Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ubaguzi kwa wana chadema, ni mkubwa utadhani ccm ndio walipa kodi peke yao. Ebu Angalien TBC1, hawawezi kutoa habari yeyote nzuri ihusiyo cdm, bali mbaya ndio wataitangaza weeeee. lkn ikiwa hata...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), 'imemkaba kooni' Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) Dk. Willibrod Slaa, kufuatia tuhuma alizozitoa dhidi ya ofisa wa mamlaka hiyo...
0 Reactions
69 Replies
8K Views
Nimekutana na hii article naomba wadau tuijadili specifically katika mazingira yetu ya Tanzania I repeat: Is democracy the killer of liberty? The dictionary defines democracy as the rule of the...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Juzi ktk mkutano wa hadhara na wananchi wa mbeya, mwenyekiti ndg Freeman Mbowe alisikika akisema "moto waliouwasha hautazimika mpaka kieleweke", this means vyama vingine visitarajie anguko lolote...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi karibuni kumeibuka kundi kubwa sana la viongozi wa serikali wasiojua nini wanafanya na wala hawana upeo na nini kifanyike kuleta maendeleo badala yake wamekuwa ni watu wa kulalamika kila...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo nilikuwa katika Maongezi tukawa tunaongelea hoja ya Kwa nini kila Mwaka Hizi Barabara za Halmashauri huwa Zinakwanguliwa tu, kwamba kwa nini kusiwe na Mpango wa kujenga barabara ambazo ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania na wale wote wenye kuitakia mema Tanzania, nawasalimu, Nimeona ni bora kuliweka hili wazi kwa kila Mtanzania ili ajue ni kitu gani kinaendelea. Baada ya uchaguzi mkuu wa...
2 Reactions
71 Replies
6K Views
Baada ya kujitangaza kuwa Milionea na kukanusha Ubilionea. Leo hii ameamua kukutana na waandishi wa Habari katika hoteli ya hadhi yake ya New Afrika. Mashuhuda wetu wameshavinjari eneo la mkutano...
2 Reactions
258 Replies
25K Views
Taifa likiwa na wakati mgumu wa kujua ni nani ambaye atateuliwa kuwa mkuu wa Tanroad....kwani utendaji wa sasa umelisababishia taifa hasara kubwa sana katika mikataba yake na wakandarasi....chief...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Na Nova Kambota Inaelezwa kuwa moja ya vitu ambavyo baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alivipigania mpaka mauti yanamfika ni kujenga taifa la watu wenye uwezo wa kufikiri na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, Nawasalimu. Baada ya kutangaza nia yangu ya kuomba ridhaa ya kuwa rais wa nchi yetu mwaka 2030, nimeulizwa maswali mengi sana mojawapo nilitakiwa nitaje chama changu cha siasa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mbona Hamad na Lipumba hatuwasikii? Wakati wa ndoa yao na ccm walikuwa wanapiga kelele ile mbaya, sasa mnapata pay check hali maisha imenyooka sio. Kweli cuf ni gamba jingine la jk. Kumbe shida...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilikuwa napitia tovuti ya CHADEMA leo hii. Nikawa nataka niijue Sekretariati ya CHADEMA nikakuta majina ya wajumbe wa Sekretariati ila cha kushangaza nikakuta wajumbe John Mnyika (mbunge wa...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
na Happiness Katabazi MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imetamka kuwa kifungu cha 36(4)(e) sura ya 200 cha Sheria ya Uhujumu Uchumi kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2002, ni kinyume cha Katiba ya...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Kwa muda mrefu wapinzani wame-establish kauli mbiu ya kupambana na ufisadi, pole pole ccm mkaitwa chama cha mafisadi. Badala ya kufanya uchunguzi kwa nini hilo limetokea mkakurupuka kuita watu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
JE NI WABUNGE WETU WANA SIFA HIZI HAPA CHINI ZA KIONGOZI BORA? 1.Kusimamia SHERIA bila kujali gharama yake 2.Mshawishi wa vitendo, uadilifu na ujasiri 3.Kiongozi bora haogopi kukosolewa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Moshi Mjini kupitia chama cha Mapinduzi (CCM), Justin Salakana, amefuta kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi Mbunge wa sasa, Philemon Ndesamburo (Chadema)...
0 Reactions
21 Replies
41K Views
UVCCM mkoani kilimanjaro wamemfukuza rasmi Paul Makonda, (yule kijana alifanza press confrence dar na kusema Rostam akamatwe na afukuzwe nchini) paul akiongea na ITV amesema hawana ubavu wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika Bunge lililopita, CCM kwa makusudi na kimkakati kwa kushirikiana na Chama Tawala Kishiriki Zanzibar yaani CUF kwa kuwatia mfukoni NCCR na John Cheyo walikukihujumu Chama Kikuu cha Upinzania...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Chama cha wahandishi wa habari nchini, Taswa wamempa tunzo ya ya heshima aliyekuwa rais wa JMT, awamu ya tatu ndugu B. W. Mkapa kwa mchango wake katika kukuza na kuendeleza michezo nchini...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom