Jana nilikuwa naangalia Taarifa ya Habari Channel ten, nikamuona Aisha Kigoda akigawa Misaada huko Handeni, Moja kati ya Misaada aliyogawa ni Mpira mmoja wa Miguu na mmoja wa Netball kwa Wanafunzi...
Spika BLW Zanzibar Mh. Pandu Ameir Kificho
MUWAZA inakutunukia pongezi zake za dhati kwa matamshi yako ya kizalendo ya kutetea uhuru, uwezo na nguvu za BLW kwa kutamka kwamba "Hakuna Mtu au...
Our journalists, particularly those that work for The Guardian, continue to exhibit signs of very low understanding of facts and figures. Do neither the Reporters nor the Editors know that a...
Rais Kikwete ameanza kuhutubia Taifa katika utaratibu wa mwisho wa mwezi. Ameanza kuzungumzia suala la rushwa katika uchaguzi kama alivyozungumzia kule kwenye Mkutano wa TAKUKURU Mwanza.. more to...
NEC technically locks out CCM presidential aspirants
By Rodgers Luhwago
28th February 2010
President Jakaya Mrisho Kikwete
Any CCM member seeking nomination as the ruling...
kwanza napenda niwashukru japo si kwa furaha wanablog hii kwani mnaonekana wenye mtazamo wa kutaka kuleta mapinduzi lakini shabaha ndiyo mbovu.
pili nimpe pole rais wa jamhuri ya muungano wa...
Na Nkwazi Mhango
UTHIBITISHO kwamba kampuni ya BAE Systems ya Uingereza imetembeza rushwa ili kupata kuiuzia Tanzania rada ya kijeshi (Plessey Commander Fighter Control System), unatupa changamoto...
Nd. wana JF,
Naomba kidogo nitoe maoni machache kuhusu hoja zinazotolewa mara kwa mara na watu ambao wanashangazwa na manun'guniko ya Muungano. Kuna wale wanaodai kuwa bila ya Muungano Zanzibar...
Chanzo: TBC1 News (saa mbili usiku)
Balozi huyu WA TANZANIA ITALIA ni miongoni mwa wanaowania KWA RIDHAA YA UONGOZI WA CHAMA kinyang'anyiro cha urais huko visiwani. Amekiri wazi kwa kinywa...
Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo, amesema mpango wa wizara kutoa ripoti ya uchunguzi wa uamuzi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kutumia zaidi ya Sh. bilioni 2.5 kujenga nyumba mbili za...
Leonard Mubali, Kigoma
KAMATI Maalum ya Ushauri ya mkoa wa Kigoma imevunja ngome ya kisiasa ya mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe baada ya kupitisha mgawanyo wa majimbo katika wilaya za...
We tanzanian we need to change the way we believe on issues about our nation. if we change the belief the performance follows ie if you and me change the our belief we can change the way we run...
Mwandishi Maalum
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema kuna uwezekano wa kuanzishwa mkoa mpya ambao umependekezwa uitwe Katavi utakaozihusisha wilaya za Mpanda (Rukwa) na sehemu ya Wilaya ya Urambo...
na Mwandishi Wetu
SHIRIKA la Utangazaji la Tanzania (TBC), linatarajia kurusha nchi nzima matangazo ya mwenendo wa zoezi la uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani utakaofanyika baadaye...
MREMA NAYE ATANGAZA RASMI KUMPIGIA KAMPENI KIKWETE 2010
Waandishi Wetu
MBUNGE wa Moshi Mjini (Chadema), Philemon Ndesamburo ameponda maelekezo ya Rais Jakaya Kikwete kwa wanasiasa kuhusu...
Mufti aunda kamati kuwahamasisha nchi nzima
na Lucy Ngowi
VIJANA wa Kiislamu nchini wamehamasishwa kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi nchini katika kipindi hiki cha...
Wanabaraza;
Leo nimesikia katika udondozi wa magazeti kupitia redio kuwa Waziri Celina Kombani yuko ndani ya Sakata la Jerry Muro.
Mwenye taarifa zaidi atujuze...
Nimetoka sasa katika Mkutano mkuu wa Mwanza wa Takukuru ambako Rais Kikwete alikuwa Mgeni rasmi hapa jijini Mwanza.
Kikwete wakati wa kufungua mkutano wa mwaka wa TAKUKURU, emeonyesha furaha...
Alitimuliwa pamoja na Baregu na kanyimwa haki zote za msingi kama mwajiriwa kama mafao etc. Kweli inasikitisha kwa hali inayoendelea hapo UDSM. Inahisiwa kuwa alishiriki kwenye mgomo wa wanafunzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.