nasema TZ ikiendelea kulala kama argentina basi itafika siku tutaambiwa kuwa ZNZ siyo ya kwetu.
waingereza wameanza kuchimba mafuta falklands wakati argentina wakiwa wamelala.
mfano mzuri ni china...
Huyu alikuwa mwl. wa hisabati pale UDSM aliyependa sana mizaha akiwa darasanai, mojawapo ni hii hadithi hapa:
Hapo zamani za kale akili zilikuwa zinauzwa. Basi mtu mmoja akaenda kununua akili...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mara kimepanga kufanya maandamano makubwa ya kuingia ndani ya mgodi wa dhahabu wa North Mara, wilayani Tarime kudai asilimia moja ya vijiji...
habari ifuatayo ni tetezi, bado nafuatilia kujua kama ni ya kweli. hasa kufahamu ni kampuni gani imekumbwa na maswahiba haya.
"majambazi yamevamia ofisi za kampuni mpya ya simu jana mahira ya...
ASEMA WATAKAONUNUA KURA, WATAKAOOMBA RUSHWA KUKIONA
Frederick Katulanda, Mwanza
RAIS Jakaya Kikwete amesema ataisaini kwa mbwembwe sheria ya matumizi ya fedha katika uchaguzi na kuwaonya...
Jamani naomba kueleweshwa hivi kwa nini kusiwepo na kipindi cha ukomo cha ubunge kama ilivyo kwa raisi.
Raisi TZ ana vipindi viwili vya miaka mitano mitano cha kuwa raisi.
Unakuta mbunge...
Kuna minon'gono nimeisikia lakini sijaithibitisha kuwa Mwenyekiti wa UWT Mheshimiwa Sophia Simba kamtosa HASNA MWILIMA na si Katibu Mkuu tena wa UWT. Mwenye kujua atujuze.
Sioni vijana (kati ya miaka 20 - 30) wakipata nafasi muhimu katika siasa za nchi zetu za Afrika.
Nafasi nyingi za juu za kisiasa zimekaliwa na wazee walioshiba miaka.
Hii ina maana kwamba vijana...
RAIS Jakaya Kikwete amesema watakaojihusisha au kutuhumiwa kwa vitendo vya rushwa kwenye mchakato wa uchaguzi ndani ya vyama vya siasa na wakati wa uchaguzi mkuu ujao, watachukuliwa hatua kali za...
Alisema anayekaimu nafasi hiyo kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu wa Umoja huo, Amina Makillagi.
Kwa mujibu wa Makame, UWT inasikitishwa na uvumi ambao umesambaa kuwa Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya...
Wakuu,
Uchaguzi mkuu wa Tanzania ni mwaka huu 2010.
Tafadhali leteni updates za mchakato wa uchaguzi huo bila kujali chama au aina ya uchaguzi (Rais, Wabunge, n.k)
Itakuwa vema tukipeana updates...
Hi to all wadau wa kiringe hiki chenye wataalam wa uchambuzi wa mambo kadha wa kadha. Naomba mfungue attachment niliyotuma muweze kuona jinsi wawakilishi wetu pale Bungeni Dodoma wanavyotupigania...
Ni wakati sahihi kwetu watanzania kujichagulia wenyewe chaguo la Mungu na si kuchaguliwa na wachache. Tumepata fundisho kuwa aliyedhaniwa kuwa chaguo la Mungu 2005 kumbe hakuwa. Si chaguo la Mungu...
uongozi wa juu wa CWT
Sophia Simba-Mwenyekiti
Asha Bakari- Makamu Mwenyekiti
Husna-Katibu ambaye mama Simba Hamtaki
wajumbe wa kamati kuu ya Jumuia ya wanawake wa CCM
Shamsa Mwangunga
Hawa...
Sielewi kwanini wanaharakati wanataka kuandamana kulilalamikia Bunge kuhusu suala la Richmond. Hadi hivi sasa Bunge na wabunge wamefanya kazi yao vizuri na kwa umahiri mkubwa. Wameenda hadi pale...
Mwenyekiti wa muda wa CCJ, Richard Kiyabo???
Who is he? what do we know about him? mwenye CV yake atuhabarishe
Mwenyekiti wa Muda wa CCJ Richard Kiyabo (Kulia) akiwa na Katibu wake Renatus Mwabihi
somewhere in Tanzania; president of the republic
somewhere in Tanzania; President of the Republic..
what is wrong? one of them is seen to be out of touch with his people, some have even...
The Zanzibari government and investors in the tourism industry are pointing accusing fingers at one another with each blaming the other for making Zanzibar International Airport (Zia) one of the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.