Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mbunge, meya wamvimbishia msuli mganga mkuu na Sitta Tumma, Mwanza MBUNGE wa Ilelema Highness Kiwia na Meya wa Jiji la Mwanza Josephat Manyerere wamemtunishia msuli Mganga Mkuu wa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nape Mnauye ni mategemeo yangu ya kwamba sababu kubwa ya kuteuliwa kwako na viongozi wapya katika kamati kuu ni uamuzi uliofikiwa na CCM baada ya kubaini mapungufu katika chama na moja kati ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau,nasikiliza redio hapa, taarifa ya saa 12 jioni hii, kwamba Dovutwa- mwenyekiti wa UDPD ameitisha press confernce na kutetea hatua ya Ridhiwani kutaka kuwapeleka court Dr Slaa na Mch...
0 Reactions
69 Replies
7K Views
kijana mwenzetu Nape anashindwa kusema mikakati yao ambayo wanatarajia kuwakomboa watanzania amekaria kusifia chama na kujibu hoja atajibu mpaka lini, kwa maana wamegundua kuwa chama chao kilikiwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
"MAMEYA WATATU WAMVAA MAGUFULI" Wa kwanza kuponda kauli ya Magufuli ni Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa, ambaye alimtaka Magufuli kuacha ubabe na asikilize maagizo ya bosi wake, Rais Jakaya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Maandamano yanayoendelea mikoa ya Kusini yamekosa mvuto na msisimko na kile kinachoelezwa kupuuzwa na vyombo vya habari magazeti na Television. Ni gazeni moja tu la Tanzania Daima ndio limekua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana JF mimi ni mmoja wa wanJF lakini pia ni mfuatiliaji sana wa habari za siasa hasa siasa za upinzani na zaidi sana habari za chadema!! Kwanza ningependa kuwajuza kuwa mimi ni Mwanachama na sio...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ufisadi katika nchi hii unaonekana zaidi miongoni mwa wanaojifanya ni wapenda haki huku wakiwa ni wafanyabiashara wakuu. Tazama kinachoitafuna CCM! Biashara+Siasa! Swali moja dogo, ni lini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Taifa na mbunge wa Manyoni Mashariki John Chiligati Thursday, 12 May 2011 19:11 newsroom * Mwakani mwisho wa mafisadi dagaa * Asema CCM itabaki na waadilifu tu NA...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Jamani nimesikiliza taarifa ya Habari ya TBC1 wakimnukuu Katibu Mkuu wa CCM akisema kuwa hakukuwa na maazimio ya kuwatosa mafisadi baada ya siku tisini. Au sikusikia vizuri!! Mbona Nnauye anasema...
0 Reactions
118 Replies
11K Views
Ndugu zangu JF, Nimefuatilia mjadala wa Kauli yangu juu ya kifo cha Osama bin Laden katika jukwaa hili na hata nje yake na kugundua mambo kadhaa ambayo nastahili kuyaweka wazi yakaeleweka vema...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Juzi waandamaji huko Uganda walikumbana na washawasha la pink. Nimesoma kuwa hii style ilikuwa inatumika sana kipindi cha ubaguzi wa rangi Afrika Kusini. Washawasha la pink alikutumia Tunisia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa sala na dua, ninaomba Tanzania tumpate Rais mwenye sifa zifuatazo: 1. Awe katili kwa waongo, wapenda rushwa, wezi, mafisadi na wazembe kazini 2. Asiwe tajiri wala masikini 3. Awe na kisomo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wapenzi na wanachama wa Chadema: Kutokana na vita hii kali ya maneno kati ya CDM na CCM, naona imefika wakati muafaka kwa CDM kuweka hadharani ufisadi wote wa EPA -- jinsi CCM ilivyonufaika na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
RAIS Jakaya Kikwete, anaelezwa kukwamisha vita dhidi ya ufisadi ndani na nje ya chama chake, Chama cha Mapinduzi (CCM), baada ya kuamua kumteua mtuhumiwa wa kashfa ya Richomond, Bashir Mrindoko...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
According to Wikipedia Sources Kigoda as a leader behind many financial scams Tanzania has ever seen. Under former President Benjamin Mkapa, Kigoda as a member of inner sanctum made a lot of money...
0 Reactions
91 Replies
8K Views
* Tatizo ni kuwa chama tawala bado kina Mamlaka kwenye Vyombo Vya Usalama; Bado Ofisa Mwandamizi wa Polisi anachaguliwa na Rais; This must stop to have a fair and balance rule. Thursday, 12...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu najua mnahasira na huu mchezo unaofanywa na hili shirika la mwanga. Mchezo wa mgao wenye wimbo wa dharura kila siku. Lakini nawasihi angalieni huo mdahalo msikie hizo sababu wanazotoa.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna taarifa kua Nape nnnayuye atatoa list ya mafisadi ndani ya chadema,.. naomba mwenye updates atupatie huko aliko,... update: inasemekana kumbe alicho ongelea chenyewe ni kile kile cha siku...
2 Reactions
188 Replies
15K Views
Imeandikwa na Samson Chacha, Tarime; Tarehe: 12th May 2011 KATIBU wa Wilaya wa Chama cha Wananchi (CUF) Wilaya ya Rorya mkoani Mara, Jeremia Mgunda (37), amehukumiwa kwenda jela miaka 30 baada...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom