Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwenye kundi la watu wanaohudhuria mikutano mikutano ya chadema siwezi nikaita ni umma! Sababu ni kwamba hakuna uwiano sawa wa makundi ya jamii kama wanawake,wazee,vijana,walemavu etc! Ninaowaona...
0 Reactions
96 Replies
7K Views
..Taarifa za uhakika tulizo nazo ni kwamba kuna mkakati maalum wa kumbambikizia kesi ya madawa ya kulevya Mhe. Godbless Lema mbunge wa jimbo la Arusha Mjini. Katika mkakati huo watu...
1 Reactions
67 Replies
6K Views
Wakuu nilikuwa napitia matokeo ya uchaguzi Mkuu katika ngazi ya Ubunge kwenye tovuti ya NEC. Nimekutana na hii hapa,Je ni sahihi? TUMBE...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimepata habari kutoka kwa swahiba wangu aliye Bukoba kwambapicha za JK zilizokuwa zime4bandikwa kwenye nyumba ambazo ni maduka na sehemu nyingine za biashara zimeanza kuondolewa na wenye biashara...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Written by Stonetown (Kiongozi) // 12/05/2011 // Habari // 3 Comments Ukweli kuhusu vibanda vilivyojengwa vya wafanyabiashara ya vinyago eneo la Pwani Mchangani, Kaskazini Unguja ni kama hivi...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Kuna wakati najiuliza hivi chama chetu kinachoongoza kimechanganyikiwa ? Wajibu wa kukamata na kuwashitaki watu wote wanaovunja sheria ni wa serikali,inatia huzuni pale ambapo anayetakiwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Itv habari leo asubuhi Wa windsurf Nape na Chiligati wakiutubia umati mdogo wa wananchi ambao idadi kubwa Yao walikuwa wamevaa sare za ccm. Idadi hiyo ni ndogo sana ukilinganisha na umma...
0 Reactions
76 Replies
6K Views
Ukweli kuhusu vibanda vilivyojengwa vya wafanyabiashara ya vinyago eneo la Pwani Mchangani, Kaskazini Unguja ni kama hivi: Ukweli ambao SMZ-GNU hautaki kuusema kwa faida yao na matakwa yao...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wana-JF, Nimegundua tovuti mbili muhimu kwa masuala ya fedha na uchumi hapa nchini hazipatikani kwa kama wiki moja sasa. Tovuti hizo ni za Wizara ya Fedha - http://www.mof.go.tz na Benki Kuu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
TUHUMA za ufisadi zinazoikabili serikali zimechukua sura mpya baada ya Rais Jakaya Kikwete kuagiza ripoti ya tathmini ya rushwa ianikwe mbele ya umma ili uweze kufahamu kabla ya kujadiliwa na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Sikiliza, tazama mwenyewe kwenye hii video Angalizo kuna baadhi ya picha (Scene) kwa yaliyotokea pale siwezi kuzionesha kwenye TV au hii Youtube yenye ID ya jina langu kwa sababu maalum ikiwemo...
12 Reactions
56 Replies
12K Views
Nilianza kusikia kwamba 'kujivua gamba' kwa ccm, ni kuwaengua viongozi watatu wa ngazi za juu za chama hicho (majina yalitajwa), na walipewa muda wa siku 90 kufanya hivyo. Baadae nikawa nasoma...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Nimeckia serikali (CCM) baada ya kuwachangisha wana Mbeya mchango wa uzinduzi mbio za Mwenge zaidi ya milion 100, sasa imehamishia uzinduzi huo Butiama kwa kigezo cha kumuenzi Nyerere na miaka 50...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wananchi wa Nyamagana Mkoani Mwanza, wamekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuacha kutumia ofisi ya Meya wa Jiji la Mwanza kama 'kijiwe' wamesema ofisi hiyo iachwe itumikie wana...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa sisi wakristo tuna mkumbuka Yesu alipoingia hekaluni alikuta watu wamepageuza mahali pa biashara akakasirika sana akaanza kutupa kila kitu na kuwakemea kuwa wasiigeuze nyumba ya sala kuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Makamanda cha chama cha demokrasia na maendeleo kuvamia jimbo la bibi mkola Njombe. Hata kabla ya makamanda kuanza kazi ya kumwaga upupu tayari maelfu ya wabena na makabila yanayoishi hapa Njombe...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwanasiasa kijana machachari aliyekuwa mwanachama na mgombea nafasi ya Mwenyekiti taifa ya jumuya ya Umoja wa Vijana wa chama cha mapinduzi , Nape Nnauye ametangaza rasmi kumuunga mkono mgombea...
0 Reactions
235 Replies
27K Views
EYE SPY: The clowning and lies are on! ADAM LUSEKELO THIS DAY DAR SALAAM ACCORDING to the government, more than 1.27 million jobs have been created during the last three years. But then...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi huyu Nape Nnauye si ndiye yuleyule waliwachachafya wenzake ndani ya UV-CCM kuhusianana na mkataba wa jengo la Umoja wa Vijana...hadi CCM wakamto akwenye kinyang'anyro cha uongozi kwa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni jumamosi nyingine, siku ambayo naamini tulio wengi tunaipenda. Kabla ya kuwatakia week end njema wadau nimekuwa nikijiuliza baadhi ya maswali kuhusu baadhi ya mambo. Jambo la kwanza ni kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Back
Top Bottom