Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
TANZANIA imetoa mwito kwa nchi tajiri kutambua nafasi yao katika kuzikwamua nchi masikini ili zikuze uchumi wake na kuwasaidia wananchi katika nchi hizo. Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais Kikwete ataka mawaziri wajiengue Na Sharon Sauwa 10th May 2011 Ni wanaokiuka maadili, uwajibikaji Agusia wizi, uzinzi, ubabe, dhuluma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MVUA zinazoendelea kunyesha Jijini Dar es Salaam zimeathiri makazi ya muda ya waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto na kuwafanya waishi kwa mashaka na hofu ya kupata magonjwa ya milipuko na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
“Mkutano kati ya Lowassa na rais ulikuwa mfupi sana. Lowassa alimueleza Bwana Mkubwa (rais Kikwete), jinsi asivyofurahishwa na mwenendo wa Nape hasa jinsi anavyowatuhumu ufisadi. Alimsihi Rais...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Ndugu zangu, Mmojawapo ya wanamtandao waliomfikisha Kikwete hapo alipo ni Bw. Salva Rweyemamu. Huyu jamaa alitumia kalamu yake kwa nguvu zake zote kumpamba kikwete na bila aibu ndiye aliyeongoza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Vijana tunakiamini chama cha demokrasia na maendeleo,kwa namna kinavyosimama na kuibua na kuhoji mambo muhimu sana katika jamii yetu. Hata wazazi wetu wanaamini chadema ndio kimbilio letu, licha...
2 Reactions
78 Replies
7K Views
Mheshimiwa Mbunge Nyerere nakupa salute kwa utendaji wako wa kazi though ni kimya kimya! Ktk maandamano cjabahatika kukuona kabisa, tuyaache hayo kwan NAJUA UNAJUA! Sasa mkuu nafurahi upo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Elizabeth Suleyman - Gazeti la Mwananchi SERIKALI kupitia taasisi zake, imetumia zaidi ya Sh176 millioni, kugharimia salamu 217 za pongezi katika vyombo vya habari , utafiti wa shirika moja...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Jamani sijamuona PM Pinda toka kujivua gamba kwa CCm sijui yupo wapi Hata kwenye Semina elekezi kama Kilanja Mkuu sijasikia ana topic ya kuwafunda Mawaziri hii inakuwaje? nae ni gamba?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa kuwa CHADEMA ndiyo chama kikuu cha upinzani hapa TZ waTZ wana penda kusikia ujumbe maalumu toka kwa viongozi wao wakuu wa CDM,na kwa kuwa chama tawala cha magamba wana hotuba ya kila mwezi...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
* Sio wakati wetu na sisi watanzania tukutane na kusuluhisha tofauti zetu ka amani? Moses Mulondo 7 May 2011 THE National Resistance Movement (NRM) and opposition leaders have met in...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa sasa ndio inalipa watumishi wote wa serikali mishahara. Kuna Overdraft a/c maalumu kwa shughuli hio.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Dk.Slaa: ANASA WARAKA WA SIRI CCM, AFICHUA WIZI WA MABILIONI HAZINA KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk.Willbrod Slaa, sasa ametamka rasmi kwamba nchi haitatawalika...
1 Reactions
72 Replies
8K Views
Waziri Magufuli anasifika kwa kutaja takwimu mbalimbali zinazohusu wizara yoyote anayoiongoza. Katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV, Magufuli alikuwa anajikanganya katika kutoa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu siku ya jana, mh Mwakyembe, amezuiliwa na wakazi wa Kyela kuingia stendi ya Kyela na kuzomewa na wakazi wa hapa wakidai aliwaahidi lami na hajatekeleza, toka juzi hakuna gari linaloingia...
0 Reactions
65 Replies
10K Views
Nimekuwa naona Wassira mara atoe matamko, mara ajibu shutuma, mara azindue miradi, nk. Sasa ningependa nijue majukumu ya Ofisi ya Rais-Mahusiano na Uratibu (President's Office-Social Relations and...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo nimeona CCM wakifanya Maandamano Singida wakiwa Katika Ziara ya keelezea Kujivua Gamba Kwa Nilichokiona Katika yale Maandamano hakika naweza Sema kwamba Kweli CCM ni Chama Kikongwe na...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Msikilize Queen Zee kutoka South Sudan, nchi ambayo hivi karibuni imeomba kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki, akielezea harakati za ukombozi za akina John Garang.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NI watu wenye profile hii 1. Ni wazee na vikongwe kiumri, hakuna lolote waliloacha mbele yao zaidi ya familia zilizokata tamaa, familia zisizo na matumaini ya kupiga hatua yoyote mbele ya...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
CDM wanaanza ziara ya operesheni sangara nyanda za juu kusuni wosia wangu kwao ni huu hapa Nendeni bila woga, nendeni kuwahubiria ukombozi wa taifa lao, nendeni kawaambineni TZ bila CCM amani...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom