Na hii hapa chini maeneo ya Msasani
Hapa ni njia ya kituo cha Polisi cha Msimbazi kama kinavyoonekana kwa mpiga picha. Nimepata picha hii toka kwa Evarist Chahali FB;
Ninajiuliza:
a. Uchafu...
taarifa toka njia panda ya mzumbe pale morogoro ni kwamba basi la scandnavia la kwenda mbeya limewaka moto likiwa na abaria wote garini. Hakuna aliyepoteza maisha.
Chanzo cha habari amesalimika...
Marekani.com
Nataka kutengeneza mtandao wenye hilo jina la Marekani.com.
Kama Mswahili uliyeko Tanzania, au popote pale; ungependa kuona taarifa gani, au huduma zipi kwenye mtandao wa...
Leo wanawake wa wanasiasa wa Tanzania wamefanya uzinduzi wa Jukwaa la Wanawake wa Vyama vya siasa Tanzania (Tanzania Women Cross Party Platform,TWCP)lililofanyika katika ukumbi wa Karimjee...
Tanesco bosses fired over Sh280 billion loan scam
Former Tanesco Managing Director Dr Idris Rashidi.
Two top directors of the cash strapped power utility firm have been suspended...
Jaji mkuu Ramadhan amewashangaza watu kwa kutumia pesa ambayo alipewa kukarabati nyumba yake na kuamua kwenda kukarabati jumba la kumbu kumbu ya Jaji mkuu wa kwanza wa Tanzania Bw. Said.
Sherehe...
Rais Jakaya Kikwete akijiandikisha kupiga kura kwenye kituo kipya cha kupigia kura kijijini kwake Msoga,wilayani Bagamoyo. Pembeni akiangalia ni msimamizi wa kituo cha kuandikisha wapiga kura cha...
Serikali yafyata kwa Dowans
• Yajiandaa kula matapishi yake
na Sauli Giliard
BAADA kuikwepa mitambo ya kufua umeme ya Dowans kwa takriban mwaka mmoja, hatimaye serikali iko katika...
Jamani kuna mikoa sijui imesahaulika ama imelaaniwa
kuna mikoa hata nguzo ya umeme uioni.....wanasikia tu
kweli kuna mikoa waanaamini bado rais ni julius nyerere
na si jakaya kikwete ila hili si...
HUKU Kamati ya Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi ikiwa imeongezewa muda kukamilisha usuluhishi miongoni mwa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kundi jipya limeibuka ndani ya chama hicho likitaka...
Tanzania Daima
HATIMAYE Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imeridhia kukipa usajili wa muda Chama Cha Jamii (CCJ), baada ya kukikwepa kwa zaidi ya miezi miwili.
Habari za uhakika...
Nimetafakari sana wana JF wenzangu kabla ya kuleta mada hii jamvini.
Sote tunakula chakula cha aina tofauti,kwa wakati tofauti.
Pia nina imani kila mmoja wetu wakati mwingine hata kama sio kila...
Wadau mnaichukuliaje hii. Inaashiria nini katika miaka mitano ya Spika Sitta hadi sasa!
Sitta mzoefu wa kuvuruga Bunge
MWANDISHI WETU
Imebainika kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
Huu upole wa watanzania, umetoka wapi? Una maana kweli kwa maendeleo ya nchi? Utatutoa kimaendeleo?
Ukiwa mwanasiasa unaweza kuwaahidi uongo, ukawadharau na hata kuwanyanyasa na watakuangalia tu...
WAKATI vita dhidi ya ufisadi ikionekana kupoteza mwelekeo, Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho kinachoongoza kwa rushwa nchini, kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na...
NB: kichwa cha habari nilichopendekeza kutoka kwenye gazeti ndiyo hicho lakini naona waliamua kubadili kwa discretion yao. Hii ni hoja yangu ya leo.
KABLA hamjanijia juu, niseme mapema kuwa si...
MATUMIZI mabaya ya serikali na kuendelea kupanda kwa mfumuko wa bei za bidhaa kwa zaidi ya mara mbili katika kipindi cha kati ya mwaka 2005 na sasa ni chanzo cha maisha magumu ya wananchi...
Heard through the grapevine: Anna Tibaijuka to run for parliament
During my recent visit to Muleba district in Kagera region I was informed that Dr. Anna Tibaijuka, the United Nations...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.