rasmi Tanzania ni mzigo kiuchumi kwa vile siku hizo zimeakisiwa kisiasa zaidi kuliko kiuchumi. Madhara yake kiuchumi ni makubwa kwa nchi inayohangaikia kujikwamua ili kukuza...
Mwalimu katika speech yake ya mwaka 1970 uko New York akiongea na Maryknoll Sisters' Confeerence anasema.
"My purpose today is to suggest to you that the church should accept that the development...
Today, we are asking this question after last weeks revelation that the India-based firm, Rites, is demanding a total of Sh177 billion as the cost of ending the deal it sealed with the Tanzanian...
Akiwa ziarani rais wa JMT alikiri kutojua chanzo cha umasikini,,akajibu hivi Hata mimi sijui sababu,huwa najiuliza kila siku swali hilo lakini sijapata jibu,mwisho wa kunukuu
Leo namwuliza JK ni...
Nikiangalia madudu yanayofanywa na serikali ya JK miaka 50 baada ya kile kinachoitwa uhuru ndani ya nchi inayodaiwa kuwa ni kisiwa cha amani huku wananchi wake wakiogelea kwenye lindi la ufukara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.