Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwa kutambua mapema kuwa mkutano wa CCM ungedorora, jeshi la polisi linatumiwa kuficha aibu hiyo kwa kupiga marufuku mikutano yote ya kisiasa wilayani Tarime. Chadema yadaiwa imenyimwa kibali...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi ni Mtanzania, tena mpenda maendeleo na mpigania vijana... na hasa hasa mpenda haki na maendeleo ya nchi sipendi viongozi wanaoonyesha picha mbaya kwa namna yoyote ile kwani wanatunyima...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Ukisoma tahariri ya gazeti la Nipashe (May 19, 2011) iliyobeba swali la “Aibu hii ya ukosefu madawati hadi lini?” kama kweli una moyo wa binadamu utasikia machozi yanakububujika kama sio kwa nje...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika tukio la mauaji yaliyotokea Tarime (North Mara Mine) shirika la utangazaji la taifa limeonyesha mapungufu makubwa na kupoteza kabisa umuhimu wa kuwepo kwake, kwa siku mbili mfululizo...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Mbowe akiwa omba kuongozwa na Mbunge Msigwa kuingia katika nyumba yake ya kisasa ili aweze kujionea ndani ubora wa nyumba hiyo ,viongozi hao wa Chadema Taifa wamempongeza mbunge huyo kwa kuwa na...
1 Reactions
39 Replies
9K Views
Namuona Katibu mkuu wa CCM katika harakati zao za kujivua gamba huko Serengeti. Hivi wameshindwa kusomba watu au nao ni mkakati wa kujivua gamba?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
“God is not unjust; he will not forget your work and the love you have shown him as you have helped his people and continue to help them.” - Hebrews 6:10
2 Reactions
52 Replies
4K Views
Ndugu wanaJF naomba kuchukua nafasi kuwauliza viongozi na wapenzi au washabiki wa CCM walioko humu ndani " Kwa nini viongozi wa CCM wakiongozwa na Nape wanahangaika sana kwenye chaguzi za serikali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu Zangu, Kusoma ni burudani pia. Wikiendi hii nasoma kitabu hicho pichani, Gamba La Nyoka, mwandishi ni Euphrase Kezilahabi. Kumbe, hata miaka hiyo kuna walioliona na kulijadili ‘ gamba...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Uendeshaji wa vyama kupitia maandamano unaficha mambo mengi ambayo ni vyema watanzania tujiulize. Je miaka 2010 hadi 2015 tutegemee maandamano wa mji hadi mji? Ndio demokrasia ya vyama...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Kumbe alama ya vidole viwili inatisha ,naona wanafunzi waliiga ktk TV za nje mambo ya vidole vy libya au wana maana gani labda cdm au mimi sijui naombeni wana JF mnifahamishe maana mke wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya Bunge kuukataa mswada/rasimu ya katiba mpya, serikali ya JK inafanya chini chini kuhakikisha kuwa rasimu hiyo ambayo wanadai inatengenezwa au kufanyiwa marekebisho mapya, kuwa inapita...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Siasa ni mchezo wa ajabu. Katika siku za karibuni Zito alitukatisha tamaa sana. Gafla amerudi kwa kasi ya ajabu, amekisikia kilio chetu. Nadhani alidanganywa na RACHEL sasa ameona hamna dili. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
988 Views
Kipima Joto Cha leo swali lilikuwa ni, 'Je! Kitendo cha wananchi kumpiga mawe mbunge wao mawe ni suluhisho la matatizo yao'? Asilimia sabini na sita (76%) ya waliohojiwa walisema 'NDIYO'!!!
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Eti ndugu zangu em toeni uamuzi coz mpaka dk hii hajafa mtu kama alivyotabiri huyu mkali wa majini
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ngeleja: Hoja si kujiuzulu Imeandikwa na Lucy Lyatuu; Tarehe: 8th December 2010 WAZIRI wa Nishati na Madini, William Ngeleja amesema tatizo sio kujiuzulu, bali ni jinsi ya kutatua kero za...
0 Reactions
134 Replies
10K Views
Jana nilisikiliza BBC walitangaza kuwa taasisi ya Public Utilities Regulatory Commission ya nchini GHANA wamepitisha sheria ya kuwa shirika la umeme la nchi hiyo haliruhusiwi kukata umeme zaidi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Imekuwa ni Tabia ya Serikali kubana Maendeleo kwa yale maeneo ambayo ni Ngome ya Upinzani. sasa Serikali msipokuwa makini ipo siku hawa jamaa watatimiza kauli za Je huu Ujumbe una Maana yeyote...
0 Reactions
1 Replies
946 Views
Nimemshangiaa N/ waziri wa mambo ya ndani Kagasheki kusema eti serikali inamjua mbunge MMOJA wa chama kimoja alietoka kwenye jimbo lake na kwenda kuchochea fujo Tarime. Hii ni kauli ya kichovu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Iringa leo kumekucha ni makombati, skafu za chadema, ni mwamko wa hali ya juu maandamano yanatoka sehemu tatu ipogoro, kihesa na mkwawa, watu ni wengi sana hapa kihesa wakisubiri kuanza kwa...
2 Reactions
204 Replies
29K Views
Back
Top Bottom