Katiba Mpya: Tunachotaka sasa
Na Mabere Marando - Imechapwa 20 April 2011
(Source - Mwanahalisi)
KUNA madai kwamba kinachohitajika sasa ni kuwaelimisha wananchi juu ya katiba iliyopo kabla...
DIWANI wa kata ya Mgama, wilayani Iringa Vijijini, Denis Lupala (CCM), yuko matatani baada ya kumwita Naibu Katibu Mkuu CCM, Tanzania Bara, Kapteni John Chiligati, kuwa ni fisadi na anapaswa...
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa anatarajiwa kutinga mahakamani Kisutu, katika kesi inayomkabili Prof Mahalu juu ya manunuzi wa nyumba akiwa balozi nchini Italia. Rais Mkapa atatua Kisutu kutoa...
Na Mabere Marando
KUNA madai kwamba kinachohitajika sasa ni kuwaelimisha wananchi juu ya katiba iliyopo kabla ya kuandika katika mpya. Nina maoni tofauti.
Suala la leo si kujua katiba yetu ya...
Nape unadai Kikwete na familia yake wanachafuliwa kwa kuhusishwa na hao watu kwani nyoka anajivua magamba. Kijana hizi picha zinadanganya ? Kumbuka Wapemba hutambuana kwa vilemba na ndege wa...
Katika siku ya wafanyakazi May 1995, rais mstaafu na mwenyekiti mstaafu wa CCM Mwl. Julius K. Nyerere ndiyo alikuwa mgeni rasmi. Alitoa hotuba ndefu kidogo iliyo jaa maono na muongozo.
Lakini...
kuna mkufunzi wetu mmoja hapa chuoni kwetu udom ametueleza leo muungano ulikuwa tarehe 22 april ndio siku waliosaini makubaliano tarehe 26 ni siku ilikuwa ya sherehe ya muungano pia kuna mzee...
Itashangaza CHADEMA kikipoteza nafasi hii adimu!
Lula wa Ndali-Mwananzela
Aprili 20, 2011
CCM imeanza kuteka hoja zao, moja baada ya nyingine
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
SOURCE : Nape: Wapinzani wachukue watuhumiwa ufisadi CCM
Ramadhan Semtawa
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, amesema chama hicho hakitishwi na uwezekano wa vyama vya upinzani...
Wana JF,
Mimi naomba mnisaidie kuelewa juu ya siasa zinazoelezwa na CCM hasa kila wanapokuwa katika mikutano yao iwe mijini au vijiji
Kuhusu Amani Tanzania:
Kila wanapokuwa katika majukwaa...
Nimejaribu kutafuta maana na tafsiri sahii ya usemi "kujivua gamba" . Neno gamba kwa maana pana ni kama nyumba au kitu mfano wa container lkinachotumika kuhifadhia kitu/vitu fulani; kwa msingi...
Heri ya pasaka wakubwa.
kukaa kwangu kote sijasikia habari kuhusu kila kambi ya upinzani ya kila nchi miongoni mwa nchi za afrika mashariki zikijadili kuhusu kupeleka wabunge watakao wakirisha...
Tutawapeleka Hague
Posted on April 27, 2011 by zanzibaryetu
Wakati watanzania tunaadhimisha miaka 47 ya muungano, kundi la watu kumi walioanzisha mchakato wa kudai hati ya Muungano kati ya...
By Emmanuel Lengwa
27th April 2011
The recently established task force by Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) in Mbeya Region, christened as 'Chadema Twanga Kotekote' yesterday (April...
wana jamii tupatieni taarifa ya mazishi ya mpambanaji wa CHDM aliyeaga dunia huko shinyanga. "Askari mmoja anapokufa vitani huwaongezea NGUVU waliobaki kuendeleza mapambano kwa bidii zaidi"
HAWA WAPINZANI WA KIBONGO SIWAELEWI,WANA NIA KWELI YA KUTUVUSHA AU NI TAMAA ZAO BINAFSI,NAOMBENI MISIMAMO YA JOHN CHEO,AUGUST MREMA,MTIKILA NA WENGINE...
Kuna wakati Nimuangaliapo mwanadamu huwa ninasisimuka sana. Ninasisimuka nimuangaliapo mwanadamu katika umoja wake na zaidi pale wanapokuwa katika wingi wao.
Sisisimuki kwa sababu ya jinsia...
Samson Mwigamba
KIFO chake kimetokea ghafla sana lakini hatuna zaidi ya kumwachia Mungu ambaye ndiye hupanga nani atangulie na nani afuate.
Hii leo Jumatano Aprili 27, 2011 niko mkoani...
*Kaulimbiu mpya sasa ni Towards New CCM
*Nape: Mapinduzi makubwa yaja, viongozi wajiandae
*Vuai: CCM Zanzibar tunakabiliwa na kazi nzito
*Cheche za mrithi wa Makamba ni nguvu ya soda?
Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.