Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Imeandikwa na Halima Mlacha; Tarehe: 4th May 2011 JAJI Mkuu mstaafu, Augustine Ramadhani , amelitaka Baraza la Habari Tanzania (MCT) na wadau wote wa habari nchini kukusanya nguvu zao na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Ubunifu wa mtu ni siraha yake,ubunifu wa mtu usichezewe,ni lazima uheshimiwe,utunzwe na ulindwe" Grayson, 2011. Hizi ni baadhi ya senteso zangu nyingi zitakazopatika katika kijitabu changu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kipindi cha mapitio cha magazeti kinachorushwa na kituo cha ITV asubuhi hakina mvuto kabisa na bora kisitishwe kwa ajili ya marekebisho. Kwanza kabisa magazeti wanayopitia ni machache sana...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
"WANAKOSEA KWA KUKOSEA KWETU,TUJISAHIHISHE KWANZA,ILI NA WAO WASAHIHIKE KWA USAHIHI WETU". Grayson, 2011.
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Ukitazama historia ya nchi nyingi za afrika wakati wa kupigania uhuru toka kwa wakoloni utagundua kuwa japo ilikuwa lazima mwafrika awe huru lakini wapigania uhuru hawakuwa na mipango madhubuti...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
HUKU MWANAKIJIJI, KUBENEA na wanaharakati wengine wakijitahidi kuhakikisha ufisadi unapungua, kumbe mambo tofauti kabisa. Gazeti la Chama cha CDM kilichoapa kupambana na mafisadi linakuwa mstari...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
ndugu zangu ktk jambo ninaloshukuru ktk maisha yangu ni kutokuwahi kuwa CCM, siko zote ktk kipindi hiki kifupi nichobakisha ktk maisha YANGU namuomba Mungu anipe umri nitakaoweza kushuhudia...
0 Reactions
171 Replies
12K Views
Kumekuwa na tetesi nyingi sana kwamba baadhi ya wakuu wa mikoa na wilaya wamekuwa miungu watu katika mikoa na wilaya zao kiasi kwamba wakati mwingine wamekuwa wanawalazimisha watendaji wao kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HomeNewsNational National Dr Besigye’s aides were yesterday sent back to jail until May 9 when their bail application will be heard. PHOTO BY STEPHEN WANDERA By Sheila Naturinda...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Source: Mwananchi Inasikitisha sana kuwa na serikali isiyokuwa na nidhamu ya matumizi ya hela. Serikali au taasisi makini huwa inakuwa na budget na kuifuata bila kuongeza kitu. Sasa hapa kwetu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
1 May Posted May 1, 2011 by Wolfgang's East Africa and Indian Ocean Tourism reports WITH POACHING IT IS FOREIGNERS TOO ‘Foreigners’ seems to be one of the key word these days in Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, Tukiwa na siku tatu tangu tusheherekee sikukuu ya wafanyakazi tanzania,siku ambayo kwangu nilizidi kukata tamaa kutokana na kauli ya rais wetu kwenye hotuba yake kutamka kuwa kufungua...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema Mh.Freeman Mbowe amesema chama chake hakiungi mkono matumizi ya nguvu kupita kiasi wala hakiungi mkono ugaidi. Amesema hayo alipokuwa akisoma maazimio ya kamati kuu na baraza...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Juzi nilitembelea Dodoma na Bahati nzuri nikbahatika Kukutana na Mafundi Mitambo ya Umeme Na Sauti wa Bunge...Nilistuka nilipoambia ati Siku ile Tundu Lisu anaongelea Watawala Kuingilia Uhuru wa...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa hali ilivyo sasa ni wazi kuwa kuna ufa mkubwa kati ya watanganyika na wazanzibar. Kwa mtazamo wangu, kama kuna kosa ambalo ccm itakuja ilijutie milele ni kumweka mzanzibar kugombea urais wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
The ruling party in Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) has met today in Dar es Salaam and according to the agenda the party is discussing the future of three its members (names withheld), who are...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
WILISONI, KATUPE MBALI HIYO RIPOTI KABLA HAIJAANGAMIZA ZAIDI CCM NA TAIFA KWA UJUMLA MAANA HATA KIDOGO HAIKUA ZAO LA LILE JINA LA UBATIZO LA 'SCIENTIFIC RESEARCH' ULIOIPA LA SIVYO CCM MTAJIKUTA...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Kama nongwa ni ufisadi, ufisadi hakuanza JK wala awamu ya 4, ni zao linalotokana na sera mbovu za CCM na baadhi ya Watanania, na hata vyama vya upinzani. Kama wizi wa kura ni mfumo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ok wanajamvi Mara nyingi hapa mnaongelea mapesa tu sasa tujadili assets. Naleta mada ya kichkozi lakini yenye nia ya kujenga. Serikali inayo standard ya asset zake eg magari kuwa zikifikia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Historic Index Nov 1978 Issue 1 Aims of Tanzanian Affairs. Editor Terence Ranger. Partially online 1984 David Brewin takes over as Editor July 1985 Issue 21 Mwalimu’s visit to UK; Socialism &...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom