Kauli zake zaivuruga CCM, Kamati ya Mwinyi
na Mwandishi Wetu
MWENENDO na kauli zinazotolewa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Samuel Sitta, zimekivuruga Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Rotarian Faye Cran, known by all as Mama Kuku, was brutally beaten by thieves at her home in Duluti on Saturday 27th February. She was coming home from a fundraiser to help the community, and this...
Kuna habari za chini ya zulia kuwa lowasa anatarajiwa kugombea uspika dhidi ya sitta. Kama hii itakuwa kweli basi kazi ipo maana ana nguvu pale bungeni
Mtoto wa Jakaya Kikwete ,Ridhiwan Kikwete avuruga mkutano wa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa (UVCCM -Taifa) Masauni Yusuph Masahuni.
Taarifa zinasema...
Hawa ni baadhi tu ya wabunge wanao onekana kutofaa mwakani, feel free kuongeza majina mengine au kukosoa kwamba fulani asiwepo kwenye list hii.
1. Gideon Cheyo- Ileje.
2. John Chilligati -...
Hosea Kutojiuzuru kama pendelezo la kamati teule ya bunge na kuthubutu kuwahoji wabunge kuhusu posho mbili mbili kipindi hicho hicho- na
Bunge kunyongonyezwa msimamo wake wa richmond - na
Lowasa...
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, imemkingia kifua Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, kuwa alitaja mali zake wakati akitoka madarakani.
Kwa mujibu wa sekretarieti hiyo...
na Marietha Mkoka, DSJ
RAIS Jakaya Kikwete amemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, mkoani Dar es Salaam, Patrick Tsere kuwa balozi mpya nchini Malawi.
Taarifa iliyotolewa jana na Wizara ya...
Baadhi ya kauli hizo ni ile aliyoitoa wakati wa hafla ya uzinduzi wa albamu ya kwaya ya Kanisa Katoliki Changombe, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Sitta alisema ujasiri wake na maisha yake yanatokana...
Nilipokuwa shule ya msingi darasa la tano mwalimu wetu alikuja na kutuuliza utamaduni ni nini? kwa kweli hakuna aliyejibu jibu lililomlizisha mwalimu mbaka mwenyewe alipotuambia kuwa utamadumi ni...
Asema hana mpinzani
na Deogratius Temba
JITIHADA za kuhakikisha Rais Kikwete anaendelea kukubalika kwa wananchi na kuchaguliwa zinazidi kushamiri ambapo mama wa Naibu Katibu Mkuu wa Chama...
Pinda Jiuzulu kazi imekushinda
Iwapo mnataka kumchagua tena Rostam zingatieni amewafanyia nini katika ubunge wake. Msisikilize kile kinachosemwa bungeni juu yake. Bunge lina mambo yake...
**********************************************************
Waweza kusoma habari hii hapa chini au attachment niliyoambatanisha humu ambayo ni scan ya gazeti la TUMAINI LETU...
Aliyedaiwa kuwa ni "FISADI WA ELIMU" Dr.Milton Makongoro Mahanga amefungua Civil case No.145 ya mwaka 2009 dhidi ya;
1.KAINERUGABA MSEMAKWELI.
2.MUHIBU SAIDI.
3.MANAGING EDITOR,NIPASHE.
4.THE...
mjane wa marehemu habyarimana ageukwa na maswahiba wa mumewe. kwa maelezo zaidi soma hapa chini
http://www.bbc.co.uk/swahili/news/story/2010/03/100302_habyarimana.shtml
Kwa wale walio UK wanaweza kuangalia BBC channel 4 maisha ya Zimbabweans today so sad story ..... ....
Zimbabwe's Forgotten Children
http://www.bbc.co.uk/bbcfour/watchlive/
Zimbabwe's...
na Betty Kangonga
MFANYAKAZI wa Wizara ya Nishati na Madini, Doroth Mtweve, amehamishwa kutoka makao makuu ya wizara hiyo baada ya kudaiwa kuvujisha siri za ofisi kuhusiana na sakata...
Kusemaga ule ukweli,
Zamani nilipokuwa nasikia 'serikali ina mpango kamambe wa...' (fill in the blanks: 'maji kwa wote ifikapo mwaka 2000; 'afya kwa wote ifikapo mwaka 1990'; 'Structural...
Asubuhi ya leo nikiwa mbele ya kituo cha Polisi Salendar Bridge ulipita msafara wa kiongozi mmoja wa juu serikalini anaenda zake ofisini ulikuwa msusururu wa magari ya kifahari...
The president? The ministers? CCM? The Secret service? religious leaders? Big businessmen? "Mafia" kingpins? Outside powers?
Looking quickly at our country it's hard to tell whose running the show.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.