Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Ndiyo Tunawaudhi!! Wanakaa chini na kujiuliza kwanini tunawafuata fuata! Wanakereka tunapoandika na kuwajadili na wanaona tunawaandama pasipo sababu ya msingi. Wanachukia na wangekuwa na uwezo...
0 Reactions
110 Replies
12K Views
Date: 26 February 2009 Title: Tanzanian publisher admits Mozambican author not properly quoted Author: Fernando Veloso New Africa Press, the publishers of "Nyerere and Africa: End of an...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kumezuka wimbi la baadhi ya viongozi wa CCM na jumuia zake kutaka Kikwete awe mgombea pekee wa urais kupitia CCM......hivi kuna tatizo gani kumpambanisha na wana-CCM wengine wenye nia ya kugombea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hili limeanza kuwashtua wanachama wengi wa upinzani baada ya kuona sasa kila mwenyekiti anataka kwenda kugombea ubunge jimboni mwake mrema ameanza kukimbilia moshi mjini,mbatia nae...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati tumebakiwa na takriban miezi 6 kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu wa Rais na wabunge,vyama vya upinzani vimeendelea kuwa kimya kuhusu wagombea wao katika nafasi ya urais huku baadhi ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
CUF mambo magumu Bukoba na Ashura Jumapili, Bukoba CHAMA cha Wananchi (CUF) katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera kimeendelea kupoteza umarufu wake siku hadi siku kufuatia kuondokewa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Obama Atakiwa Aache Kuvuta Sigara Rais Barack Obama wa MarekaniMonday, March 01, 2010 6:54 AM Rais Barack Obama wa Marekani ametakiwa aache kuvuta sigara na daktari wake.Rais Obama ametakiwa na...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Basi la AM lililokuwa linatokea Moshi/Arusha limeua baada ya kupata ajali. km chache kabla ya kufika Nzega mjini. Poleni wafiwa
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Raisi Jakaya Kikwete amehitimisha uteuzi wa wabunge 10 wa kuteuliwa na rais kwa kumteua Bw. Ismail Jussa Ladhu, wa CUF na Janet Mbene wa CCM kuwa wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
112 Replies
14K Views
Ni mtizamo wangu kwamba kutokana na viongozi wa vyama vikubwa vya upinzani kuamua kugombea ubunge,ni wazi kwamba kuna uwezekano mkubwa wa kuongezeka idadi ya wabunge wa upinzani bungeni kwenye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ili kupunguza ajali barabarani, Serikali ya Tanzania imeamua kuweka Gavana kwenye kila Basi na Lori eti kudhibiti mwendokasi wa Magari haya. Lakini Barabara zetu bado ni mbovu, zina matuta...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Quoting the one and Only Kiranga, let me open a window of debate and slugs! If not the statement sort of quantify Nyani/Julius Ndivyo tulivyo. Be it in Social aspect, economy, political...
0 Reactions
102 Replies
10K Views
Tetemeko lililotokea jana huko Chile ni moja ya matetemeko makubwa sana kutokea duniani. Vipimo vyake vilikuwa 8.8 kwenye mzani wa Richter. Hakika hili lilikuwa kubwa zaidi kuliko lile la Haiti...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nadhani kuna mtu anatakiwa kusema; hawa viongozi sasa hivi wanawanchanga wananchi. Wanapita mikoani wakifanya shughuli za serikali huku wakiwaasa wananchi kuwa waangalifu na watu wanaopiga kampeni...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
MBUNGE wa Sikonge, Said Nkumba (CCM) juzi jioni alimuacha hoi Waziri Mkuu Mizengo Pinda, pale alipowapa salamu ya shikamoo watoto ili pamoja na wazazi wao wamchague tena kuendelea kuwa mbunge wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi kweli viongozi wanakuwa salama wanapo kuwa ziarani? Hapa muheshimiwa Pinda hicho kiti alicho simamia kingeteguka angepona kweli hapo? Na mifupa hiyo ya uzeeni si ingekuwa balaa hapo tunaanza...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
national examinations council of tanzania csee 2009 examination results s0713 igunga secondary school div-i = 0 div-ii = 2 div-iii = 16 div-iv = 64 fld = 37
0 Reactions
11 Replies
2K Views
na Mwandishi Wetu, Urambo WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amemmwagia sifa kemkem Spika wa Bunge, Samuel Sitta akisema amejenga Bunge lenye sifa na umakini. Pinda ambaye majuzi alimmwagia sifa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
First lady Salma Kikwete a.k.a Mama JK alikuwa mwalimu wa Mbuyuni shule ya msingi wakati JK alikuwa waziri. First lady Salma Kikwete anayajua matatizo ya elimu na walimu kwa ujumla. Je ametoa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati Maalumu iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete kupitia na kupendekeza maboresho ya sekta ya madini nchini, Jaji Mark Bomani, amesema hatua ya kampuni ya African Barrick...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom