Hivi karibuni mh waziri Mkuu alikua na ziara mkoani Tabora ya zaidi ya wiki na katika kipindi kisichozidi mwezi mmoja, Mh. Raisi nae yuko kwenye ziara ya kikazi mkoani humo Tabora. Swali...
Ukija Iringa msimu huu utaona wakandarasi walivyo tigwa,wanajenga na kukarabati barabara mno,na hili ndilo lililonosukuma kuandika post hii, kuna miradi mingi inayotekerezwa msimu huu hapa iringa...
Wanabaraza nimewazua kuhusu vipaumbele halisi tunavyoviendekeza sisi kama Watanzania
1.ULALAMISHI (ilhali tangu tuanze kulalamika hatujapata suluhisho)
2.RUSHWA (katika tafsiri na aina zote...
..makala ya Mihangwa wa raia mwema akiwachambua Mawaziri Wakuu wa Tanzania kuanzia wakati wa Uhuru.
KUTOKA NYERERE HADI PINDA, YUPI MAHIRI??
Waliotia fora kwa umahiri ? Kawawa, Sokoine...
Nimesoma kwa masikitiko makubwa kuhusu kijana, mwanaume, Mtanzania, aliyefariki baada ya kukamatwa na kuhojiwa na Polisi, hatimaye kufariki akiwa hospitalini, baada ya mateso aliyoyapata akiwa...
RAIS wangu, makala iliyopita imewagusa watu wengi mno! Kwakuwa mwangwi wake umekuwa mkubwa, hivi nimeona ni bora niinyumbue ili iwe wazi zaidi. Imeandikwa, Tazama jinsi ilivyo vyema na kupendeza...
Mbunge adaiwa kununua vitabu kuchoma moto
Mwandishi Wetu , Mwanza
KITABU cha âMafisadi wa Elimuâ kimezidi kuwa lulu jijini Mwanza baada ya
nakala zake 25,000 ambazo zilitarajiwa...
BENKI ya Dunia (WB) imeidhinisha Tanzania kupatiwa mkopo wa dola za Marekani 40 milioni sawa na zaidi ya Sh52 bilioni ili kufanikisha mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa kwa ajili ya Watanzania...
Mwakyembe gives PCCB a piece of his mind
THIS DAY
Kyela member of parliament Dr Harrison Mwakyembe has hit back at the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) over its reported...
mengi yamesemwa kuhusu JK kutofaa kwa awamu nyingine, lakni ni kweli hakuna yale mazuri yanayoturuhusu tumpe awamu ya pili?? katika hili naomba tuchambue zile sababu haswa zinazoshawishi JK apate...
RAIS Jakaya Kikwete ameeleza kutoridhishwa kwake na uendeshaji wa mashirika ya reli kwa njia ya ubia katika Afrika Mashariki na kutaka uangaliwe kwa kina.
Akifungua jana kongamano la kujadili...
SPIKA wa Bunge, Samuel Sitta amemuelezea mwenyekiti wa Tanzania Labour Party (TLP), Augustine Mrema kuwa amekwisha kisiasa na kipesa na sasa anahangaika kujinasua kutoka katika hali hiyo.
Spika...
Habari zilizothibitishwa na Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Ngeleja zinasema kuwa tatizo la umeme lililoikumba nchi muda mfupi uliopita linatokana na matatizo ya kiufndi kwenye gridi ya taifa na...
YADAIWA KUIKWAMISHA TAKUKURU KUSHUGHULIKIA WALA RUSHWA
Felix Mwagara
RIPOTI ya Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mpango wa Kutathmini Utawala Bora nchini Tanzania (APRM), imebainisha kuwa...
KWA mujiibu wa habari nilizozisikia hivi karibuni ni kuwa viongozi wa kijeshi wa Marekani wamesema tayari wameruhusiwa kutumia ndege zao za kijeshi ili kuihuisha serikali iliyopandikizwa huko...
Political notes: Connolly speaks against mauling in East Africa
Rep. Gerry Connolly receives a hug from Mariamu Stanford of Tanzania.
By JONATHAN HUNLEY
Published: March 10, 2010
The...
MOZAMBIQUE GETS TOUGH ON CORRUPTION: EX-MINISTER GETS 20 YEARS JAIL 27 FEB 2010 BY : DPA
In a test case for Mozambique's fight against corruption, a former government minister in the southern...